Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Tumezungumza mengi sana kuhusu umaskini wa Mtanzania na nadhani kwa mapana yake tumekubali kwamba nchi yetu ni tajiri kati ya nchi matajiri duniani lakini tumeshindwa kabisa kutumia nafasi, mtaji na vipaji vyetu kuweza kuutumia utajiri huo kwa faida ya wananchi au hata Taifa lenyewe.

Sasa kinachofuata ni - TULIKOSEA WAPI? ni wakati gani tumefanya maamuzi ambayo yanaendeleza hali hii iliyopo maana kama tutarekebisha hicho ama hivyo kutajenga tumaini jipya kama tulivyokuwa wakati tunaingia Ubepari mwaka 1985 na nakumbuka vizuri sana furaha tulizokuwa nazo. Leo tumepoteza kila kitu ni mateka wa kifikra na Utaifa, hatuna uzalendo wala tumaini tena kibaya zaidi hadi roho za watu zimejenga chuki na unafiki kiasi kwamba tumerudi nyuma hadi kifikra na imani za uchawi zimeshehena vichwani mwa kila mtu - WHAT'S WRONG?

Tatizo kubwa ni IGNORANCE mtalumbana miaka mianane na hizo policies, mapendekezo na mengineo mengi mnayobishania hapa ni kazi bure hiwapo watekelezaji hawana uwezo na mtaendelea kuwachagua sijui kupitia baba zao, hela za campaign na upuuzi mwingine uliojaa kwenye chaguzi zetu.

What you need foremost ni katiba yenye kuweka misingi ya uongozi na sheria yenye msumeno, ikiweka usawa kuanzia campaign za uchaguzi (we umeona wapi duniani watu wananunulia wapiga kura ubwabwa) zaidi ya third world countries hiyo ni bribery tu; na kuja kumalizia sheria yenye msumeno wa ukweli, kupunguza nguvu za baadhi ya viongozi na taasisi (the need for the balance and checks). Vinginevyo hata akija mtu mwenye miakili kama ya 'Gordon Brown' hataishia kuwa mwizi asilimia kubwa ya binadamu bila usamizi uishia kuwa na tamaa. Hata Nyerere ingawa hakuwa na tamaa na mali, lakini alikuwa na tamaa ya uongozi kwa hivyo kuweza kuwa comfortable na uongozi wako unahitaji wajinga wengi kwenye jamii na kuweka viongozi wasio wasomi wa vile karibu.

Ndiyo Khali maisha ni learning process. Ngoja niendelee kulia.
 
What you need foremost ni katiba yenye kuweka misingi ya uongozi na sheria yenye msumeno, ikiweka usawa kuanzia campaign za uchaguzi (we umeona wapi duniani watu wananunulia wapiga kura ubwabwa) zaidi ya third world countries hiyo ni bribery tu;
...With all due respect, katiba ya sasa haituzuii kuwa na maendeleo yanayooneka wazi kwa kila mtanzania.

...Nashawishika kusema kuwa, jamii yetu si yenye kupenda maendeleo kwa vitendo. Narudia, si yenye kupenda maendeleo kwa vitendo. Maneno tupu ni mingi mno. Mifano ni mingi mno inanitia hata uvivu wa kuinukuu.
na kuja kumalizia sheria yenye msumeno wa ukweli, kupunguza nguvu za baadhi ya viongozi na taasisi (the need for the balance and checks).
...Tatizo tulilonalo kwenye utawala wa sheria ni watu kudhani au kuamini wanawatumikia viongozi. Wanapaswa kufahamu kuwa, wanaitumikia nchi. Na ukweli ni kuwa, maslahi ya nchi ni paramount, au yanapaswa kuwa hivyo.

...It is going to take at least two generational change on people in power, to have meaningful development in Tanzania[/QUOTE]
 
TULIKOSEA WAPI?
...Tulikosea pale tulipoacha kutimiza wajibu wetu kama viongozi, wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima na wananchi wa nchi hii. Tulijisahau na bado tunasahau kuwa, maendeleo yetu yataletwa na sisi wenye na si wawekezaji au washirika wa maendeleo. Those people have their own agenda. We are supposed to have ours!. Only that, we don't seem to have one.

...Let me ask, mfanyabiashara anapoenda China au India kutengeneza dawa fake za malaria -ikizingatiwa kwamba ugonjwa huu unaua watu wengi, labda hata kuliko ukimwi- anatekeleza wajibu upi?
WHAT'S WRONG?
...Some is wrong with our values as a people! What are our values? Are we sticking to them, if we've got any?

...No society on earth is going to have any meaningful development if they don't have certain values and are sticking to them.
 
...Tulikosea pale tulipoacha kutimiza wajibu wetu kama viongozi, wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima na wananchi wa nchi hii. Tulijisahau na bado tunasahau kuwa, maendeleo yetu yataletwa na sisi wenye na si wawekezaji au washirika wa maendeleo. Those people have their own agenda. We are supposed to have ours!. Only that, we don't seem to have one.

...Let me ask, mfanyabiashara anapoenda China au India kutengeneza dawa fake za malaria -ikizingatiwa kwamba ugonjwa huu unaua watu wengi, labda hata kuliko ukimwi- anatekeleza wajibu upi? ...Some is wrong with our values as a people! What are our values? Are we sticking to them, if we've got any?

...No society on earth is going to have any meaningful development if they don't have certain values and are sticking to them.
Dah mkuu wangu unajua wasema ukweli ambao nimekaa hapa na kujiuliza sana nikakosa jibu.. NI kweli kabisa mtu anapokwenda India kutenegenza dawa ya Malaria fake huyu mtu huyu mjasiriamali - ana nia au lengo gani?

Na huyu mtu ana uhakika atayaleta madawa hayo Tanzania na yatapita ushuru, customs na viwango hadi kuingia madukani!..Hawa ktk mlolongo huo wana nia na lengo gani?..Serikali on the other hand wanajua kuna madawa fake madukani, kuna mali za chakula fake ambazo zitaathiri maisha ya wananchji wake lakini hawafanyi kitu isipokuwa nao kuchukua kitu, huku viongozi wakihamamisha zaidi biashara ya uagizaji kwa sababu pato kubwa la Taifa linatokana na ushuru wa Bandarini.

Majuzi tu nilikuwa nazumgumza na rafiki yangu ambaye katoka Bongo majuzi tu akanambia, "Mkandara, just take a convenience store ( Bongo wanaita Supermarket) kama mfano. Tukiweza kutenngeneza vitu vyote vilivyomo ndani ya duka la Mchagga hapa nyumbani na kutosheleza mahitaji yenye ktk kiwango bora, hilo tu litaweza kuzalisha employment zaidi ya 2 millioni guarantee..Hatuna na sababu ya kuagiza Blue band au sabuni kutoka Kenya hakuna sababu kabisa..Nikasema, lakini mbona kuna vitu vingi wanasema tunatengeneza siku hizi? Akanambia 'Kweli, baadhi tunatengeneza lakini vingi ni fake, havina kiwango cha kula binadamu (unfit for human consumption) acha mbali havina standard au quality ya kushindana na vitu vya Kenya au nje kwa sababu walengwa hawatazami uzuri isipokuwa nafuu iko wapi".
Hii ina maana Watanzania wengi hawana UWEZO...Na uwezo unatokana na ajira au ujasiriamali ambao kote ni mchezo wa kuzidiana.

Na katika kujibu swali hili la TULIKOSEA wapi? najiuliza zaidi kuondoa fikra hizi tutaanzia wapi kama sio serikali kuweka sheria na masharti magumu zaidi kwa uingizaji mali za nje na kuweka viwango ktk mali zinazozalishwa ndani. Akanambia "Viwango vipo, lakini hatuna UZALENDO mkuu wangu. Sheria zipo ktk kila nyanja ya uongozi bora, miiko na maadili lakini sisi wenyewe tumegoma kuzifuata". Kwa Tanzania ya leo usipopokea rushwa wewe kuna wengine 9 kati ya 10 wanaisubiri na hata kuiendea kwa waganga. Hii ni sawa na Mkristu au Muislaam aliyeamua kusali sana lakini matendo yake sio tu dhambi ila ni kufuru maana anafanya yote yaliyokataliwa na misahafu.
- Kwa mtaji huu, tunajijengea Akhera sisi wenyewe hapa hapa dsuniani.
 
Dah mkuu wangu unajua wasema ukweli ambao nimekaa hapa na kujiuliza sana nikakosa jibu.. NI kweli kabisa mtu anapokwenda India kutenegenza dawa ya Malaria fake huyu mtu huyu mjasiriamali - ana nia au lengo gani?
...Hawa qualify kuitwa hivyo. Wengi ni wachuuzi. Kwani, mjasiriamali ni mzalishaji, hanunui cha mwengine na kuuza.
Na huyu mtu ana uhakika atayaleta madawa hayo Tanzania na yatapita ushuru, customs na viwango hadi kuingia madukani!..Hawa ktk mlolongo huo wana nia na lengo gani?..Serikali on the other hand wanajua kuna madawa fake madukani, kuna mali za chakula fake ambazo zitaathiri maisha ya wananchji wake lakini hawafanyi kitu isipokuwa nao kuchukua kitu, huku viongozi wakihamamisha zaidi biashara ya uagizaji kwa sababu pato kubwa la Taifa linatokana na ushuru wa Bandarini.
...Serikali haiwezi kufanikiwa kwenye hili peke yake. Lazima wananchi wawe na mwamko wa kujijali na kujilinda. After all, wananchi ndio serikali, as a matter of fact!
Majuzi tu nilikuwa nazumgumza na rafiki yangu ambaye katoka Bongo majuzi tu akanambia, "Mkandara, just take a convenience store ( Bongo wanaita Supermarket) kama mfano. Tukiweza kutenngeneza vitu vyote vilivyomo ndani ya duka la Mchagga hapa nyumbani na kutosheleza mahitaji yenye ktk kiwango bora, hilo tu litaweza kuzalisha employment zaidi ya 2 millioni guarantee..Hatuna na sababu ya kuagiza Blue band au sabuni kutoka Kenya hakuna sababu kabisa..Nikasema, lakini mbona kuna vitu vingi wanasema tunatengeneza siku hizi? Akanambia 'Kweli, baadhi tunatengeneza lakini vingi ni fake, havina kiwango cha kula binadamu (unfit for human consumption) acha mbali havina standard au quality ya kushindana na vitu vya Kenya au nje kwa sababu walengwa hawatazami uzuri isipokuwa nafuu iko wapi".
...Sadly, tuna syndrome ya uchuuzi. Hata hivyo, wapo wanaojitahidi kuzalisha quality goods, and you may be surprised kwamba hizo ni Tanzanian made. But, we have a long way to go. Lazima tujenge mazingira ya kuvutia uzalishaji na ku discourage uchuuzi wa vitu vya hovyo hovyo.
Na katika kujibu swali hili la TULIKOSEA wapi? najiuliza zaidi kuondoa fikra hizi tutaanzia wapi kama sio serikali kuweka sheria na masharti magumu zaidi kwa uingizaji mali za nje na kuweka viwango ktk mali zinazozalishwa ndani.
...Tunaweza anza kwenye elimu na kwa viongozi kuwa mfano wa kuigwa. Nitafurahi sana nikimsikia kiongozi anasema kwamba yeye hutumia asilimia 70 ya bidhaa za Tanzania.
Kwa Tanzania ya leo usipopokea rushwa wewe kuna wengine 9 kati ya 10 wanaisubiri na hata kuiendea kwa waganga. Hii ni sawa na Mkristu au Muislaam aliyeamua kusali sana lakini matendo yake sio tu dhambi ila ni kufuru maana anafanya yote yaliyokataliwa na misahafu.
...Rushwa kama rushwa, kuna nchi zina rushwa mbaya, Tanzania is just a hill to them. Point is, si rushwa ambaye ni adui yetu [and don't get me wrong on this one. Siipendi.], as some western countries would have us believe, bali ni utamaduni [ in a broad sense] wetu.
 
Tatizo kubwa ni IGNORANCE mtalumbana miaka mianane na hizo policies mapendekezo na mengineo mengi mnayobishania hapa.

What you need foremost ni katiba yenye kuweka misingi ya uongozi na sheria yenye msumeno.

asilimia kubwa ya binadamu bila usamizi uishia kuwa na tamaa.

. katiba ya sasa haituzuii kuwa na maendeleo yanayooneka wazi kwa kila mtanzania.

...Nashawishika kusema kuwa, jamii yetu si yenye kupenda maendeleo kwa vitendo
.

...Tatizo tulilonalo kwenye utawala wa sheria ni watu kudhani au kuamini wanawatumikia viongozi. Wanapaswa kufahamu kuwa, wanaitumikia nchi. Na ukweli ni kuwa, maslahi ya nchi ni paramount, au yanapaswa kuwa hivyo.

..
Kaka, counterargument uliyoniwekea naona kama unarudia kilekile nilicho kielezea isipokuwa mimi nimetoka nje ya kile kilichowazi na kuona umuhimu wa katiba. Nilipoweka nyekundu (simama soma vizuri) jaribu kunielewa.

Nilipoweka kijani ungenisoma vizuri ndio kilekile nilicho-kuwa nakisema isipokuwa wewe umekirudia bila ya suluhisho.

Viongozi ni raia wakawaida kama sisi, hila wametumia sana siasa za nguvu kwa muda mrefu kiasi kwamba watanzania haki zao halisi hazieshimiki na wala hawazielewi, na wakati mwingine wanaziuza kwa khanga na kadhalika.

Katiba yenye kuweka sheria za uongozi kwanza ni muhimu before anything else. kwanza tuweke viongozi wenye heshima na wapo-checked. Halafu ndio tuanze kusema vitu vingine other-wise your right its going to take us generations to develop even then they would still need a system that can check the government throughly.
 
...Ulipotoka nje ilibidi urejee. Karibu!
Nilipoweka kijani ungenisoma vizuri ndio kilekile nilicho-kuwa nakisema isipokuwa wewe umekirudia bila ya suluhisho.
...Suluhisho sote twalijua, na kila siku huimbwa bila kutekelezwa. Tunahitaji kuwa watu wa vitendo!. Na kama haitoshi, tunahitaji kuwa na values tutakazozi hold kama Watanzania. Kwa mfano, elimu ni msingi wa maendeleo ya kisasa na hivyo walimu ni watendaji wenye kupaswa kupewa kipaumbele, kama wengine.
Viongozi ni raia wakawaida kama sisi, hila wametumia sana siasa za nguvu kwa muda mrefu kiasi kwamba watanzania haki zao halisi hazieshimiki na wala hawazielewi, na wakati mwingine wanaziuza kwa khanga na kadhalika.
...Hili ni tatizo la wananchi wenyewe, na wao ndio jawabu la kuondoka kwenye hali hii.
Katiba yenye kuweka sheria za uongozi kwanza ni muhimu before anything else. kwanza tuweke viongozi wenye heshima na wapo-checked. Halafu ndio tuanze kusema vitu vingine other-wise your right its going to take us generations to develop even then they would still need a system that can check the government throughly.
...Kwa kiasi kikubwa -ukiondoa maeneo machache- katiba hii haina tatizo. Tatizo ni watanzania wenyewe, and if we want to get out of this vicious cycle, we have to admit it.
 
...Ulipotoka nje ilibidi urejee. Karibu! ...Suluhisho sote twalijua, na kila siku huimbwa bila kutekelezwa. Tunahitaji kuwa watu wa vitendo!. Na kama haitoshi, tunahitaji kuwa na values tutakazozi hold kama Watanzania.

Watu wa vitendo ndio wapi mkulima asiejua kurutubisha ardhi yake kisasa, awezi fanya hivyo bila ya mtaalamu wa ardhi kumweka chini na kumpa somo ili aweze utilize his/her harvest (therefore there is ignorance).

Watu hawafanyi vitu kwa sababu unadhani wewe unajua si kila mtu anajua unachojua wewe. That is to say wengi inabidi waelimishewe kwenye mengi (ignorance is a problem). Acha kulazimisha na kutupia lawama watu wasio na ufahamu.

Kwa mfano, elimu ni msingi wa maendeleo ya kisasa na hivyo walimu ni watendaji wenye kupaswa kupewa kipaumbele, kama wengine. ...
Hili watu waelewe corner zao na ndoto zao kimaisha and utilize them ofcourse they need to be educated, or else tusingekuwa na watu tunaowakodisha kututungia sera, kutumia maliasili zetu ili serikali ipate kipato, inamaana ignorance imetawala ndio maana watanzania atutumii tulivyonavyo to the maximum. That is the only reason you allow others to exploit.

Kwenye nchi kama Norway almost every national treasure is exploited by the natives before investors are allowed. Why are we not doing the same, back again on my emphasis ignorance.

Hili ni tatizo la wananchi wenyewe, na wao ndio jawabu la kuondoka kwenye hali hii. ...Kwa kiasi kikubwa -ukiondoa maeneo machache- katiba hii haina tatizo.
Wananchi wengi hawajui mengi ni fact zinazojulikana duniani in the third world. Kwa maana hiyo mijitu kama ngedere (ngeleja), baba ndulika (ndullu) na useless kama 'mkullo' itakuja na mbinu nyingi za kukandamiza maendeleo without being punished.

Ndio maana kuna umuhimu wa accountabilty, na kwakuwa watanzania ni full of ingorance hata hizo haki zao ambazo zipo kwenye katiba hawazijui ndio maana wasomi inabidi wawalindie haki zao bila ya vitisho na kuogopana. Sasa huwezi fanya hivyo bila ku-empower the regulatory bodies na kama raisi ndio mteuzi sehemu nyingi huko; kuna shughuli kweli au kupoteza muda tu.

Tatizo vyama vya upinzani wame-politicize umuhimu wa katiba mpya mpaka umuhimu wa accountabilty umepotezwa tumejikita kwenye muungano; how pathetic considering a constution is not static, first demand what is necessary and the rest will. The constitution is always going to be amended to suit the current social ideas and right now accountability is a major problem.

Tatizo ni watanzania wenyewe, and if we want to get out of this vicious cycle, we have to admit it.
You can admit because you have been informed, I know a lot of dumbs who are misinformed to grasp your argument.
 
Watu wa vitendo ndio wapi mkulima asiejua kurutubisha ardhi yake kisasa, awezi fanya hivyo bila ya mtaalamu wa ardhi kumweka chini na kumpa somo ili aweze utilize his/her harvest (therefore there is ignorance). Watu hawafanyi vitu kwa sababu unadhani wewe unajua si kila mtu anajua unachojua wewe. That is to say wengi inabidi waelimishewe kwenye mengi (ignorance is a problem). Acha kulazimisha na kutupia lawama watu wasio na ufahamu.
...Inaonekana maendeleo dhaifu ya nchi hii yanakukasirisha sana. Calm down, you may end up being very frustrated, thats if you are not already.

...Back to the subject. Nimekaa na wakulima [peasants] wa kutosha kufahamu na kutambua kuwa si wajinga kiasi hicho. Believe me, they know their work, at times better than most of us. But like others, wanakwamishwa na insufficient and at times lack of basic services

...Wanaofanya kazi kwa maneno si wakulima, ndugu. Mkulima akiiga hilo anakufa njaa.
You can admit because you have been informed, I know a lot of dumbs who are misinformed to grasp your argument.
...I doubt if they are being misinformed at all, i mean, they've got brains, ain't they?. I think they are in denial. Hear no evil, see no evil.
 
...Inaonekana maendeleo dhaifu ya nchi hii yanakukasirisha sana. Calm down, you may end up being very frustrated, thats if you are not already.
not that much anymore to be honest, considering the people you're dealing with.

...Back to the subject. Nimekaa na wakulima [peasants] wa kutosha kufahamu na kutambua kuwa si wajinga kiasi hicho. Believe me, they know their work, at times better than most of us. But like others, wanakwamishwa na insufficient and at times lack of basic services

Kama hata wakulima wakidhungu now and then, they need experts to inform them how to utilize production na wengi ni wanao toka kwenye better families with modest level of education on farming itakuwa wakulima wetu kweli?. Something tells me either una pwaya jinsi gani ignorance ilivyo, au your mis-informed on modern farming.

.Wanaofanya kazi kwa maneno si wakulima, ndugu. Mkulima akiiga hilo anakufa njaa. ...I doubt if they are being misinformed at all, i mean, they've got brains, ain't they?. I think they are in denial. Hear no evil, see no evil.
I dont get you, pengine naongea with some privilege dude who has escaped the real world si ajabu ukalichukulia suala la ignorance so lightly na majibu yako rahisi x2.

CIAO
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]‘Mpeni Sioi ubunge mumfute machozi' [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]ake CCM
Monday, 19 March 2012 09:23 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Mwandishi Wetu, Arumeru
WANANCHI wa Jimbo la Arumeru Mashariki, wameombwa kumchagua mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Sioi Sumari ili kumfuta machozi yaliyotokana na kifo cha baba yake mzazi, Jeremiah Sumari ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo.

Mbali na hilo wananchi hao wameelezwa kuwa kwa kufanya hivyo, watakuwa wamejipatia baraka kwa Mungu kwani watamwezesha Sioi kupata mshahara utakaomwezesha kuendesha familia aliyoachiwa na baba yake.

Mwito huo ulitolewa juzi katika Kijiji cha Migadini, Kata ya Mororoni na Mbunge wa Mtera(CCM), Livingstone Lusinde alipokuwa akimnadi mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi mdogo zinazoendelea jimboni humo.

Lusinde alisema wananchi hao wanastahili kuwa na moyo wa huruma kwa kumchagua kwa kura nyingi ili ajipatie mshahara wa kumwezesha kumudu familia aliyoachiwa na marehemu baba yake, ikiwa ni moja ya njia ya kumfuta machozi.

"Mkimchagua Sioi mtapata baraka za Mungu kwa vile mtakuwa mmewezesha kutokea kwa mambo matatu… kwanza kura zenu zitamfuta machozi ya kufiwa na baba yake, pili mtamwezesha kupata mshahara utakaomwezesha kulea familia yake ambayo sasa haina baba," alisema Lusinde.

Pia aliwaambia wananchi hao kwamba kumchagua Sioi kuwa mbunge wa jimbo hilo ni kumfurahisha Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa huyo ndiye chaguo lake na ndiye aliyeongoza vikao vya Kamati Kuu iliyokutana mara mbili kupitisha jina lake kuwa mgombea wakati wa mchakato wa kura za maoni.

Alisema katika kura hizo za maoni zilizofanyika mara mbili, zote Sioi alionekana kushinda na kuibuka kidedea.

"Njia pekee ya kumfurahisha Rais ni kumchagua Sioi kwa kuwa ni chaguo lake, hakika mtamfurahisha na Sioi ataweza kutekeleza vyema ilani ya chama," alisema Lusinde.

Kwa upande wake, Sioi alisema anayaelewa vyema matatizo yanayoikabili Kata ya Maroroni ikiwemo ukosefu wa mashamba ya uhakika, maji, barabara na zahanati hivyo akichaguliwa, atayatatua matatizo hayo mara moja.

"Nawaombeni sana mnichague kuwa mbunge wenu ili kwa pamoja tuweze kushirikiana kutatua kero hizi ambazo kimsingi zote nazifahamu vyema na nafahamu pia hatua za kuchukua ili kuhakikisha tunaondokana nazo," alisema Sioi
.

My Take;
Nimekuwa nasema tatizo la umasikini wa nchi yetu siyo rasilimali, nguvu kazi au rasilimali watu.
Tatizo ni viongozi na uongozi.

Maneno hayo hapo juu yametolewa na mbunge wa bunge la Jamhuri ya Tanzania, Mbunge wa Mtera. Fikiria mtu huyo ana wazo gani kuhusu umasikini wa nchi hii, na wakati huo huo ndiye mtunga sheria na msimamiaji wa serikali. Jamani![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Dear Friends,

Nimesoma posti zenu. Ukweli wa mambo, matatizo yetu ya sasa ya maendeleo yanatokana na attitudes. Ni kweli kuwa elimu inachangia kwa kiasi fulani. Lakini hili nchi iwe kwenye njia ya maendeleo (development trajectory), kinachotakiwa ni taifa kufikia idadi fulani ya wasomi. Kwa maoni yangu idadi hipo hila hatuna attitude ya maendeleo. Na kama hipo hiyo attitude basi ni ya mtu binafsi na sio kwa taifa.

Inatakiwa mtu mwenye kiwango kizuri cha elimu kutambua kuwa elimu ya watanzania ni duni. Wapo watanzania wanaoona tatizo la elimu lakini hawachukui hatua zozote muhimu.

Kujua kuwa Tanzania inahitaji katiba mpya kunaonyesha kuwa kuna watanzania wanaojua kuwa katiba ya sasa inaboronga. Lakini kushindwa kuwa na katiba kunaonyesha jinsi tulivyo.

Kwa kifupi mabadiliko hayatokani na watu wengi. Ni watu wachache wenye attitude wanaobadilisha dunia.

Wenu,
Z10
 
Kama hata wakulima wakidhungu now and then, they need experts to inform them how to utilize production na wengi ni wanao toka kwenye better families with modest level of education on farming itakuwa wakulima wetu kweli?. Something tells me either una pwaya jinsi gani ignorance ilivyo, au your mis-informed on modern farming.
...Kwa kiasi kikubwa, kilimo chetu hakitumii "modern farming" whatever. So, i'm informed. Are you currently residing in TZ, friend?. Have you been to the country side?

...Labda kama hatukuelewana. Naongelea hali halisi sasa iliyopo hivi sasa. And, by the way, kilimo cha kisasa unachokiongelea, katika soko huru, huletwa na sheria za ardhi na miundombinu mizuri. Hata kama utakuwa na wakulima wenye digrii, kama ardhi waliyonayo hawawezi kuchukulia mikopo au kuiwekea bima -kwa maana ya kwamba, wanaimiliki kisheria na imethaminishwa- hautakuwa na kilimo cha kisasa.
I dont get you, pengine naongea with some privilege dude who has escaped the real world si ajabu ukalichukulia suala la ignorance so lightly na majibu yako rahisi.
...I'm not, and will not. Majibu yaweza onekana rahisi.

...Labda nikuulize, je, ni kitu gani kigumu kwa nchi kama hii kushindwa kulisha eneo la afrika mashariki?. Ugumu uko wapi?. Are we in a desert, with infertile soils?. Don't we have rivers and lakes, and then some?.Ugumu uko wapi?
 
Wakuu zangu tusiwalaumu sana Watanzania japokuwa tuna mapungufu yetu, lakini ukweli unabakia kwamba kunahitajika mahusiano na mshikamano baina ya serikari, vyanzo, financial institutions na wananchi kuwezesha jambo lolote lile lifanikiwe. Kwa mfano ktk kilimo sisi Watanzania kwa ujumla wetu tuna Ujuzi wa kilimo hatuhitaji sana darsa zaidi ya kuwezeshwa. Nakumbuka Zimbabwe baada ya wazungu kunyang'anywa mashamba wakapewa weusi, watu wengi walisema mbona weusi wameshindwa kulima lakini deep down ukitazama kwa makini utakuta kwamba waliokuwa wakilima mashamba ya wazungu walikuwa weusi wale wale..Sasa sababu gani weusi walipopewa wenyewe mashamba hayo walishindwa?

Unakuta kwamba Wazungu waliokuwa wakilima waliwezeshwa mikopo na mabenki kuweza kuwalipa wakulima mishahara, kujenga msingi mzima wa shamba hata kabla ya mavuno. Waliwezeshwa vifaa vya ukulima na mfumo mzima wa ukulima wa Zimbabwe uliwapa subsidies wakulima ktk mbegu, mbolea na kadhalika lakini chini ya Mugabe wakulima hao hao weusi walibakia na land bila kuwezeshwa kabisaa..huwezi kulima na trekta halina mafuta au linahitaji repairs, wao wenyewe hawawezi kuishi kama wakulima wakati hana fedha hata za chakula na kadhalika.. Matokeo yake wali fail na ikasemekamna hawajui kulima..

Hapa nchini kwetu hatuna mfumo bora wa kilimo zaidi ya hadithi maana mkulima anapokwenda kuomba mkopo wa kilimo atazungushwa ajabu, mbolea zinatolewa kwa voucher ambazo kwa wenye kukabidhiwa mamlaka ya kugawa huziuza kwa walanguzi ambao hupeleka mbolea ile ile nchi za jirani. Mkulima alofanikiwa kupata mkopo wa trekta na mbolea unamkuta hana akiba ya mishahara kuwalipa walimaji, wala hana uwezo wa kujenga hata kibanda cha wafanyakazi.. Matokeo yake mkopo alopewa anaona bora akienda China akachukue mali azilete kijijini na kuziuza kwa faida. Akifanya mara moja akafanikiwa hawezi tena kurudi shambani maana malipo uya uchuuzi ni papo kwa hapo..Kilimo kimekufa nchini kwa sababu hatuna mfumo bora wa mahusiano baina ya serikali, financial insitutions na wakulima..Vivyo hivyo ktk sekta nyinginezo na ndio maana wanaoendelea ni wale wale ambao tayari wamekwisha jenga mahusiano yao na vyombo hivyo. Wazungu wametushinda ktk kuandaa vitu vyote kktk kuwezeshwa. Sisi tunakalia kusema:- Tukiwezeshwa Tutaweza -infact hajui hata maana ya maneno hayo ktk matumizi yake.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]‘Mpeni Sioi ubunge mumfute machozi'
[/TD]
[TD="class: buttonheading, align: right"]Send to a friend
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]ake CCM
Monday, 19 March 2012 09:23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD].

My Take;
Nimekuwa nasema tatizo la umasikini wa nchi yetu siyo rasilimali, nguvu kazi au rasilimali watu.
Tatizo ni viongozi na uongozi.

Maneno hayo hapo juu yametolewa na mbunge wa bunge la Jamhuri ya Tanzania, Mbunge wa Mtera. Fikiria mtu huyo ana wazo gani kuhusu umasikini wa nchi hii, na wakati huo huo ndiye mtunga sheria na msimamiaji wa serikali. Jamani!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nguruvi3, mjadala huu kwa kweli ni mrefu sana.Zilianzishwa thread za aina hii mara kadhaa, nilifanya hivyo, na Mkandara na yeye alikuja kufanya hivyo, zote zimeungwa na hii ya Wambandwa.
Leo nimesema niipitie tena posti ya kwanza kwasababu ndo post "mama"

Ni kweli tumekubaliana, at least baadhi yetu, kwamba tatizo ni viongozi, nimeona kwamba in short terms, tuwabane wanasiasa kuhusiana na matumizi yao ambayo ni kinyume kabisa na hali ya wananchi wengi wanaowatawala.Haiingii akilini kabisa kuishi maisha ya kifahari wewe kama kiongozi na huku unaowaongoza ni masikini wa kutupwa.

Hata siku moja sijawahi kuamini kwamba uongozi wa Taifa masikini ni kazi nyepesi!

Na nature ya uongozi kwetu wabongo, there are too many personal benefits in a way that i believe it impacts the real reason for serving the people, which is to protect the interest of the public, and the wealth of the nation of which majority lives in an abjective poverty!

Ni kitu gani haswa hakiwaingii masikini hawa wanaotawaliwa akilini?

Nimeishi ndani na nje ya nchi, hilo limenisaidia kujuwa kwa kiasi kikubwa ni kwa jinsi gani tumekwama, ninaamini kabisa kisaikolojia, kuna pahali watawala wamewateka masikini wengi mawazo, so wanahitaji mwamko na mapinduzi ya kifikra.Uelewa wa wananchi ndo weapon kubwa itakayotumika kutukomboa, na si individuals peke yake, tumeona ya mwalimu, kaondoka, tumejuwa chui alikuwa yupi na yupi paka!

Wambandwa said:
Watanzania wengi tu maskini wa kutupa kwa sababu tunagharimia mno uendeshaji wa kila siku wa serikali yetu (isivyokuwa lazima).

Wanasiasa ndio watoa maamuzi hata ya kitaalauma hata kama si wana taaluma husika.
 
Wakuu zangu tusiwalaumu sana Watanzania japokuwa tuna mapungufu yetu, lakini ukweli unabakia kwamba kunahitajika mahusiano na mshikamano baina ya serikari, vyanzo, financial institutions na wananchi kuwezesha jambo lolote lile lifanikiwe. Kwa mfano ktk kilimo sisi Watanzania kwa ujumla wetu tuna Ujuzi wa kilimo hatuhitaji sana darsa zaidi ya kuwezeshwa. Nakumbuka Zimbabwe baada ya wazungu kunyang'anywa mashamba wakapewa weusi, watu wengi walisema mbona weusi wameshindwa kulima lakini deep down ukitazama kwa makini utakuta kwamba waliokuwa wakilima mashamba ya wazungu walikuwa weusi wale wale..Sasa sababu gani weusi walipopewa wenyewe mashamba hayo walishindwa?

Unakuta kwamba Wazungu waliokuwa wakilima waliwezeshwa mikopo na mabenki kuweza kuwalipa wakulima mishahara, kujenga msingi mzima wa shamba hata kabla ya mavuno. Waliwezeshwa vifaa vya ukulima na mfumo mzima wa ukulima wa Zimbabwe uliwapa subsidies wakulima ktk mbegu, mbolea na kadhalika lakini chini ya Mugabe wakulima hao hao weusi walibakia na land bila kuwezeshwa kabisaa..huwezi kulima na trekta halina mafuta au linahitaji repairs, wao wenyewe hawawezi kuishi kama wakulima wakati hana fedha hata za chakula na kadhalika.. Matokeo yake wali fail na ikasemekamna hawajui kulima..

Hapa nchini kwetu hatuna mfumo bora wa kilimo zaidi ya hadithi maana mkulima anapokwenda kuomba mkopo wa kilimo atazungushwa ajabu, mbolea zinatolewa kwa voucher ambazo kwa wenye kukabidhiwa mamlaka ya kugawa huziuza kwa walanguzi ambao hupeleka mbolea ile ile nchi za jirani. Mkulima alofanikiwa kupata mkopo wa trekta na mbolea unamkuta hana akiba ya mishahara kuwalipa walimaji, wala hana uwezo wa kujenga hata kibanda cha wafanyakazi.. Matokeo yake mkopo alopewa anaona bora akienda China akachukue mali azilete kijijini na kuziuza kwa faida. Akifanya mara moja akafanikiwa hawezi tena kurudi shambani maana malipo uya uchuuzi ni papo kwa hapo..Kilimo kimekufa nchini kwa sababu hatuna mfumo bora wa mahusiano baina ya serikali, financial insitutions na wakulima..Vivyo hivyo ktk sekta nyinginezo na ndio maana wanaoendelea ni wale wale ambao tayari wamekwisha jenga mahusiano yao na vyombo hivyo. Wazungu wametushinda ktk kuandaa vitu vyote kktk kuwezeshwa. Sisi tunakalia kusema:- Tukiwezeshwa Tutaweza -infact hajui hata maana ya maneno hayo ktk matumizi yake.
Kwa kuongezea kuhusu Zimbabwe, hata soko la mazao yao mainly lilikuwa Europe, na walisusa kama sikosei, so hapo inakuwa shida kwa mikopo kutolewa.Walichotakiwa ni kutafuta market elsewhere.
 
Back
Top Bottom