Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

Siku hizi na wao wanakuja juu hawataki kupitwa.
Pia kuna kampeni kubwa sana inayapiganiwa kwa sasa ya matumizi ya line ya pili.
Nasikia ttcl haishiki nikwel?😅😂
 
Sio kwamba wanawake wa siku hizi wana makalio makubwa La hasha! ninachokiona na nilichogundua ni kwamba

Mavazi ya siku hizi yanawashika sana dada na mama zetu,watu hawavai nguo za kuachia tena siku hzi hata mmama akienda kwa fundi kushona Wanamshonea nguo imemshika.

kitu kinachopelekea maumbile yao yaonekane yajichore ndio mana unaona kama wanawake wana makalio.

Japo wapo wanayoyaongezea kuptia taiti zao ila ukweli mkubwa upo ktk mavazi yao.

Umeshawahi jiuliza kwann wanaume hawana Makalio makubwa? si kweli wanaume hawana makalio makubwa, ukweli ni kwamba wanaume hatuvai nguo za kubana bana.
Hiyo ya makalio makubwa kwa wanaume umejisemea wewe

Nasisitiza tena hapo umejisemea wewe
 
Dah humu ndani ni shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saiv wachina wameleta vitu kama hv[emoji116][emoji116]
JamiiForums-1056210613.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums390048234.jpg
    JamiiForums390048234.jpg
    48.5 KB · Views: 13
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Kuna vigodoro siku hizi vinauzwa madukani humo pia kuna madawa ya mchina ya kuongeza makalio kwahiyo Sio ishu za kushangaa. Wenyewe wanawake wanashauriana
 
Back
Top Bottom