Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

Sio kwamba wanawake wa siku hizi wana makalio makubwa La hasha! ninachokiona na nilichogundua ni kwamba

Mavazi ya siku hizi yanawashika sana dada na mama zetu,watu hawavai nguo za kuachia tena siku hzi hata mmama akienda kwa fundi kushona Wanamshonea nguo imemshika.

kitu kinachopelekea maumbile yao yaonekane yajichore ndio mana unaona kama wanawake wana makalio.

Japo wapo wanayoyaongezea kuptia taiti zao ila ukweli mkubwa upo ktk mavazi yao.

Umeshawahi jiuliza kwann wanaume hawana Makalio makubwa? si kweli wanaume hawana makalio makubwa, ukweli ni kwamba wanaume hatuvai nguo za kubana bana.

Hapo kwenye wanaume kuwa na makalio makubwa apo ndo tatizo lilipo!!! We uliona wapi hao wanaume wenye makalio makubwa
 
Weka picha
20210601_132528.jpg
20211222_102132.jpg
 
Sio kwamba wanawake wa siku hizi wana makalio makubwa La hasha! ninachokiona na nilichogundua ni kwamba

Mavazi ya siku hizi yanawashika sana dada na mama zetu,watu hawavai nguo za kuachia tena siku hzi hata mmama akienda kwa fundi kushona Wanamshonea nguo imemshika.

kitu kinachopelekea maumbile yao yaonekane yajichore ndio mana unaona kama wanawake wana makalio.

Japo wapo wanayoyaongezea kuptia taiti zao ila ukweli mkubwa upo ktk mavazi yao.

Umeshawahi jiuliza kwann wanaume hawana Makalio makubwa? si kweli wanaume hawana makalio makubwa, ukweli ni kwamba wanaume hatuvai nguo za kubana bana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye tako mjini anajiamini kuliko mwenye Masters [emoji3][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah bado mnafakamia hayo madumbwasha?
Nilikua mdau nikaja kugundua ni machafu mno,
Siku hizi niko na vimbaumbau tu na naviogesha mwenyewe kabla ya kugegeda.
Viko poa sana unakizungurusha unavyotaka,usivunje kiuno tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maelezo ya mwaka jana hayakujitosheleza. Mtoa mada hakuridhika na majibu.
 
Back
Top Bottom