Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Aisee. Masikini kazi ipo.Exactly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee. Masikini kazi ipo.Exactly
Kwani watoto wa Mengi au Ali mufuruki uliona wanalia?Aisee. Masikini kazi ipo.
😂Utakuta kuanzia Chekechea waliosoma Boarding
SEKONDARI Shule za maana....
Vyuo wamesoma nje...
Kila mmoja anayo account ya Dola
Wameajiriwa TPA, BOT, TRA, UN Agencies au Ubarozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa.
Kwa status hizo walilie nini sasa????
Kwani watoto wa Mengi au Ali mufuruki uliona wanalia?
Au watoto wa tajiri yeyote uliwahi ona wanagaragara chini?
Maisha magumu mzee ndo atleast anakua anakupiga tafu na pension zake ukiangukia pua unajua ugali upo.. akifa unalia kama umepoteza matumainiHivi unajua kuwa umenifanya Nicheke sana Mkuu? Yaani kila nikisoma hii Post yako najikuta naangua tu Kicheko Mkuu.
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Oh we kuweza😅😅.. yani unalia mana nusu ya maisha yako wameichukua utabaki na nani wakumlilia haliHii niyo ni point kubwa 😂
Jana nilipita msibani nikala msosi nikatambaa zanguYaani Comments za huu Uzi leo zitaumiza sana Mbavu zangu kwa Kucheka.
NakwambiajeeMswahili amefariki kaacha deni alilokopewa kikoba na mkewe ili alipe kodi ya nyumba unadhani uchungu wa kilio utakosekana kweli?
Wakijiuliza deni linalipwa vipi? Kodi inalipwa vipi? Wanapata kilio, ukunga kwikwi....
Mtani wanalia maskini , hao wameachiwa kila kitu kwenye maisha yao , hawana madeni miradi kibao hasa watalia niniMuda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Hapana mkuu, anakuwa na miwani nyeusi na kakitambaa, utasikia tu Its ok, Its Ok, Our beloved dad hatunaye, amepumzika.Kwani watoto wa Mengi au Ali mufuruki uliona wanalia?
Au watoto wa tajiri yeyote uliwahi ona wanagaragara chini?
Dah, hicho ni Kilio cha marejesho. Too sad.Nakwambiajee
Unakuta umemkopea baba ako ASA mchongo unasoma afu 50000 kwa wiki we mwenywe pangu pakavu tia nchuzi unapigiwa simu baba ako kafa... Sipati picha ntalia kilio cha namna gani
Waroho / Wamelo utawajua tu.Jana nilipita msibani nikala msosi nikatambaa zangu
Baba mwenye tabia za Baltazar nani akulilie
Vuta taswira umemkopea mumeo ASA rejesho Kila week 50000, unacheza michezo kwa Kodi ya meza, vikoba unadaiwa kaacha watoto wadogo unajikuaa unalipa halafu unalia Tena...🐒
Na muda si muda anatupa waombolezaji kazi ya kumbeba baada ya kuzimia.Hapana mkuu, anakuwa na miwani nyeusi na kakitambaa, utasikia tu Its ok, Its Ok, Our beloved dad hatunaye, amepumzika.
Huku kwengine, Ukunga mkubwa, woooooooooooooooi woi woi. Ameeendaaaaa jamani ameeenda,
Ntaweka wapi sura yangu mie, Babaaaaa rudi unichukue na mimi, umendaaaaa. Huku ana kwikwi, kamasi n.k