Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Aisee kizazi hiki ni hatari Chief

Kuna swali moja huwa najiuliza hivi kwa mfano mama yako mzazi anaumwa sana huko kijijini na hana mtu wa kukaa nae...means kumpeleka chooni, kumbadilisha nguo, kumlisha n.k

Hivi hawa wanawake wa sasahivi wanaweza kufanya hivyo kama wale wa zamani?

Atakubali umtoe mjini akamhudumie mama yako kijijini? [emoji23]
 
maisha kama maisha, ni mtihani so much to be learned and experienced until you go six feet under.

Ila maumivu ya mapenzi hayasikii pain killers, pombe ata banghi. To be safe, dont hang with those you truly love (hypothesis)
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tanga hamna Feminist kule ni mahabanist tu ndio wamejaa
Mikoa yote isiyo na wanawake wasomi Wengi haina Feminists wala Much know

Sasa Tanga, Kondoa au Singida kuna Wanawake wangapi Wanasheria au Wasomi hasa wanaoweza kujisimamia?

Na hao hasa lazima wawe Submissive kwa Waume zao

Elimu inampa Mwanamke Aggressiveness na Mara nyingine kiburi

Anaamini anaweza bila wewe
 
Kama unataka mamaako afe kwa haraka basi mpelekee slay queen akamuuguze. Wanawake wengi wa kizazi cha millenium ni heartless.
 
Hata usukumani nako ni hivyo hivyo. Wanawake very submissive yani
 
Sio wa Rika la kizazi Cha Sasa, huyo mwanamke atakua wa enzi za nyerere
 
Usijaribu kufanya hivyo, atawahi kufariki hata kama muda ulikuwa bado, wanawake wa sasa wana manyanyaso sana pengine anaomba afe mapema ili apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…