Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
π nakaziaWanawake wanapenda mwanaume mwenye hela, hata awe mzee, kilema au awe na kitambi kama gunia.
Shikilia hapo hapomfano wewe unapenda mwanaume wa dizaini ipi hapo?
mfano wewe unapenda mwanaume wa dizaini ipi hapo?
Shikilia hapo hapo
Sema hivi 80% ya wanawake mishine town na ndio waliofanikiwa uwa wanywaji wa pombe na starehe nyingine hivyo wao upendelea wanaume wanaoendana nao Kwa maana wahuni na mabishoo, Ila Kwa wewe swala Tano, mlokole, ustaarabu, mkalimu, mtiifu, na watu dizaini hii uwa hawapendwi .1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini.
2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope.
3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani.
4. Wanaume wajanja (sio wajuaji) hawa wanaume wanapendwa na wanamiliki pis kali sana sana down town.
5. Wanaume mishen town/wazee wa mipango (sio matapeli) jamaa wanapendwa sana kuaminiwa na wanawake kinoma.
6. Wanaume wasafi (lakini hawana hela) hawa wanapendwa na wanawake na wanamiliki madem walio kwisha jipata mjini.
7. Wanaume janja janja (lakini sio waongo) hawa wanapendwa sana na wanamiliki unbelievable womans in town.
Huu ni utafiti na uzoefu wangu tangu nilipo jitambua.
Naomba kuwasilisha, na comments ziwe fupfupi ili tuokoe muda.
Kabisa...Kuna ka ukweli ndani Yake.
Hawa wazee wahovyo ndio maswali yanafaaa tuwaulize akili ziwakae sawaUsije ukawa unauliza swali kwa mwanaume mwenzako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ngoja tuone chaguo lakeπ€£π€£π€£Shikilia hapo hapo
tumeanza nini?Mmeanza πππ
Ila awe anajielewaa, hapo hata bangi atanunuliwa.Umetusahau wavuta bhangi.
Sio kweliWanawake wanapenda mwanaume mwenye hela, hata awe mzee, kilema au awe na kitambi kama gunia.
Abeee!
Muongozo ushatolewa mkuu.