KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
We msahaulifu sn..UKIJIAMINI KAMA MWANAUME, UKAKIAMINI KIPATO CHAKO, UKASIMAMA KAMA MWANAUME ,UKAMPENDA MKEO HUYO, ATAKUHESHIIMU SANA.
NDOA HAITAKI KIPATO CHA MWANAUME, NDOA HAITAKI ELIMU ZENU, NDOA HAITAKI MANINI YENU !!!
Ngoja nikuache.. Hujielewi.Heheh dahhh hili povu lako leo watu tutalal tumechoka sana..
Naona una agenda yako
nilikua na comment nyingine ila uko OP hatari na mengine
Haya bwana
Huna akili.. Hapo jui nmesema Jiamin na kipato chako..We msahaulifu sn..
ila ni dhahiri hujaingia huku
Ni ulimbukeni tu wa wanawake wa kiafrika Mana hawakuzoea kuyaishi hayo maisha. Wengi wao vyuoni ukiongea nao wanasoma ili wasije kunyanyaswa na wanaume.UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Wanawake wenyewe tunamshangaa..Kuna jamà kweny huu uzi anajiita Carlos cjui kalipwa sh ngap kuwatetea hawa wanawake weny uwezo kuanzia uchumi hadi elimu...ila nataka nimwambie tu kuwa kujiandikia kama unavyotuandikia ni rahc mnoo,hata mm nawezq kukuzidi..ilq hayo unayoyaandika kuyapeleka kweny vitendo ni ngumuu mnooo!kiuhalisia tu mwanamke mweny uwezo wa kifedha na kielimu kumzid mme wake huwa hakamatiki...wanakuwa na vibur vya maana wanajua chochote utakachofanya yy ndo mwamuzi wa mwsho!!nlikuwa nawaza kwa nini babu zetu wameishi kweny ndo hadi uzee na bibi zetuu!sababu ni hii!!hawakuwaruhusu kuwa na biashara au elimu kubwa kuwazidii na ndo maana walikuwa na heshima kwa waume zao..njoo sasa kwa hawa wa ss iv...ndoa haina mwezi tayari ishavunjika ...,kijana mwenzangu unaetaka kuoa,tafakar chukua hatua
Sawa baba ndo niko chuo cbe hapa😅🤣Huna akili.. Hapo jui nmesema Jiamin na kipato chako..
Chini nasema, Ndoa haitaki Kipato chako...
Nikijua wenye akili wameelewa kua, Haimanishi ukiwa na kipato gani, ndip utaimudu ndoa, unaweza ukawa Tajiri, usiimudu ndoa, unaweza ukawa una kamshahara ka laki nne , bado usiimudu ndoa.
Kuna kitu ambacho ni zaidi ya Kipato. Kitu hiko kikipatikana basi , kipato chenu hata km ni kidogo, kitatosha na mtakua nandoa ya amani.
NDOA NGAPI ZA MATAJIRI, WALIZOFUNGA KWA MBWBWE, BAADA YA MWEZI WAKAACHANA???.
Ben Pol, kaoa mwanamke kwao Tajiri mbona haikupita mwaka wameachana?? Kulikua hamna hela??
Kuna huyi jamaa ana mapesa kibao, lkn ndoa imevunjika, .
Sasa kama kipato kinanguvu, kwann ndoa zao zimevunjika.
JARIBU KUA NA AKILI BASI. WEE NI KATOTO NA HUJAOLEWA.
Hivyo vinadharia kwa genetation hii havifanyi kazi..yaan mwanaume we na uwezo kiuchumi tu kumhudumia mke pamoja na wtt,hayo mengine tuwaachie tu ninyi ndo mnajua..ila kunambia kuwa mwanamke akiwa na uchumi mkubwa kumzidi mke ndoa itakuwa stable nitakataa katukatuWanawake wenyewe tunamshangaa..
ana vinadharia flani hivi
Ngja tumuache akikua atayaona
Ndio maana nmesema wewe ni katoto, hujielewi, na huna akili na hujaolewa bado.Sawa baba ndo niko chuo cbe hapa[emoji28][emoji1787]
Mamiss independent mnasumbua sana!Ndio maana mnanyonywa mpaka damu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivyo ehhh!?
Sasa haujui tofauti ya wanawake na wanaume kwenye maswala ya fedha?!“Ata mwanaume akipata pesa huwa jeuri vile vile atataka mambo yake yasiingiliwe”
Et wanawake..sema wewe ..nasio mwanamke ..sema mschana.Wanawake wenyewe tunamshangaa..
ana vinadharia flani hivi
Ngja tumuache akikua atayaona
Oyaa, hata km umeoa mwanamke hana kitu ,mbumbu wa akili na pesa nakila kitu.Kuna jamà kweny huu uzi anajiita Carlos cjui kalipwa sh ngap kuwatetea hawa wanawake weny uwezo kuanzia uchumi hadi elimu...ila nataka nimwambie tu kuwa kujiandikia kama unavyotuandikia ni rahc mnoo,hata mm nawezq kukuzidi..ilq hayo unayoyaandika kuyapeleka kweny vitendo ni ngumuu mnooo!kiuhalisia tu mwanamke mweny uwezo wa kifedha na kielimu kumzid mme wake huwa hakamatiki...wanakuwa na vibur vya maana wanajua chochote utakachofanya yy ndo mwamuzi wa mwsho!!nlikuwa nawaza kwa nini babu zetu wameishi kweny ndo hadi uzee na bibi zetuu!sababu ni hii!!hawakuwaruhusu kuwa na biashara au elimu kubwa kuwazidii na ndo maana walikuwa na heshima kwa waume zao..njoo sasa kwa hawa wa ss iv...ndoa haina mwezi tayari ishavunjika ...,kijana mwenzangu unaetaka kuoa,tafakar chukua hatua
Bado sanaa hujawajua hawa watu mkuu,na bad enough nahc ww bdo n bachelor na ndo maana uko free sanaa kujiandikia kile ambacho ndo uelewa wako kuhusu wanawake..ila kama ndo course ya kuwajua wanawake ndo kwanz upo kweny orientation!we elewa tu mke wako kukuzid kiuchum hautofurukutaOyaa, hata km umeoa mwanamke hana kitu ,mbumbu wa akili na pesa nakila kitu.
KAMA UTASHINDWA KUA MWANAUME, ATAKUSUMBUA SANA TUU TENA SANA TUU
alafu utajuta kwann hujaoa msomi !!...
Utaoa msomi, ila kwakua hauna Uanaume , naye atakushinda kama kawaida.
Siwatetei wanawake wenye uchumi wao, ila ukweli nikua, MWANAMKE ANAKUA VILE UNAVYOTAKA AWE
tena nikuambie kitu kimoja, nirahisi ya mwanamke alokua anakutegemea, kukukimbiaa au kua na mwanaume mwengine,, sababu tu akajitimizie mahitaj yake pale unapopunguwa
Ref... Uzi wangu niliowah andika, VIKOBA na wanawake kuchepuka.
Lkn ni ngumu sana kwa mwanamks mwenye huru wa uchumi, kukukimbia kisa tu wee umezidi kutetereka.
Sansana Atajitahidi kukufanya uonekane mwanaume mbele ya wanaume wenzako na atakufichia aibu yako.
Ila hao wategemezi, kama hana akili, Utakuta kahamia kwa jirani yako anapelekewa moto.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sinaga shida napenda free and open minded people hayo ya kuzidiana hayana nafasi kikubwa nikuelewe tu na wewe uende na flow zangu na sipendi uonevu na kupelekeshana lohPata picha umemuoa ke kama cariha halafu kakuzidi kila kitu.
[emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]