KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 82
Natumaini wakati wa azimio la arusha kama wanamkakati uliokuwa ukiongozwa na mwalimu jk nyerere wa kujali na kuleta maendeleo kwa wote ungekwenda kama walivyokubaliana leo ungekuta nchi ipo na watu wenye maadili ya kweli,na maendeleo ya kweli.tujiulize kijanja na kijinga pia.nchi yetu ina.-1 -madini mengi sana ya aina mbalimbali.tanzanite na dhahabu gramu moja inatosha kununua mafuta (barrels)pipa tano,sasa fikiria tanzanite iliyokuwa inauzwa kenya wao wakapewa zawadi ya ndege nilisikia ingawa sina ukweli wa hilo.makampuni yote yanayochimba dhahabu yameneemeka .-2-misitu ,ambayo inatoa mbao nyingi ukweli ni kwamba nchi yetu ni nne kwa uzalishaji hapa afrika.-3 mbuga za wa nyama-tanzania ni ya tatu kwa kupokea watalii weni barani afrika,ukiachilia mbali ,uwindaji,uuzwaji wa nyama pori na mazao mengine yatokanayo na mbuga za wanyama.-3-bandari,inasikitisha kwamba nchi kama zambia ,malawi burundi rwanda,zaire zitegemea bandari ya dar es salaam kupitisha mizigo yao.-4-bahari ,maziwa,mito na mabwawa,vyote ni vyanzo vya samaki,vyiura ,maji kwa umwagiliaji nk.-5-ardhi -kwa kilimo cha mazao ya biashara ,chakula,mauwa ,mboga ,matunda ,ujenzi wa barabara zilizo bora kwa usafiri wa mizigo inayikwenda nje.-6-viwanja vya ndege ,reli.-7-milima kama kilimanjaro,usambara,meru nk.ni utajiri usiobebeka kama kila mtu akimfiria mtanzania kama mwenzake.tujifunze kutoka kwa wazungu hawana mchezo na maendeleo ,uongozi,utawala,matumizi ya rasilimali.mwisho kila kitu kina mwisho na kila mtu anastahili maisha bora
