Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

Wanawake wengi hasa wale wasiojuweza kiuchumi huwa wanaingia ndoani ili mwanaume aliyewaoa awajalie maslahi yao.

Hio inamaanisha wanawake huwa wanafunga ndoa for their own personal interests.Na ndio maana wanawake wanaojiweza kiuchumi huwa hawana haha ya kuolewa kwa sababu kile ambacho wangekifuata huko kwenye ndoa tayari wanacho.
 
Unafikiri kuwa mwanamke kuolewa ni kwa sababu ya kutokuwa na pesa? Kwamba akiwa na pesa hapaswi kulewa.
 
Unafikiri kuwa mwanamke kuolewa ni kwa sababu ya kutokuwa na pesa? Kwamba akiwa na pesa hapaswi kulewa.
Ndio nimekwambia wengi huingia kwenye ndoa for that sake of their personal interests.

Kama mtu Hana uhikika wa kula Mara tatu kwa siku, Hana pesa ya kulipa pango na mahitaji mengine ya muhimu huwa anaamua kuolewa ili aweze kukidhiwa mahitaji yao.

Ndio ckuiz wanawake huwa hawaolewi kichwa kichwa tu, huwa wanaangaliwa financial status ya mtu.Bro Kama huna Kama haupo vizuri kiuchumi lazima utakataliwa tu na Kama utafanikiwa kumuoa Basi jiandae kugongewa nje.Huu Ni ukweli usiopingika.
 
Sawa nimekuelewa
 
Mwanamke akiwa na pesa anaukana uanamke na anautaka unaume na anataka kuishi kama mwanaume mwenye jinsia ya kike tatizo liko hapo na moja ya tunda alilokatzwa mwanamke ni kushika pesa, madaraka na uongozi. Akiwa na pesa na akiwa Kiongozi huwa na yeye anajishangaa yaani mimi mwanamke naongoza hawa jamaa wote vibwengo
 
Eti vimbwengo! Ina maana wanaume tunaoongozwa na wananwake ni vimbwengo? 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…