Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #101
Kuna mmoja anaitwaNakumbukaga kuna mwaka niliendaga masasi vijijini uko kuna mwamba alikua anaitwa herode๐๐๐ anakunywa pombe kama maji sasa akishalewa anaanza kujisifia "mimi ndo mfae herooooode"
Majina Gani mfano tunaweza yapenda pia...kama hauto jali....Hayo ni majina waliyopewa na baba zao,ni ya kwao.
Mimi nawapatia watoto wangu majina ya kwangu sio ya watu wengine
Kuna jamaa anaitwa MTANZANIAHizo ni Nick name za Home๐๐๐
Kuna Mwamba anaitwa Ponsyooo....usikutwe na kesi umeishaaa
๐๐Kuna mmoja anaitwa
Nyoka
Huyo jamaa ni nyoka....
Tia neno mkuu naona umecheka....๐ค๐๐
Hizo HERODE, PILATO na FARAO ni VYEO. Siyo majina ya watu. Ni sawa kusema unatuambia tuwaite watoto wetu RAIS au WAZIRI MKUU, JAJI, SPIKA n.kHerode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........
Wasalaam
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Hilo jina la nyoka kuna jamaa mmoja mchaga nae anaiywa nyoka pia anakunywa balaa ndo maana nkabaki nacheka tuTia neno mkuu naona umecheka....๐ค
Kuna siku niliona Insta kuna wazazi Baba na Mama wamevaa jezi za Yanga wamebeba mtoto wao mchanga huku wamepiga picha na Mayele halafu wakaandika mtoto anaitwa Fiston Mayele.Kuna watoto waliozaliwa kipindi cha osama waliitwa Osama ๐ inachekesha kwakweli....
Sipendi kumpa mtoto majina ya ajabu
Haahaaa๐๐๐คฃHilo jina la nyoka kuna jamaa mmoja mchaga nae anaiywa nyoka pia anakunywa balaa ndo maana nkabaki nacheka tu
Duu watakua wana PENDA sana yanga tena mume na MKE......ni balaaKuna siku niliona Insta kuna wazazi Baba na Mama wamevaa jezi za Yanga wamebeba mtoto wao mchanga huku wamepiga picha na Mayele halafu wakaandika mtoto anaitwa Fiston Mayele.
Ujue niliwashangaa eeeh! Nikasema tukosage akili lakini iwe kwa kiasi. Sababu hadi ubini wa mtu mwingine. Lol.
Shetani kabisa?!Jamaa anayeitwa Shetani nilishawahi kumshuhudia, na yeye mwenyewe anajiita A.K.A "Ibilisi".
Itakuwa hivyo aisee. ๐คฃDuu watakua wana PENDA sana yanga tena mume na MKE......ni balaa
Sawa,Hizo HERODE, PILATO na FARAO ni VYEO. Siyo majina ya watu. Ni sawa kusema unatuambia tuwaite watoto wetu RAIS au WAZIRI MKUU, JAJI, SPIKA n.k
Herode wapo. Kuna mmoja nimesoma naye O-levelHerode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........
Wasalaam
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Ni wachache sanaHerode wapo. Kuna mmoja nimesoma naye O-level
SikuzaniUnamwita mtoto siyawezi..,
Kuna dogo mmoja alikuwa anaitwร yudaNatamani kujua Kwa nini mtu hamwiti mtoto wake YUDA ISKARIOTE
hayo ni majina mawili sio rahisi kuitwa yote kwa wakati mmoja,ila Yuda wapo wengiNatamani kujua Kwa nini mtu hamwiti mtoto wake YUDA ISKARIOTE