Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Na wala hatakujibu. Kwa sababu hana jibu.

Mkuu unajua sisi watanzania tuna tofauti katika namna ya kufikiri uongozi na maana yake ni nini. Kuna watanzania wakiinga madarakani wanachofikiri ni kuwa, nikiwa mkurugenzi lazima nitumie gari ile, lazima niende nchi ile,lazima nile chakula kile, lazima nichukue mwanamke yule na wa rangi ile, lazima nifanye kitu kile ili wanione mimi ni nani. Vichwani mwao hakuna cha kufikiri nataka kuifikisha Tanzania hatua hii, nataka watanzania wafikie hatua hii. Ukiwa na mtu kama huyo kwenye uongozi matoeo yakle ndio mashirika yanakuwa hoi.

Nyerere na udhaifu wake wote na ubaya wake wote, alikuwa anaifikiri Tanzania na watanzania. Hata mazuri na mabaya aliyofanya yanayohusu nchi, yalikuwa in terms ya kuifikiria Tanzania. Sasa hali ni tofauti kabisa, uongozi ni kufaidi na kufuja, si kuongoza na kujenga.
 
Mkuu Bongolander, kula tano! wenyewe wanasema Kuntu.
Mkuu, Mkandara nakubaliana nawe kabisa kuwa sisi tuna wajibu wa kurudisha uzalendo kwani ndio waajiri na sio waajiriwa.
Mara zote nimesema tatizo la viongozi ni sehemu moja na Wananchi wanasehemu yao.

Sioni kwanini tusubiri kudhulumiwa, kuibiwa na kuporwa eti tukingoja miaka 5 iishie. Demokrasi inatupa haki ya kuwaondoa hawa viongozi wanaofanya nyuso zetu ziwe na aibu kutamka mimi Mtanzania kwasababu mtu aki google tu kitu anachopambana nacho ni neno 'poor country', poverty n.k.

Wanafunzi wa ulaya wanakuja kuandika thesis za umasikini kwa kutumia sisi kama mfano. Hatuna sababu,mungu ametupa kila kitu.Tunachotakiwa ni kuamua tu, na mimi sijali hata kama tutasimama wote na kuwasubiri wakitoka maofisini tuwatie viboko na kuwaamuru wasirudi tena.

Tuchukue ma VX na kuyasambaza kama ambulance. Haiwezekani mama mjazito abebwe na Bajaji halafu mtu mmoja atumie milioni 150 kununua gari la kuendea shopping nasi tubaki tunalalama. Tena tunamzawadia laki 2 za kukaa kweney kiti cha kazini kwake sisi tukivuja jasho kwa kubeba lumbesa na kukokota maguta.

Tatizo ni sisi wananchi, swali ni je lini tutaamua na kuacha kulalama! Lini tutakuwa waajiri na kuwatia adabu waajiriwa wanaoitwa viongozi. Ni lini? na kwanini tunasubiri. Tunasubiri nini?
 
Magorofa na mejongo si kigezo kizuri cha maendeleo. . Angalia afya za watu, angalia chakulka wanachokula, angalia wanapolalala, maji wanayokunywa, elimu na shule zao, barabara zao etc etc utaona kuwa bado watu wamechoka sana. Maendeleo ni kubwa zaidi ya hapo.

Hiki ndicho kitu mjadala mzima so far inakikwepa wananchi unawainua vipi waweze pata mahitaji yao muhimu bila ya kusua-kusua na wala kubahatisha. IMF na wenzake wanaweza tuwekea masharti yao kwenye mikopo yao inayoenda serikalini, lakini IMF hawapo responsible na creativity yetu ya kukuza uchumi wa ndani kuongeza ajira na kuweka miuondo mbinu ya kumsaidia mtanzania (na hili ndio suala zima la uchumi wetu, lakini sisi tumejikita katika maliasili na madini as if ndio panacea ya uchumi wetu).

Embu kwanza tungejiuliza how many people are most likely to be employed in our natural resources sectors and tourism. Ni wachache sana katika nchi yenye watu zaidi ya million 40 therefore that is not enough to eliminate poverty. Yes the profits generated could play a vital role in improving people quality of lives but then, the government is expected to foot the bill on health, education at all levels, invest in the infrastructure etc, etc, etc. Realistically the natural resources on their own can not feel the poverty gap of the nation.

This is where the future challenges lie, how do we improve the employment sector, curb inflation and utilise other economical resources including human capital. It is very technical and we need creative people to leads us out, but for certain Azimio la Arusha is not part of the solution nor is Mr Mkullo.
 
Sasa mkuu wangu unashauri tunazie wapi? maana nimesoma hoja nyingi humu ndani na yaonyesha safari itakuwa ndefu sana kama alivyosema FaizaFoxy...Je, ni kweli tusubiri miaka 120 ijayo kuona Tanzania inabadilika!...Tuanzie wapi!..

Swala la IMF ni mtazamo toka nje kama alivyosema Mchambuzi, lakini nao wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzorota kwetu maana nijuavyo sisi tuna mila na desturi za Utumwa kusubiri misaada. Narudi ktk maandishi yako hapo chini yanayosema hivi:- the difference between fantasy and realism is that, one is based on wishful thinking and the other purely on facts.

FANTASY:-
Mimi nadhani sisi tuishi ktk Fantasy maisha yetu yote..Tazmaa itifaki zetu utakuta zinakinzana sana na Ubepari.. Ujamaa wa asili unatufunza UMOJA wa kimaskini ambao kwa lugha nyingine naweza sema ndio ujamaa wa Nyerere. Ebu rudi nyuma kidogo na kulitazama hili.
Tuna ndugu zetu nyumbani ambao wanategemea sisi kutuma fedha za mtaji ili wao watoke ktk umaskini...Na unatakiwa kumpa kila mmoja mtaji wao iwe wako 10 au 20 mtaji, sio kuwaambia wa washirikiane kuendesha biashara. Ugonvi utatokea na hawataki kuwa pamoja hata kama una nia nzuri kwa jamii. Na inavyosemekana ktk uchunguzi inaonyesha kwamba asilimia 80 ya waafrika hatuaminiani kutokana na kwamba sisi ni sawa na kaa waliopo ktk kapu. Akitoka mmoja hawezi kuwasaidia wengine watoke, hivyo kutoaminiana huko kumesababisha tunakanyagana na kuvutana tukiwa ndani ya kapu la umaskini.

Halafu hata ukitaka kutoa huo mtaji hautakiwi kufikiria kwamba utarudishiwa fedha uloyoitoa, hutakiwi umwambie namna na kuwekeza au kutaka kujua hesabu za biashara alowekeza hata kama unajua fika kwamba biashara anayoitaka haita mwezesha kutoka. Na akitoka hatakurudishia mtaji uliotoa au kumpa mtu mwingine naye atoke kama wanavyofanya Wahindi na Wayahudi.. Kwa kila utakavyo kosoa hiyo biashara yake ndivyo atakuelewa hutaki kumsaidia..Na usipowapa mtaji utaonekana huna nia njema na mshenzi tu alobahatika kwenda Ulaya...

Ndivyo hivyo hivyo IMF wanavyopata taabu IMF na nchi za kiafrika, na mwanzo nilifkiria Ujamaa ndio umechangia fikra kamahizi lakini ukweli ni kwamba nchi zote za kiafrika iwe za kibepari au kijamaa zina matatizo haya kuanzia ndani ya familia zao hadi Kitaifa. Na jingine ni kwamba siamni kama IMF wanajua suluhisho la matatizo yetu kutokana na kwamba wasomi wao hawajawahi kuishi ktk mazingira kimaskini na Uhaba ( Scarcity) wa karibu kila kitu..Na watawekeza fedha yao tu mahala ambapo wana hakika fedha yao itarudi ikiwa jambo ambalo sisi hatuna utamaduni nalo na ndio maana tuna madeni ambayo yanawezekana tu kulipwa yote kwa miaka 100 ijayo.
 
KUWEZESHWA KUWEZESHANA NA KUTOPENDA VYA KWETU NI CHANZO CHA UMASIKINI
Sehemu ya umasikini tulioao inatokana na kasumba tuliyokaririshwa na kuikubali kuwa eti bidhaa zetu sio Bora. Hiiinapigiwa msumari na biashara huru na ya ushindani amabapo hakuna mpango maalum wa kupendelea na kuzibeba bidhaa zetu nyumbani.

Inachekesha pia kuna hata watu wanabeza "ubora" wa bidhaa za china dihidi ya zile za magharibi kumbe unaweza kuacha kununua vigae vya Tanzania na china kwa kuwa eti s bora ukanunua vya spain amabvyo vimetengenzwa kwa teknolojia ya china .

Nakumbuka zamani sana tulichekwa na kuonekana MASIKINI kwa Kuvaa viatu laba za "DH" zilizokuwa zinatngenezwa na kiwanda cha bora . Lakini leo hii eti ni fashion kwa kuwa tu viatu aina hizo vinavaliwa na akina "nanihii" wa majuu. Mtu yuko tayari kununua design ya yenye nembo ya NIKE ya USA lakini sio DH ya Bora ya Tanzania........ kwa hiyo tuko radhi kuwatajirisha wenzetu........

Kwenye majukwaa ya siasa viongozi wanaimba tupende na tununue bidhaa za Tanzania. Lakini ni viongozi wachache wanaishi hivi. Sidhani kama kuna mbunge yuko tayari japo katika seti zake za suti ashoneshe tatu kutoka wa fundi wa jimboni/wilayni kwake ili asaidie kundoa umasiikni na kukuza ajira..

Sababu ya kisingizio cha ya "ubora" wabunge wengi utakuta wanaagiza suti za italy na kama kuzinunua Tanzania basi wanazinunua Dar sio wilayani au mikoani kwao.. So unakuta mbunge au iongozi ya matumizi anayofanya hata 10% haitumiki eneo lake. Mwingine wa kuwa ni kingozi anaona sio level yake kununua vitu kwenye soko la local. anapoishi

Ukiondoa vingozi na wanasisa kama wabunge nadhani hata sisi "watu wa kati" wengi tunaamini ni kujishusha hadhi kuchongesha viatu japo pair mbili au tatu kwa mwaka kwa fundi wa mtaani.

Kuna vitu vidogo mtu mmoja mmoja anaweza kufanya vikasiaida kundoa umasikini kwenye jamii . Mfano wa vitu vyenyewe ni kama hivyo viatu na nguo. Naamin wanasiasa na vingozi wakiwa mfano watu watafuata.
Mandela shirt iilipata sifa na inajulikana dunia nzima sababu ilipromotiwa na kiongozi. Sababu ya image ya mandela ikapata soko ubwa ndani na nje ya nchi. sasa sisi viongzi wetu wanatakiwa watafute jinsi ya kupromote vya kwetu.

Itapendeza watu wajue au watangaziwe kuwa katika suti na mavazi anazovaa jK zimo chache zimetengenezwa na Khadija mwanamboka . Au itapendeza vijana wajue katika suti au viatu wanavyovyaa kina Zitto kabwe au January makamba au Mnyika chache kati yake zimeshoneshwa au kutengenezwa na fundi Masawe wa Sinza au Fundi Zuberi wa Ubungo au dada Kalumanzila wa Mwandiga Kigoma.

Kwenye picha ya Ikulu Rais wetu aliyopiga na viongzi walikuwa wakikutana kuhussu mchkato wakatiba mpya zaidi ya uatza sura nilijaribu kupepesa na kujilza je kaitika kile chumba WHAT IS MADE or DESIGNED IN TANZANIA . Mpaka leo napenda kujua je zle sanamau na picha za kuchora za ukutani zimetoka nje. Kama ni za mtanzania ni kazi ya msanii gani tumpe sifa.....

Tunaweza kukubali iasi kuwa Kwa tanzaia hakuna anayeweza kudesgn na kutenegza milango ya ikulu au hakua anayweza kutengeneza zulia la ikulu au samani viti nameza za ikulu haziwezi kutoka wa mafundi wa keko............

Lakini kama tungekuwa tunajitambua basi zingewekwa level ili wajsirimali wa ndani wajijue ni wapi wana nafasi ni wapi hawana .
OK let say si aibu ikuu i inaagiza 90 % fenisha kutoka china. Lets say ni aibu kidogo pia Wizara zinaagiza 90% ya viti na meza kutoka china. Lakini ni aibu Ofisi za Mikoa na wilaya zinaagiza 90 % ya viti na meza kutoka china na hata Ni aibu kubwa zaidi ofisi ya mbunge asiyotumia sana . anaaagiza viti 90% na meza kutoka china . Hivi itakuwa kosa l kimataifa tukitengea kuwa kuanziangazi ya wilaya au Mkoa asilimia (%) fulani ya tender ipatikane wa bidhaa na wazalishaji kutoka nchini.

So utaona wakati wanasiasa wetu wanaongea mambo ya ajira na umasikini kwenye majukwaa lakini maamuzi na vietendo wanavyofanya na kusiamami , na maisha wanayosihi hayaendani maneno yao

Mbunge akishonesha suti mbil au tatu kwa fundi jimbon ikwake kila mwaka atasaidia kuondoa umasikini kuuza ajira na hata kungeza ubora na ufanisi wa yule fundi...

Na sisi mimi na wewe tuna mtazamo gani na bidhaa zinazotengenzwa Kubuniwa na kuzalishwa na watanzania wenztu.......
 
@Mkandara issue sio kuwapa watu mtaji kwa sababu the notion is based ya kwamba ndugu wote wanaelewa kuendesha biashara. Kwa maana hiyo kama serikali ikitegemea kuweka misingi fulani na kutegemea watu wajisaidie wanakuwa hawaiangalii picha nzima, ndio maana pengine wale waliofaidika na mfumo uliopo sasa ni wale waelevu na majasiri waliopo; aina maana ndio kikomo isipokuwa pengine wengine hawana ufahamu wa kuzielewa na kuzitumia njia zilizopo sasa to their advantage.

Ndio maana nadhani ni jukumu la serikali kuakikisha mbinu zinakuwa rahisi kufahamika ili wengi wanufaike maana so far ni ngumu (maana si wengi wanaofaidika) pengine through exposure au poor preparations za watu ktk jamii.

Moja ya vipingamizi ni taxes zetu ambazo hazipo business friendly wala interest za benki aziashirii kutaka watu wachukue risks ambazo ni manageable ndio maana so far majasiri wachache wamejitokeza kuna waliotoka na waliozama vibaya. Kwa maana hiyo kuna umuhimu wa kuweka taxes rights hili biashara iwe kivutio, to encourage importation on goods that are in limited supply nchini na si vitu kama tooth brushes na kuwawekea watanzania misingi ya kuweza kufungua biashara bila ya ushindani wafujo kutoka nje (through higher importation taxes on goods that can be manufactured easly inland) Pengine hao wachina wataona umuhimu wa kufungua viwanda ndani badala ya kutuletea na meli the final products. The idea is to boost home employment.

Hili ni moja lakini pili tukirudi kwenye mfano wako wa ndugu tegemezi ukishaona wengine hawawezi kwenda kibiashara wenyewe na unaona ni wajibu wako kuwasaidia inabidi uje na mbinu zingine kuwatoa kwenye gharama za mfuko wako. Ikibidi uwaanzishie biashara wawe waajiriwa hili wapate kujitegemea. Hii ndio misingi ya maendeleo watu wajitegemee na si kutegemea, hili wasipangiwe masharti kwenye kuomba. Ndio maana binafsi naona hatujafikia hatua ya kudandia capitalism fully the government still has a role to play in manufacturing as we just dont have enough internal investors to propel growth.

Sisi tunategema kuacha misaada wakati amna mbinu za kuakikisha watu wanaweza kujitegema wala amna sera zinazolenga kutatua tatizo hilo in the long run, kwa maana hiyo serikali itaendelea kukopa tu kwa ajili yetu kibaya zaidi mikopo yenyewe ndio marupu rupu na kadhalika and that is a problem.
 
Hiki ndicho kitu mjadala mzima so far inakikwepa wananchi unawainua vipi waweze pata mahitaji yao muhimu bila ya kusua-kusua na wala kubahatisha. IMF na wenzake wanaweza tuwekea masharti yao kwenye mikopo yao inayoenda serikalini, lakini IMF hawapo responsible na creativity yetu ya kukuza uchumi wa ndani kuongeza ajira na kuweka miuondo mbinu ya kumsaidia mtanzania (na hili ndio suala zima la uchumi wetu, lakini sisi tumejikita katika maliasili na madini as if ndio panacea ya uchumi wetu).

Embu kwanza tungejiuliza how many people are most likely to be employed in our natural resources sectors and tourism. Ni wachache sana katika nchi yenye watu zaidi ya million 40 therefore that is not enough to eliminate poverty. Yes the profits generated could play a vital role in improving people quality of lives but then, the government is expected to foot the bill on health, education at all levels, invest in the infrastructure etc, etc, etc. Realistically the natural resources on their own can not feel the poverty gap of the nation.

This is where the future challenges lie, how do we improve the employment sector, curb inflation and utilise other economical resources including human capital. It is very technical and we need creative people to leads us out, but for certain Azimio la Arusha is not part of the solution nor is Mr Mkullo.
Mkuu, niongezee kuwa kwasababu hakuna creativity hata serikali kila siku inaandaa bajeti ya kupandisha kodi za bia, soda na sigara. Yaani hakuna anayeweza kufikiri nje ya hapo.

Tunapoangalia ajira tunaangali viwandani, madini na utalii na hapo ndipo viongozi wetu walipoweka akili zao. Hakuna anayefikiri kuwa Nyanya za kipera, vitunguu vya karatu, machungwa ya Muheza na embe za Tabora zinatafutwa nje.
Hakuna kiongozi anayejiuliza vipi tuwawezeshe wananchi wetu wauze maembe UK kama Bangladesh au South Africa.
Kilimo tu na mlolongo wake vingetengeneza ajira nyingi sana. Bahati mbaya tunatumia milioni 600 kuweka matangazo Heathrow na hakuna senti ya kumwezesha mkulima wa kipera aliyelima na kuvuna na kisha kuishia kuuza tenga la nyanya sh 300 yaani dollar 2.

Kuhusu hoja ya Azimio la Arusha, watu wanaliangalia azimio kwa jicho la kengeza. Azimio halikuwa juu ya uuzaji wa viwanda au kutaifisha mali tu, lilikuwa na misingi muhimu sana tunayoihitaji leo kama maadili ya uongozi.

Azimio si suluhisho pekee lakini tusisahahu kuwa uporaji na ulafi ni matokeo ya loophole iliyopo kwa viongozi.
Kwa vile liliwabana waliamua kukutana Zbar na kuondoa vipengele vinavyowazuia kupora bila kujadili yanayomhusu Masanja, Zomboko na Mwita. Tuliangalie azimio kwa ujumla wake na si kipengele kimoja kiwe ndiyo azimio lote.

Mkuu Mtazamaji, mimi napenda sana Tanbond ya kwetu, swali ni je nitaipata wapi? Ninapenda sana vitenge vya Mwatex, nitavipata wapi n.k. Nina maana si tumegeuza viwanda kuwa maghala na kuuza mitambo kama vyuma chakavu.
Tulianza vema sijui imetokea nini hadi tunaagiza viberiti kutoka Afghanistan!!

Kwa upande wa pili, ni lazima wazalishaji wetu walete vitu vyenye ubora. Soko la dunia ni la ushindani sasa kama unatengeneza bidhaa chini ya kiwango, ni dhahiri hatutamudu ushindani. Yote hayo yapo chini ya mwamvuli wa uongozi. Kama hakuna mwenye mtazamo kila mmoja anaagalia VX mpya na tunawaacha tu watende watakayo, tumekwama!
 
Sio kodi za sigara, bia na soda tu, na huko bandarini jamaa nnaowajua mimi magari ilikuwa biashara yao sasa wamesusa. Jamaa akili yao haipo kwenye kukuza uchumi (especially biashara za ndani) na kuwa na wimbi kubwa la mapato. Wao sasa akili yao ni kukimaliza kile kilichopo hili kuongeza mapato ndio maana anything that looks profitable is a target and encouraging growth is not a priority.

Azimio la Arusha si kwamba nalipinga totally but the economical approach of it ndio i dont see eye to eye with it.

Kuhusu maembe na nyanya kudorora binafsi sioni hapa lawama kwenda directly to gov it is not fair, kwa sababu wakulima wengi hawako chini ya imaya ya serikali tunarudi pale pale nnaposema je ni wangapi wanaelewa mfumo hili waweze tajirikia katikati, yaani watu wa kuwa ma agent wa wakulima na hizo nchi.

Maana hata huko ugenini wanunuzi si serikali bali ni ma-supermarket ambao pengine so far for some reasons known to them hawajaona bado sababu ya kuja kununua bidhaa bongo, maana hata hayo mashamba ya nje trust me mengi wamiliki ni wazungu wale wale tu na wengi ni well connected.

It's a long and complicated issue though not impossible to penetrate their market, lakini binafisi i am more concerned in finding a solution to our macro mechanism that works, than concentrating at the world stage maana huko ndio kuna akina WTO, IMF and other devils.
 
Nimetolea mfano wa nje kwasababu fulani. Kwanini Mkenya aje anunue vitunguu Karatu halafu auze UK!!
Kwanini Waganda, Ghana, Kenya wameweza kupenya hilo soko bila mikono ya wazungu.

Kwanini Wachina wawe na super market za bidhaa zao na sasa wameteka soko la waafrika ughaibuni kwa kuweka bidhaa za kawaida lakini kutoka kwao. Sidhani ni lazima watu watumie supermarket kubwa, labda tungeiga mfano wa wenzetu.
Ninajua wahindi waliokimbizwa na Amin wao soko lao ni watu wa Africa na wanachukua bidhaa kutoka Africa. Labda hapo ndipo sielewi kuwa wenzetu wana kitu gani. Na hapo ndipo naona hoja huenda kuna mapungufu kwa upande wetu.

Kuhusu wakulima, endapo serikali inapiga kelele watu walime, watumie mbolea na matrekta, halafu mtu ana maguni 200 na hajui auze wapi au akiuza Zambia anakamatwa, sasa hapa serikali imeandaa mazingira gani ya kumwezesha huyu mkulima.

Kumwezesha kutasaidia yeye apeleke watoto shule ambao wanaweza kuwa na upeo na kufanya hizo biashara za kati. Vinginevyo huyu mkulima atanyunyuka vipi. Hapa serikali haina wajibu kweli?

Mbona serikali za magaharibi zinafidia hadi ruzuku za wakulima wao na kulinda soko kama ilivyofanya Ireland kuzuia uingizaji wa mayai? Sasa sisi iweje serikali ijitoe kabisa, na viongozi wapite wakichukua allowance kwa kuhubiri kilimo kwanza!

Hili la kodi ndugu yangu tuna tatizo kama lile la kufikiri soda na bia. Utashangaa TRA wapo viwanja vya ndege kukamata wanafunzi wenye laptop 2! huko bandarini makontena yanapita kwa exemption na vi memo.

Kama ulivyosema hakuna anayefikiri chanzo kingine kila mtu anasubiri bia,soda na sigara. Wakimaliza hapo wanarudi kwenye mshahara wa 150,000 wanauchanja kodi kubwa sana.

Wao wenyewe wamejiwekea mshahara wa milioni 3 na unakatwa kodi. Hizo allowance zinafanya kipato kiwe milioni 12 kama wabunge wanavyofanya. Ni ujanja tu hakuna mwenye nia ya kweli. Mfagizi wa Tanzania analipa kodi kubwa kimahesabu kuliko viongozi wengi tu.

Hatuwezi kutoka katika mtego huu kama kiongozi au viongozi wanazurura duniani kana kwamba Tanzania ni jangwa na hakuna kinachoweza kubuniwa. Ndiyo maana bado nasisitiza kama sisi wananchi hatutaamka na kujitoa kama waajiri kuwaadanisha hawa waajiriwa tutavuna mabua kila siku
 
Kwa wenzetu kupokea misaada ni kitu kibaya na aibu, lakini kutoa ni sifa kubwa. NI bahati mbaya sana kwa sasa tuna mentality ya kupokea misaada, na kushindwa kufanya lolote kwa kuwa tunategemea tutasaidiwa.

Ni sahihi. Ebu tazama Marekani wanavyokataa misaada wakati wa maafa kama Katrina n.k, walikataa misaada mingi sana, hata ile ya bure.
 
@Nguvuri,,

Mfano wako wa wakenya na foreigners kuja kununua bidhaa na kwenda kutuuzia nje ni moja ya vitu ambavyo binafsi naona ni tatizo kwetu ambalo i dint know, hila if anything it highlights my point ndio maana nikasema either tuna poor exposure ya capitalism or we do not have enough players to capitalize on our part. Hila it has to be mentioned kuna watu ambao walikuwa na pilika na wazungu za kutaka kuwaleta wa invest and it proved to be an almost impossible task without the right connections. Kuna wapuuzi na washamba wengi ambao wanazuia vitu vingi bila ya wahusika kuvisikia sishangai unavyosema kuna watu wanaona bora kumzuia mtanzania na kumwachia mgeni though you dint mention if it's through poor policies or just an african hatred and jealousy.

Kuhusu wachina kuteka soko la wazungu hiyo ni half truth much of what populates the western comes from western based companies that are located in China, its just that white man propaganda tends to fool us. This ideas are for the purpose of imposing higher tariffs taxes on importation and encouraging companies moving back to their shores. The chinese offer friendly policies and cheap labour in return they capitalize on their human capital and those companies in return boost the local chinese economy whilst paying taxes.

Regarding your taxes proposals its been my argument all long siding for policies that aim to boost internal growth including the western approaches and many others that are pro protectionism.
 
Kwa bahati mbaya zaidi kwa Watanzania Jakaya Mrisho Kikwete akafuta hata hiyo moja, akaenda India kuwaita Wahindi, wameng'oa reli kama chuma chakavu. Reli ya kati haifanyi kazi chini ya Uongozi wa Jakaya Mrisho Kikwete. Kama kuna aliyeacha mablanketi machafu Jakaya Mrisho amethubutu kuuza mataruma.

According to the World Bank:

*Urefu wa reli Tanzania 1985 = 4,444 Kilometres

*Urefu wa reli Tanzania 2012 = 2,600 Kilometres.

Inabidi Faiza Foxy atusaidie kutuelewesha hizi Kilometres 1,844 zimeenda wapi.
 
Utashangaa TRA wapo viwanja vya ndege kukamata wanafunzi wenye laptop 2! huko bandarini makontena yanapita kwa exemption na vi memo.

TRA airport kazi yao kubwa sikuhizi ni kusamehe kodi za wasafiri kwa kupewa mashine za kunyolewa ndevu au marashi kama zawadi. Nilishtuka sana siku moja afisa mmoja aliponiambia nikimwachia chanuo la umeme nililokuwa nimemletea mama yangu kama zawadi, ataniachia nipite bila kusachiwa na mtu yoyote.
 
Kuhusu maembe na nyanya kudorora binafsi sioni hapa lawama kwenda directly to gov it is not fair, kwa sababu wakulima wengi hawako chini ya imaya ya serikali tunarudi pale pale nnaposema je ni wangapi wanaelewa mfumo hili waweze tajirikia katikati, yaani watu wa kuwa ma agent wa wakulima na hizo nchi.

Nadhani ni muhimu sana tuka identify wapi kuna market failures na wapi kuna government failures, ili tuweze ku intervene kwa sera nzuri accordingly.
 
Nadhani ni muhimu sana tuka identify wapi kuna market failures na wapi kuna government failures, ili tuweze ku intervene kwa sera nzuri accordingly.

A....For starters we have trade deficit and we are a poor nation with huge unemployment it is a market failure meaning we rely heavily from importation and unwilling to capitalize on our resources.

B.. Government failure is due to the fact, those in charge do not see A as a problem. Its the're role to make sure that people have better life chances and come up with policies that aim to improve the conditions of those at the bottom. As yet they have no policies that do encourage growth au?
 
Tanzania sio maskini ila ina viongozi maskini wa fikra, wasioona mbali na wenye kujipenda wao na familia zao tu na wale marafiki zao
 
A....For starters we have trade deficit and we are a poor nation with huge unemployment it is a market failure meaning we rely heavily from importation and unwilling to capitalize on our resources.

B.. Government failure is due to the fact, those in charge do not see A as a problem. Its the're role to make sure that people have better life chances and come up with policies that aim to improve the conditions of those at the bottom. As yet they have no policies that do encourage growth au?

That's correct, kwani despite of msizitizo kutoka kwa wakubwa (World Bank and IMF), kwamba our future lies on the ‘market', hivyo we should give the ‘market' a more prominent role in our economy kuliko the state (government), kuna ushahidi wa kutosha kwamba the ‘market' has failed despite kuwa operational for 27 years (1985 – 2012); and so did the government (UJAMAA) i.e. the government also ‘failed', pamoja na kuwa operational for 18 years (1967 – 1985). Sasa tujiulize, tatizo la msingi ni nini hasa? Kwani since ujio wa soko huria, we haven't been able to experience economic growth that is pro – poor i.e. economic growth with benefits trickling to Mwanakijiji wa Tunduru, Maswa n.k. Instead, it's only a few people in urban areas, as well as owners of international capital, ndio wamekuwa wanafaidika na this so called ‘tremendous' GDP growth, which has averaged 7% since 2000.

During this entire period, as you rightly put it, poverty has become more prevalent, our deficit has widened even more, and unemployment remains largely uncontrollable. And this is happening wakati tunazidi to import more and more of capital goods and receiving more and more of Foreign AID. Where has all this AID and Foreign Capital Gone? Kwani the outcome has been the same for decades – we remain to be a beggar nation. We live to survive the next day while remaining dependent, instead of growing and becoming independent.

Ni vigumu sana kuja na majibu kwanini sisi maskini bila ya kuangalia sababu za ndani na za nje juu ya umaskini wetu. Ni muhimu zikatengishwa kwanza katika makundi haya mawili, kisha kufanyiwa analysis ya kina independently ili kupata majibu ya uhakika zaidi. Muhimu zaidi ni kuwa na uelewa kwamba uhuru wa kisiasa na uhuru wa kiuchumi ni vitu viwili tofauti. Tulipata uhuru wa kisiasa 1961, lakini hatujapata uhuru wa kiuchumi, na mbaya zaidi ni kwamba viongozi wetu hawapigani vita dhidi ya ukoloni wa kiuchumi. Kwa wao, unlike Nyerere, uhuru wa kisiasa umetosha, kwani uwepo wa ukoloni wa kiuchumi unawapa faida kubwa wao, marafiki zao na familia zao. Mifano hai ni jinsi gani wakubwa wa WorldBank wanavyoweka masharti katika mikopo yao juu ya jinsi gani tuendeshe sekta zetu kwa mfano, sekta ya madini. Na pia jinsi gani wanasiasa wetu wanavyoshirikianana kampuni za migodi kuiba madini yetu, na pia kuficha ukweli jinsi gani makampuni haya yanaua watanzania, pamoja na ripoti juu ya suala hili kuandikwa na watu wa Sweden na kukabidhiwa serikali.
 
That's correct, kwani despite of msizitizo kutoka kwa wakubwa (World Bank and IMF), kwamba our future lies on the ‘market', hivyo we should give the ‘market' a more prominent role in our economy kuliko the state (government), kuna ushahidi wa kutosha kwamba the ‘market' has failed despite kuwa operational for 27 years (1985 – 2012); and so did the government (UJAMAA) i.e. the government also ‘failed', pamoja na kuwa operational for 18 years (1967 – 1985). Sasa tujiulize, tatizo la msingi ni nini hasa? Kwani since ujio wa soko huria, we haven't been able to experience economic growth that is pro – poor i.e. economic growth with benefits trickling to Mwanakijiji wa Tunduru, Maswa n.k. Instead, it's only a few people in urban areas, as well as owners of international capital, ndio wamekuwa wanafaidika na this so called ‘tremendous' GDP growth, which has averaged 7% since 2000.

During this entire period, as you rightly put it, poverty has become more prevalent, our deficit has widened even more, and unemployment remains largely uncontrollable. And this is happening wakati tunazidi to import more and more of capital goods and receiving more and more of Foreign AID. Where has all this AID and Foreign Capital Gone? Kwani the outcome has been the same for decades – we remain to be a beggar nation. We live to survive the next day while remaining dependent, instead of growing and independent.

Ni vigumu sana kutenganisha sababu za ndani na za nje juu ya umaskini wetu. Ni muhimu zikatengishwa kwanza katika makundi haya mawili, kiha kufanyiwa analysis ya kina independently ili kupata majibu ya uhakika zaidi. Muhimu zaidi ni kuwa na uelewa kwamba uhuru wa kisiasa na uhuru wa kiuchumi ni vitu viwili tofauti. Tulipata uhuru wa kisiasa 1961, lakini hatujapata uhuru wa kiuchumi, na mbaya zaidi ni kwamba viongozi wetu hawapigani vita dhidi ya ukoloni wa kiuchumi. Kwa wao, uchumi wa kisiasa umetosha, kwani ukoloni wa kiuchumi unawapa faida hata wao.
True, hila market si lazima kuiangalia in terms of free market, maana hata a command economy requires market. The underlying problem here is that, the're are very few participants in the current economy (tanzanians in employment and other factors) and that is a market failure. You might be right to imply capitalism is the cause but also we can not deny there are no policies from the central government to tackle the problems at hand nor a clear direction (theoretically through policies ) that aims to solve the problems in the long run.

Unless you got ideas to share, but the state of the nation still remains the economy is a failure and so is JK's gov.

CIAO for the night wacha nikacheki wawesekaji jukwaa la siasa na hisia zao uchwara, nicheke nilale.
 
Its correct, the market has been around even before the emergence of capitalism. What has changed under capitalism ni kulifanya soko kuwa 'huru', vinginevyo as u rightly say so, soko na ubepari ni vitu viwili tofauti.

The point i was trying to make ni kwamba - my understanding of market failure ni hali ya soko kushindwa kuwaganya goods and services kwa ufanisi ndani ya uchumi in terms of uwekezaji, uzalishaji na usambazaji, pamoja na mengineo, hivyo soko kushindwa fanikisha the overall objective of achieving growth and reducing poverty; na government failure ni hali ambapo uwepo wa serikali katika uchumi unapelekea ufanisi katika masuala ya hapo juu kuwa mdogo kulinganisha na uwepo wa soko; so nilikuwa naongelea from the angle, na kujaribu kuangalia nini kimejiri Tanzania wakati wa ujamaa vis-a-vis wakati wa soko huru;

Na mimi nipo nafuatilia Siasa Za Dodoma kwenye jukwaa la Siasa; ni zaidi ya kichekesho, ni aibu.
 
According to the World Bank:

*Urefu wa reli Tanzania 1985 = 4,444 Kilometres

*Urefu wa reli Tanzania 2012 = 2,600 Kilometres.

Inabidi Faiza Foxy atusaidie kutuelewesha hizi Kilometres 1,844 zimeenda wapi.

alafu kuna viongozi wanakalia bungeni kutangaza viwanja vya kimataifa sijui MWANZA sijui songwe huku wakiacha RELI ya ati na TAzARA zinakufa.

Hivi jamani kuna uchambuzi umeshhafanyika hii miradi ya vinwaja vya ndege kama cha songwe itasaidia nini wananchi?

Preliminary analysys yangu naona Viongozi sometime wanajisahau kabisa na kuwek PRIORITY kwa mambo ambayo yanakidhi haja za wachache.

Effort kubwa ya kuwaondoela wananchi umasikini kwenye MIUNDOMBINU inatakiwa ilekezwe kwenye sekta ya RELI na si anga . Baada ya kupoteza pesa kuanzisha na Internationa Airport mpya nadhani busara zaidi tuwe na International railway station Mwanza, Dar Mbeya Kigoma etc
 
Back
Top Bottom