mhhh cfikirii kama nikwel maana afya unayoizungumzia hyo. ikiwa hospital kuu uhaba wavifaa unasumbua madakar na wagonjwa je huko kijijini. elimu nikwel tumejitahid sana kujenga majengo ila mitaala mibovu. kuhusu ajira hilo ndo utata mtu mm mtoto wa mkulima ntawezaje kufikiria kuajiri watu 10000 wakat kibanda changu cha vocha kodi kubwa kuliko mtaji. kiufupi kwa miaka hamsini tangu tanu hadi ccm na maendeleo tuliyonayo haitii moyo. Mungu tuoneshe rais mwema atumikie.