Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Exactly,wanamchukia pia sababu muislamu,Sasa Rais Samia hasiwasikilize kabisa Hawa Wala nguruwe na Chuki zao binafsi
 
Tatizo ni record iliowekwa na mtangulizi wake; mtangulizi wake ni kama alipiga marufuku mgao wa umeme, pia ile report ya bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Kaleman aliset hadi tarehe ya kuanza kujaza bwawa kwa maji, yeye amekuja na story, vinavyo endelea kwasasa watu wanatafsiri kama ujanja ujanja; in fact aliyemshauri jamaa kukaa ile wizara alimpoteza sana, inaua ndoto zake kabisa za kuja kua raia namba 1
 
Exactly,wanamchukia pia sababu muislamu,Sasa Rais Samia hasiwasikilize kabisa Hawa Wala nguruwe na Chuki zao binafsii
Wewe ni mtu wa hovyo sana, Tz hii inaudini??

Wizara ya maji inaongozwa na mkristo au Buddha?

Je, wizara ya miundombinu?

Waziri mkuu vipi, vipi kwa katibu mkuu kiongozi, Je kwa Jaji na wizara zingine nyingi.?

Jinga sana wewe?
 
Wewe ni mtu wa hovyo sana, Tz hii inaudini??

Wizara ya maji inaongozwa na mkristo au Buddha?

Je, wizara ya miundombinu?

Waziri mkuu vipi, vipi kwa katibu mkuu kiongozi, Je kwa Jaji na wizara zingine nyingi.?

Jinga sana wewe?
Ebu orodhesha makosa ya January Makamba hata matano tu, ambayo yanafanya mumchukie!, Kama sio mna chuki TU binafsi na udini
 
Suala la dini ni uwongo na mada mfu

Suala la wasukuma nalo ni ujinga tuu, kwani wanaomchukia na kutokumwamini wote ni wa sukuma?

Ukiondoa utawala wa awamu ya tano, ni utawala upi tena uliona wasukuma kuwa mawaziri na je walilalamika ni kwa nini hawapewi uwaziri

Unadhani ni kwa nini iwe Leo wasukuma kulilia uwaziri,

Ujinga mtupu unaoandika hapa
 
Ebu orodhesha makosa ya January Makamba hata matano tu, ambayo yanafanya mumchukie!, Kama sio mna chuki TU binafsi na udini
Mkuu, suala la udini labuda unalo wewe,

Na unamatatizo kwa sababu Wizara nyingi kwa sasa zinaongozwa na watu wa dini unayodhani wanamchukia huyo jamaa kwa sababu ya dini yake

Kwanini wao wasichukiwe.?
 
Kwani watu wanataka mtu (urafiki) au performance ?

Na je unaona since Makamba na Before Makamba katika Wizara ya Nishati performance imeshuka au imepanda ?

Nadhani hapo utapata jibu lako
 
Yuko vizuri wizara ya nishati! Anafafanua vizuri changamoto, mkweli anajiamini, nimependa!
 
Yaani kwa sababu Makamba ni muislam na aliyemteua ni muislam kwako wewe huo ni udini lakini alipoteuliwa msukuma na mkiristo na aliyeteua ni msukuma na mkiristo wewe hukuona kama huo ni udini na ukabila!
Linganisha Makamba na Kalemani kwanza
 
Tuombe MUNGU hali ni mbaya sn mkuu
 
Alienda uarabuni mwaka jana akaishia kupiga picha na waarabu eti wawekezaji wa mafuta sijui nini
 
KURA YANGU NAPIGA KWAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…