Tanzania Sio maskini bali Kuna baadhi ya watanzania ni maskini Sio woteNimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Unaweza linganisha South Africa na Tanzania kiuchumi?
Jiulize Wewe binafsi na ukoo wako Hilo swali Kwa Nini ninyi maskini wakati watanzania wengine matajiri.Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Wewe mpumbavu sana, kuna nchi gani yenye watu weusi imeendelea? Huko kote kuna CCM?Kwa sababu ya CCM.
Hilo halina mjadala.
Ni kama Cuba bado wanaishi maisha ya miaka ya 1950's.
Inasikitisha sana.
Tuna Roho mbaya... Huu ndio mzizi wa umasikini Africa, maarifa dio shida kwani yanaweza kuhamishika, raslimali zipo za kutosha, lakini ili mtu uendelee lazima kuwe na balance kati ya akili, mwili, na roho... Africa kimwili na akili tupo sawa ila shida tuna roho mbaya ya mtu kujiangalia yeye tu, akiwa kiongozi ataangalia maslahi yake na circle yake tu na hata wanaokandamizwa hujiangalia wao tu hivyo wanashindwa kupigania iliyo haki yao wanaendelea kuumizwa, ROHO ZETU NI MBAYANimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
CCM ndio chanzo cha matatizo yote, kama umechukia kajinyonge lakini ndio ukweli, mnaongozwa na lichama miaka 60+ hakuna chochote.Wewe mpumbavu sana, kuna nchi gani yenye watu weusi imeendelea? Huko kote kuna CCM?
Hata nchi za American zenye watu weusi mfano Haiti ni masikini kuliko Tanzania Hadi wanaomba msaada wa ulinzi toka Kenya.
Kuwa na akili acha unyumbu.
Mkuu majibu nimepata kwanini sisi ni maskini.
We are poor because we are poor!.
hofu na uoga wako ndio umaskini, udhaifu na unyonge wako...Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
1.UtamaduniNimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Kwamba wazee wameiloga Nchi 🇹🇿 😂Wazee wa nchi hii siku wakiamua kuifungua basi itafunguka kweli kweli na umaskini kwisha, elewa neno "Wazee"