Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Tujitahidi san kujenga bond na Madogo popote pale tuwapo na Chance mimi kwenye Holiday za wanangu huwa najitahidi kadri niwezavyo Nipate muda wa kukaa nao na Incase nikawa na Jambo sensitive huwa nasafiri nao walau Kujenga Bond mana unakaa Miezi ata minne hujawaona madogo ni hatari
Tunasahau kitu kimoja

Labda kama uliwafanyia ukatili wa kutisha watoto kiasi cha kuona hata kifo chako ni ahueni kwao. Mzazi ni mzazi

Hakuna mtoto aliefikia umri mkubwa asiejua kuwa wazazi ndio mashabiki halisi wa mafanikio yako, ukipata tatizo wa kwanza ni wao wataumia kwa akili na moyo wote lakini pia watakupambania kwa nguvu zote... Uwepo wako ni matokeo yao

Imagine mtu baki unaemjua kijuu juu akifariki unaumia.. Vipi kuhusu mzazi?..

Iwepo strong bond au isiwepo, kuwepo na ugomvi au lolote baya. Ila mzazi akifariki ni story nyingine
 
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Hawana ile bond ya real love ya mzazi kwani mda mwingi wametumia kuwa shule uko na kina matron, walimu, na marafiki so tunapowambia tumieni mda mwingi na watoto msipeleke watoto mabording uko, oeni wanawake wawe mama wa nyumbani hamuelewi mmeona madhara ya kuachia watoto dada wa kazi walimu nk

Yani hapo hao watoto ungekuwa msiba wa dada wa kazi au matron au rafiki tu ungeshangaa wangelia balaa cause wana bond zao kihisia mda mwingi wamekuwa nao

So machozi hayaji tu kisa baba au mama je uyo mtu mlikuwa naye vipi
 
Kwani kafa leo au jana?
Madhara ya kupeleka watoto shule boarding bado wadogo na kuachia malezi dada wa kazi ndio hayo watoto wanakuona kama mtu furani zile feeling za mzazi hazipo wanakuona kama serikali uliyekuwa unawapa boom wasome
 
= fulani.

Hivi hizo hule mlienda kusomea ujinga?
 
Ni akili kubwa pekee tunaelewa ulichomaanisha.

Mazumbukuku hudhani kulia sana msibani ndio kumpenda sana marehemu.
Waswahili wengi wanalia unafiki tu. Mtu anapiga ukunga a kujigaragaza, baada ya dakika kadhaa yuko anacheka na kuagiza chakula. Wengine jioni ni mwendo wa bia. Ni hulka tu na unafiki lakini si kwamba wana uchungu sana.
 
Inaonekana Mafuru alikuwa mkubwa kuliko watu wengi wakivyomfahamu. Itifaki ya msiba wake imekua kubwa sana. Waombolezaji wakiongozwa na Mheshimiwa Rais na Wakuu wa Vyombo.

Kwa kifupi amepata hadhi ya kupewa Msiba wa Kitaifa.
Nafasi yake ni ya kuteuliwa na raisi. Na yuko ofisi ya raisi sasa unategemea nini
 
Waswahili wengi wanalia unafiki tu. Mtu anapiga ukunga a kujigaragaza, baada ya dakika kadhaa yuko anacheka na kuagiza chakula. Wengine jioni ni mwendo wa bia. Ni hulka tu na unafiki lakini si kwamba wana uchungu sana.
Kwamba mtu kafiwa na mama yake akilia mpaka anapoteza fahamu unakuwa ni unafiki? Ushawahi kufiwa kijana??
 
Kwamba mtu kafiwa na mama yake akilia mpaka anapoteza fahamu unakuwa ni unafiki? Ushawahi kufiwa kijana??
Wanafiki ni wengi sana kwenye hii misiba. Wanapiga ukunga baada ya muda wako busy na pombe na mambo mengine. Wenye uchungu mara nyingi hawapigi mayowe kama wendawazimu
Nimefiwa na wazazi wote, kaka 2 na dada 2
 
Kulia au kutokulia msibani haihusiana sana na maisha ya kiuchumi , maana namna ya kuchukulia na ku expresa maumivu kila mtu anayo ya namna yake. Hii inategemeana na culture pia. Huo sio utamaduni wa kimagharib au watu waliokulia na kuish huko sana hata kama watanzania hawawez kuwa hivyo.
Wakat kwasis tulioishi zaid kwa tamaduni zetu, tumezoea hivyo ndio maana unaona akina mama magufuli walilia, akina mama ana mkapa walilia na wengi tu ambao ni matajiri tunawafaham wanalia sana misibani.

Ni experience binafsi zaidi, not collective
 
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Umetuacha na naniii, tutaishije, tutamtegemea naniii etc.....Maneno haya si mageni misibani labda kwa wageni wa misiba.......Vilio hv huashiria kukatata tumaini ya maisha kwa wanaobaki hasa wakiachwa bila tumaini la kunimudu maisha bila mpendwa wao.
 
Mdingi alipofariki ghafla,sikuwai kulia kabisaa,
Nina wadogo zangu wanne jumla sasa ntalia vipi niwaache wao wafanyeje.
Nilikua naenda porini naliaa narudi napiga kimya nawapooza madogo.
Ila kile kilio mpaka leo nalia Kila nikikumbuka.
 
Labda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
Wa geti Kali hawalii Kwa sababu kifo cha baba yao ndiyo mwanzo wa kufunguliwa kwao dhidi ya utawa na kwamba watakuwa huru kufanya umalaya kadiri wawezavyo.
Tunawasubiri mabinti zake huku mtaani kwa udi na uvumba.
 
Back
Top Bottom