Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Sure Tuko pamoja but naona sasa wanatengeneza High way za anga kama Songwe International Airport ambazo sijui ni watanzania wa ngapi wanazitumia na kuzimudu na zitasafirha nini au ton ngapi ya bidhaa.A major public works project such as building a national highway system.
Nadhani kunatakiwa kuwepo na project kubwa kama ya reli ya kati iwe two way( At east from Dar-dom kwa kuanza au kufanya (Overhaul ) muda wa safari ya treni ya abiria ya kasi kutoka dar mwanza uwe not more than 12 hours .