jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Moja: hata watu weusi wamegunduwa vitu vingi sana mfano helicopter, Baiskeli, peanut butter nk.Kwani DNA hai-determine melanin?
Na kuhusu huyo mwanasayansi aliyenyang'anywa haki zake kitaaluma, haya mambo ni controversial sana kiasi kwamba kupata watu wa kuhoji utofauti wa DNA bila severe consequences ni ngumu sana.
Kwa dunia ya sasa iliyo politically correct kwa kiasi kikubwa, yeyote yule atakayehoji utofauti baina ya races ataitwa mbaguzi na atakuwa ostracized.
Lakini mwisho wa siku ukweli wa mambo uko kwenye hali halisi. Ni ukweli usiopingika kuwa Wazungu wamechangia sana katika uvumbuzi wa vitu vingi sana na katika nyanja nyingi sana.
Hata hili li-www wamevumbua na kuliendeleza wao na leo mimi na wewe tunalitumia kujadili mada mbalimbali. Wazungu hao hao wameenda katika sehemu nyingi sana za dunia na wamezitawala kwa kila aina. Angalia Autralia...angalia New Zealand...angalia Brasil hususan sehemu zile za wazungu...angalia Afrika Kusini. Angalia hata Zimbabwe baada tu ya uhuru.
Kwa wakati huo huo angalia Afrika kusini mwa jangwa sa Sahara. Kuna kitu sisi weusi tunakikosa! Angalia Haiti...angalia Jamaica....
Surely kuna kitu mahali....
Pili: Hao wazungu unaowasifia kila kukicha wana attribute most of their great innovations to Wars, from internet unayozungumzia, compyuta, GPS, pretty much almost everthing that has made life what it is today.
What to learn: Mnaotafuta superiority kwenye DNA na color mnashangaza sana, no wonder kuna watu wanalipa mahari kubwa kwa wanawake weupe, ni mentality ambayo kwa kiasi kikubwa inachochewa na unconscious inferiority complexes.