THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Mleta Maada ulikua na kamati yako na wewe ambayo umeitumia kukusanya maoni ya watanzania juu ya chanjo au ni mawazo yako tu na ukoo wenu kwamba watanzania hawakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, safi sana Mkuu. Sasa shusha nondo mimi mbumbumbu ninayedandia mabandiko ya macho_mdiliko niweze kuelewa sababu zako za kuweka link hiyo.Bila shaka hujui ni kwanini nimemwekea hiyo link. Hii ni kwa sababu umedandia.
Kwamba itakuwa huwezi kuhudumiwa mpaka uchanjwe ama.?
Duh [emoji849]Ndio,unawekewa vikwazo tu ilimradi nawe ufanye upatiwe chanjo mfano :-mahujaji
Ina maana huwezi kwenda hija mpaka uwe umepatiwa chanjo.
:- ikitokea umeenda lamda hospitali hasa za serikali huwezi pewa huduma yoyote endapo kama hukupata chanjo
Itabidi upate chanjo,ndio hudum zingine ndio zitafuata
Mimi Nawaza hivyo
Mada inazungumia watanzania kukakataa chanjo sasa ni hatua gani zilizochukuliwa kufix hili la watanzania kukataa chanjo? wote tunajua kuwa wenyewe pamoja na Magufuli kwa pamoja ndio waliyosababisha hii hali huwezi kuwatoa kwenye lawama hawa viongozi na kumtupia lawama Magufuli tu.Kwani huoni hizo steps ambazo zinachukuliwa, ndio ku-fix kwenyewe huko. Au unataka mpaka Mama asema Magufuli was wrong?
Kama barakoa tu wamegoma kuvaa pamoja na kumuona rais kuvaa ndio watakubali kuchanjwa?Mleta Maada ulikua na kamati yako na wewe ambayo umeitumia kukusanya maoni ya watanzania juu ya chanjo au ni mawazo yako tu na ukoo wenu kwamba watanzania hawakubali
Usibebe akili za Gwajima tu pia changanya na za kwako!Chanjo iliyotengenezwa ndani ya mwaka mmoja, hakuna conclusive research iliyofanyika kuweza kupata final approval, hakuna data za mid- and long-term effects. Short-term effects zimeshaonekana, efficacy ipo chini lazima uchanje kila miezi 6, ni teknolojia mpya ya utengenezaji wa chanjo inayohusisha vinasaba DNA/RNA imeshaleta complications za autoimmunity kama blood clots, autoimmune thrombocytopaenia, sijui tunakimbizana kwenda wapi? au ndo presha za mabeberu hizi.....
Na wale ambao hujakutana nao, je wao wanasemaje!Watu wengi niliokutana nao hawataki chanjo
wengi ?Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania.
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Sisi wengine tunaamini Mungu alishatushindia kwa maombi tuliyofanya na Magufuli ndio maana hatutaki barakoa wala social distance wala maji tiririka wala chanjoWalikaririshwa, wakakariri sasa wanakiimba wasichokijua...
Wengi kwa sababu ya "...ulofa na..." hawatambui wanataka nini na wanadhani Tanzania ni kubwa kuliko dunia...
Tutajie hiyo hosptali yenye wagonjwa wa corona tukawape pole.... siku hizi Mataga wanatambulika kama watanzania "wengi"? Be serious ndugu; labda hayajawahi kukukuta; nenda hospitalini uone wagonjwa wa Covid wanavyoteseka utatamani chanjo ije muda huu huu! Tuwaonee huruma wazee wetu na wengine wenye matatizo ya kiafya; corona ni hatari sana kwa uhai wao! Mataga achana nao hawafagi Corona wale!
Kachanje tunachokataa tusilazimishane na isiwe kwa Kodi zetu chanjo iagizwe na hospitali binafsi kanunue huko kachanje mwili Mzima hata ukitaka ila usiforce wengine ambao hatutaki kuvaa barakoa wala kuchanja woga wako Wa Corona sababu una maradhi yako unayojua mwenyewe ulikoyaokota usisumbue wengine kwa migonjwa yako ya kujitakia uliyonayo!!! Unayeona corona ikikugusa tu unageuka marehemu kachanjeWewe ndiyo unakataa mkuu sisi wengine tunaitaka sn
Mbona huleti link ya Seychelles inayoongoza kwa kuchanja watu wake,na mlipuko uko juu tena.Hili suala ni la kisayansi. Sayansi hiyo hiyo ndiyo imekuletea dawa za malaria, kufubaza ukimwi, kinga ya kifua kikuu, surua nk. Leo kwa kuwa tumelishwa sumu ati chanjo ya corona ni mbaya tunaitikia tu.
Kwa maoni yangu, kama ilivyo kwa madawa ya ukimwi, mtu asilazimishwe kutumia, period.
Kweli kuna watu damu inaganda (Marekani walikuwa 6 kati ya mlioni 7 waliokuwa wamechanjwa), ukipima faida na madhara unaona faida ni kubwa zaidi, Hata WHO waliliona hilo lakini waka recommend kuwa chanjo hizo ziendelee kutumika.
Je kuna dawa isiyo na madhara? Watu wamelishwa eti chanjo ya corona itazuia uzazi wanasahau kuwa hao hao ndio wanaongoza kwa kutumia dawa Za uzazi wa mpango na kufunga uzazi hadi kansa zinawamaliza! Aibu tupu!!
Kuna watu huko DRC walikataa chanjo ya ebola ( na ilikuwa bado iko kwenye majaribio), kilichowakuta.. waliitafuta kwa gharama. baadae chanjo hiyo ilkuja kuthibitishwa kuwa inafaa, Hata mlipuko wa ebola huko west africa ilikuwa hivyo hivyo.
LAKINI KILA AIPONDAE CORONA MWISHO WAKE HIYO HIYO HUM...
Canadian singer Raymond Levesque dies at 92 after contracting Covid-19
![]()
Stephen Karanja: Kenyan anti-vaccine doctor dies from Covid-19
Dr Stephen Karanja repeatedly said that the jab was "totally unnecessary".www.bbc.com
Kama nyie watu wazima hamtaki, basi tuwaokoe watoto maana nao sasa inawapata![]()
John Magufuli: Tanzania's president dies aged 61 after Covid rumours
Covid-sceptic John Magufuli had not been seen in public for more than two weeks.www.bbc.com
mwisho hao wazungu tayari wanaikimbilia chanjo hadi wanashtaki kampuni inayoitengeneza kwa kuchelewesha
India wameng'ang'ania chano na hawataki kuzipa nchi nyingine hadi wao watosheke![]()
Covid vaccine: Why did EU take AstraZeneca to court?
The EU has lost a legal battle over its attempt to force AstraZeneca to deliver more vaccines to the bloc.www.bbc.com
![]()
India Cuts Back on Vaccine Exports as Infections Surge at Home (Published 2021)
A major supplier of the AstraZeneca vaccine, India is now circling the wagons and restricting exports. The impact is beginning to be felt worldwide, particularly in poorer countries.www.nytimes.com
HALAFU ETI WEWE CHANO YA CORONA NI....
Mtaani kwako ulihakikisha vipi km "wengi" ndio hawatakiHuku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo