Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
mhhh cfikirii kama nikwel maana afya unayoizungumzia hyo. ikiwa hospital kuu uhaba wavifaa unasumbua madakar na wagonjwa je huko kijijini. elimu nikwel tumejitahid sana kujenga majengo ila mitaala mibovu. kuhusu ajira hilo ndo utata mtu mm mtoto wa mkulima ntawezaje kufikiria kuajiri watu 10000 wakat kibanda changu cha vocha kodi kubwa kuliko mtaji. kiufupi kwa miaka hamsini tangu tanu hadi ccm na maendeleo tuliyonayo haitii moyo. Mungu tuoneshe rais mwema atumikie.
 
Yaan we kapungu ndo hapo umeona unaitetea fisiem? Vip kuhusu dawa na huduma kwenye hayo majengo yanayoitwa zahanat?
Atleast unaonekana unahitaji kujifunza kitu
Saafi

Suala la vyuo vya mafunzo kwa vitendo limepunguza kwa kiasi kikubwa suala la ajira jana ufuatavyo

1. Wanafunzi wa vyuo guvyo
Mfano veta
Wamekuwa wakifundishwa elimu ya kujiajiri
Mfano ufundi

Ambapo wakitoka hapo hawahitaji kusubiri kuajiriwa na mtu bali wabajiajiri wenyew
Na ndio sera za nchi nyingi zilizo endelea
Wanasema
Kabla hujawaza kuajiriwa
Waza kuajiri watu elfu kumi
nadhan kijana utafanikiwa sana
 
Kwenye Sekta ya afya ndiyo mtu asiseme kabisa...

Huko ndiyo priority ya mwisho nadhani

Hali ya hospital na zahanati zetu ni mbaya kabisa.....sehemu nyingine ni majengo tu....huduma sifuri kabisa
 
Jaribu hata kutumia akili kidogo

Afya
Kuna zahanati zmejengwa kila kata na Serikali tukufu ya ccm
Zimemaliza kero za wakina mama wanaitembea umbali mrefu keende kutafuta matibab
Waalize ndugu zako wanaokaa vijijin watakuambia
Tena raia wanaishukuru tu serikali

Elimu
Jmn kuhusu suala la elimu
hata kama ww ni kipofu huwezi kusema eti serikali haijafanya kitu kuhusu serikali

Compare shule za sekondari zilijuwa ngap wakati jk anaingia madarakan
Na leo shule hizo ziko ngap na zmesaidia vipi kupunguza idad ya watu wanaoishia shule ya msingi.
Hapa katikati palijitikeza tatzo la ukosef wa maabara na walimu wa kutisha
lakin serikal tukufu ya ccm imelifix hilo na kama unakumbuka
Juz juz kulikuwa na shinikizo la ma DC ambao maabara hazjakamilika wakamilishe na wamefanikiwa

Ajira
Serikali yetu imejitahidi kwa kias chake katika suala la ajira
Kwa kuapply njia zifuatazi
1.kuongeza vyuo vya elimu ya Ufundi kwa vutendi kama veta
Na vyuo mbali mbali vya maendeleo ya jamii
Hivyo kupunguza tatzo la ajira

2 . kupitia wizara zake mbalimbali
kama wizara ya elimu ambayo imekuwa mstar wa mbele katka kutoa ajira mbalimbali

Mabasi yaendayo kasi

mradi huo umeshajamilija
Na bashukuru serikali yetu imetimiza hilo na uzinduz ulikuwa jana
Hilo sitalizungumzia maana mmejionea wote

---- ww hata kuandika tu kazi,unaandika unafikiri sisi tuko kenya au?mbona hatuyaoni hayo yote
 
Jaribu hata kutumia akili kidogo

Afya
Kuna zahanati zmejengwa kila kata na Serikali tukufu ya ccm
Zimemaliza kero za wakina mama wanaitembea umbali mrefu keende kutafuta matibab
Waalize
ndugu zako wanaokaa vijijin watakuambia

Na bashukuru
serikali yetu imetimiza hilo na uzinduz ulikuwa jana
Hilo sitalizungumzia maana mmejionea wote

Hivi hamuwezi kutulia wakati mnaandika? mtuwekee kamusi ili tuwaelewe. HAPA NDIPO HUWA NINA MASHAKA NA URAIA WA WATETEZI WA MFUMO WA CHAMA TAWALA. SINA SHAKA NA ELIMU ZENU MAANA WENGI NI WAZEE WA VYETI.
 
yah ntafanikiwa sana ukiondoka mfumo fisadi wa ccm na kuingia ukawa,hujaona ni vijana wangapi wamemaliza vyuo vikuu wako mitaani hawana ajira au vyuo vilivyoko nchini vyote ni vya veta watajiajiri? hivi kwa mtazamo wako ni haki watu wachangishwe hela za maabara wakati wengine wanagawana mabilioni ya pesa ambayo yangetosha kumaliza tatizo la maabara? na waliohusika si ndio walewale wa serkal ya kijani

Mfumo fisadi ameondoka nae yule joka kuu fisadi
Baba wa ufisad
Amehama nao yuko nao mfumo huo ukawa
 
Hivi hamuwezi kutulia wakati mnaandika? mtuwekee kamusi ili tuwaelewe. HAPA NDIPO HUWA NINA MASHAKA NA URAIA WA WATETEZI WA MFUMO WA CHAMA TAWALA. SINA SHAKA NA ELIMU ZENU MAANA WENGI NI WAZEE WA VYETI.

Ndio hoja yako hio
UKAWA mbona reasoning capacity yenu ya chekechea?

Hahahah
Weka hoja mezan na huyo mgonjwa wenu
 
Jaribu hata kutumia akili kidogo

Afya
Kuna zahanati zmejengwa kila kata na Serikali tukufu ya ccm
Zimemaliza kero za wakina mama wanaitembea umbali mrefu keende kutafuta matibab
Waalize ndugu zako wanaokaa vijijin watakuambia
Tena raia wanaishukuru tu serikali

Elimu
Jmn kuhusu suala la elimu
hata kama ww ni kipofu huwezi kusema eti serikali haijafanya kitu kuhusu serikali

Compare shule za sekondari zilijuwa ngap wakati jk anaingia madarakan
Na leo shule hizo ziko ngap na zmesaidia vipi kupunguza idad ya watu wanaoishia shule ya msingi.
Hapa katikati palijitikeza tatzo la ukosef wa maabara na walimu wa kutisha
lakin serikal tukufu ya ccm imelifix hilo na kama unakumbuka
Juz juz kulikuwa na shinikizo la ma DC ambao maabara hazjakamilika wakamilishe na wamefanikiwa

Ajira
Serikali yetu imejitahidi kwa kias chake katika suala la ajira
Kwa kuapply njia zifuatazi
1.kuongeza vyuo vya elimu ya Ufundi kwa vutendi kama veta
Na vyuo mbali mbali vya maendeleo ya jamii
Hivyo kupunguza tatzo la ajira

2 . kupitia wizara zake mbalimbali
kama wizara ya elimu ambayo imekuwa mstar wa mbele katka kutoa ajira mbalimbali

Mabasi yaendayo kasi

mradi huo umeshajamilija
Na bashukuru serikali yetu imetimiza hilo na uzinduz ulikuwa jana
Hilo sitalizungumzia maana mmejionea wote

Serikali ya CCM ni tukufu ???

Mungu pekee ndo mtukufu

CCM ibilisi
 
---- ww hata kuandika tu kazi,unaandika unafikiri sisi tuko kenya au?mbona hatuyaoni hayo yote

Utayaonaje uko daslaam

Njoo kilwa kivinje uone

Njoo maswa simiyu uone

Njoo tandahimba uone

Huwez kuyaona maana hujaamua kuyaona
Na umeshalishwa sumu
 
Utayaonaje uko daslaam

Njoo kilwa kivinje uone

Njoo maswa simiyu uone

Njoo tandahimba uone

Huwez kuyaona maana hujaamua kuyaona
Na umeshalishwa sumu

Umekalili mkuu siyo kila aliyeko jamiiforum anatoka dar,me niko namanyere huku ndo kwetu tena vijijini kabisa au huku siyo tanzania?ndo maana nimekuambia siyaoni hayo yote zaidi kuona kwenye maandishi tu na kusikia kwenye majibu ya mawazir wenu kupitia maswali na majibu ya pale Ze comedy show dodoma
 
Ebu niambie uko namanyere sehem gan
Ili nikupe data

Maana hapo kuna mrad mkubwa wa afya unaendelea
 
vipi kuhusu bilioni 324 za escrow,zisingetosha kukabiliana na tatizo la maabara nchini mpaka walimu na wananchi wachangishwe? au ndio imetumika kununulia laptop za walimu? au ule ulikua sio ufisadi?

Kwan hawakuwajibishwa?
S ndo nyie mnasema kama una ushahidi peleka mahakamani?
 
Waliwajibishwaje? Na je mbona wamepitishwa tena kugombea ubunge? Huo ndo uwajibishwaji?

Mbona zee lako mko nalo huko na mamilion ya richmond liliiba?

Au ndo nyan haon kundule
ata kama yuko kwenye salun ya vioo?
 
Leta hoja kijana au ndo ule ugonjwa wenu?

TAHADHARI= kuna ugonjwa umeingia hapa nchini, ugonjwa huu unaitwa UKAWA, dalili zake ni ukosefu wa maadili kwa vijana, uroho wamadaraka, ukabila,ukiukwaji wahaki, kama upatapo dalili hizo jua umepata ugonjwa huo,umewapoteza watu muhimu kama Dr.silaa na Pr.lipumba dawa zinapatikana katika ofisi zote za CCM ambazo zipo nchini kote zikiongozwa na mtaalam wa ugonjwa huo Dr JONH POMBE MAGUFULI.
 
Nimeulizwa hivi ni kwanini hii nchi ni masikini namna hii wakati tuna kiiila aina ya Resources yaani:-

-Madini: nazo ni Dhahabu,Almasi,Tanzanite,Mercury,Chuma n.k

-Gesi nyingi tena sana.

-Makaa ya Mawe

-Large National Parks

-Large Game Reserves

-Udongo wenye rutuba kila mkoa

-Bahari kubwa sana na Ufukwe mrefu Afrika ya Mashariki

-Samaki wa aina mbalimbali.

-Wakulima wa Mahindi,Pamba,karafuu,Minazi,Zabibu,Karanga,Maharage n.k ila hao ndio masikini zaidi

-Mifugo,Tz ni nchi ya pili kuwa na ng'ombe wengi Africa nzima

-Vyanzo vingi vya maji

-Chumvi

-Unga wa kutengeneza penseli (za kuchorea)

-Hali nzuri ya hewa.

SASA HEBU TUSAIDIANE:
KWANINI TANZANIA BADO NI MASIKINI?
 
Back
Top Bottom