A major public works project such as building a national highway system.
Sure Tuko pamoja but naona sasa wanatengeneza High way za anga kama Songwe International Airport ambazo sijui ni watanzania wa ngapi wanazitumia na kuzimudu na zitasafirha nini au ton ngapi ya bidhaa.

Nadhani kunatakiwa kuwepo na project kubwa kama ya reli ya kati iwe two way( At east from Dar-dom kwa kuanza au kufanya (Overhaul ) muda wa safari ya treni ya abiria ya kasi kutoka dar mwanza uwe not more than 12 hours .
 
DAR sii LAMU, Vitu ulivyovitaja hapo chini Maji, Umeme na Usafiri ndivyo nguzo kuu ya uzalishaji bila vitu hivyo hatuna sababu ya hata kuendeleza mjadala wa uchumi, huwezi kukuna meli kuitumia jangwani..
...Ndugu, ni kweli kabisa, we need to go back to the basics.
 
...Naomba kuuliza. Hivi, kwanini watu weusi wa Marekani, let say, wa kizazi cha tano sasa, hawajaweza kuwa kama wazungu. How long does it takes for one to be in accordance with the said environment?.
 
Lakini mwisho wa siku ukweli wa mambo uko kwenye hali halisi. Ni ukweli usiopingika kuwa Wazungu wamechangia sana katika uvumbuzi wa vitu vingi sana na katika nyanja nyingi sana.
...Wazungu wamechangia zaidi kukuza na kutumia kwa kiasi kikubwa uvumbuzi wa wengine. Thats a fact, and sadly, a historical one.
Surely kuna kitu mahali....
...Surely, there is!
 
...Hapa, nakubaliana nawe 100%.
 
Mada nzuri sana hii
Hapana nadhani unachosema weweni sehemu ya tatizo . Hata mimi nakumbuka kama aivyosema mtazamaji ulikuwa ukivaa product ya Bora unachekwa. Sasa hiyo sio tatizo la businesss model ni perception ya bidhaa zetu nayo iliichangia.

Viwango,

Katika business image is everything. Bora was competing with vendors of foreign products, and they didn't make any efforts to advertise their products. In retrospect this was a huge mistake on their part!.

I tell you this. Give me any shoe models that were produced by Bora in 80s and I will show you how and where to sell them.
 
DSL, Hao wasio na elimu ndio wanaweza kuwa drivers wa economic activities kuliko waliosoma. You go to war with the army you have .. Donald Rumsfeld's Doctrine.
...Big NO! Not nowadays. Unafahamu kuna nchi zina kitu kinaitwa "ministry of knowledge economy" ?. Can you mention one "meaningful" economic activity ambayo mtu asiyejua hata kuandika jina yake anaweza fanya. I mean, can you provide extension services to these people, so that they can produce more and better crops?

...Donald and Co. were war mongers!
 
Kilichonishangaza ni kuwa waliweza kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Je ni kitu gani kilichowapa vijana hawa motisha wa kujifunza na kutafuta kazi mashambani?
...They were educated, with no other way of making a good, sweet [as in having a pint in Edmonton at the weekend] quick buck!
 
Hiyo perception ni zao la brainwashing

Mkuu,

It wasn't brainwashing entirely. Our business models were purely based on the functions of the products. However, in a competitive environment functions aren't enough.
 
Zakumi, rejea posti zilizopita ili tujadiliane vizuri bila kubounce unnecessarily.

Income inequality ni ya within nations, ukisoma mjdala na posti yangu, utagunduwa hiyo statement ilikuwa ni mwendelezo wa pointi ya kwanza kuhusiana na nchi kuwa masikini ama tajiri na bado kuwepo na income inequalities.

Mfumo wa kibepari unapelekea hayo pia, however ndiyo hapo serikali inaplay part through social services ie unemployement benefits, na other programs and trainings, and sometimes kuwa encourage wananchi wao wajiendeleze kielimu kipindi ambacho unemployement ni high.So wana ongeza grants and scolarships and more funds for R&D programs and educational programs.

Hapo ndipo unapoona role ya serikali hata kama mfumo ni wa kibepari, sisi siyo hivyo, mfumo ni wa kibepari lakini tuna act kama siyo mabepari, serikali inalia kuwa ni masikini na inatembeza bakuli every now and then, maisha na mishahara yao haionyeshi hivyo, rasilimali hazionyeshi hivyo, wanapewa misaada yenye strings, na wakati wenye kutowa misaada hiyo wanalenga maslahi ya mataifa yao na si vinginevyo.Sisi tunalenga maslahi gani?Jibu hapo unalo.
 
...Mkandara, much respect!
 
...They were educated, with no other way of making a good, sweet [as in having a pint in Edmonton at the weekend] quick buck!

I asked one guy why he was passionate about his work. He told me that if he sees a new TV model or cool pair of shoes, what he needs to do in order to buy it is to work hard for at least two weeks.
 
...Hiyo DH mi nshavaa sana tu. Ilikuwa design ya China na kama sikosei kirefu yake ni "Double Horse". Typical Chinese design and branding!

...BATA ya Kenya ipo imejaa ndoo nzima, inamwagikia mpaka Tanzania with several shops to boot.
 
I asked one guy why he was passionate about his work. He told me that if he sees a new TV model or cool pair of shoes, what he needs to do in order to buy it is to work hard for at least two weeks.
...Siwezi kumkatalia. Thats what people in some quarters call "factor price". Mfanyakazi huko Ulaya, Merekani, na Asia [the tigers] analipwa vizuri hata kuweza kumudu maisha mazuri ya kawaida, if h/she stays at work.

...Don't get me wrong, nimekuelewa kwamba "jamaa hawana malengo yeyote yenye kuwaletea maendeleo ya kweli".
 

Jmushi,

I guess I have already answered you. In Tanzania, income inequality didn’t cause the misfortunes of your people. So it isn’t an issue to be discussed here.

Secondly, distribution of wealth through various government programs works well when the country is so rich or has reached financial sovereignty. However, for poor country like Tanzania the distribution of wealth you have mentioned above does more harm than good. This is because it will increase the size of the government and unsustainable national debts.

For example, in 70s and 80s, Tanzanian government spent a huge amount of money to expand its social programs. However by mid 80s, the cost of servicing national debts yearly was more than ¼ of GNP, twice the combined budgets of education and health.
 
Mkuu,

It wasn't brainwashing entirely. Our business models were purely based on the functions of the products. However, in a competitive environment functions aren't enough.

It may not be entirely but it factors/ factored majorly.
 
Zakumi, halikuwa mjadala, bali mwendelezo wa majibu kwa swali lako la awali kama ume revisit.
 
Zakumi,
Katika swala la viatu vya bora utakuwa huwatendei haki. Wakati wanazalisha viatu (Nyerere)hapakuwa na ushindani hata kidogo, na hata baada ya kuingia Ubepari tayari kiwanda hicho kilikuwa ktk list ya kuuzwa. Kwa nini tulifanya maamuzi hayo?

Kibaya zaidi ni kwamba viwanda vyote vilihukumiwa vyenyewe kwa uzembe wa binadamu kushindwa kutangaza, kutafuta masoko ndani na nje badala yake tukauza viwanda hivyo na kupoteza almost asilimia 60 ya wafanyakazi wa mashirika ya Umma. Na viwanda hivyo wala visiendelezwe wale walionunua wakauza machines na kadhalika kumbe lengo lao lilikuwa kushika viwanja for future development.

Ndio hapo nauliza tulikuwa tunatak au kufikiria nini kuua ajira zile leo tunafikiria tena ku Create ajira bila kutazama makosa ya awali. Why? Why even private investors hawataki kuwekeza ktk viwanda? Je, ni ukosekanaji wa miundombinu kama umeme na maji au tatizo lipo kwa wananchi wenyewe ktk uzalishaji au soko la ndani tunataka vitu vya nje zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…