Mkuu Kwa bei za debe la Mahindi kuwa 18,000 manake ukihitaji guni Moja la debe 10 manake hapo unalipia 180,000/- so it's already there.Itakuwa hivyo hivyo,kwanza mshukuri Bei zimeshuka kidogo maana natamani gunia lifike laki Ili nipige hela ila sioni likifika hata hiyo disemba au mwezi wa 2 unless mvua zizingue.
Haujamuelewa mleta mada.
Hivi kwa nini Mpiga picha nguli Muhidin Issa Michuzi hayupo timu ya Mama ya Habari?Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wapiga picha walioko kwenye msafara wake kwa kushinda kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika kumpokea.
Rais Samia akiwa Njombe amelazimika kuwaagiza wapiga picha kupanda juu ya magari ili waweze kuchukua picha za umati wa watu na kuzifikisha kwenye umma ili kuondoa uzushi unaosambazwa kwenye mitandao kwamba mikutano yake haina watu wanaokwenda kumpokea zaidi ya maafisa wa Serikali tu.
"Watu wa kamera pandeni juu ya gari chukueni huu umati wa watu labda hawawaoni ndio maana wanaandika na kila mkifika kila kituo chukueni umati wa watu" amesema Rais Samia.
Sote tunajiuliza iweje hao wapiga picha washindwe kutekeleza majukumu yao hadi kufikia hatua ya Mkuu wa nchi kuwalalamikia kwamba wanashindwa ku Cover mikutano yake vizuri.
Je tukisema wapiga picha hao wanaendesha hujuma nzito dhidi ya ziara za Rais ili aonekane kwenye umma hapokelewi na watu wa kutosha au tutakuwa tumekosea?
Mnaofahamu zaidi tuambizane.
Kwamba tuwalazimishe wananchi wenye NJAA na Hali ngumu KUTABASAMU Ili afurahi?Kwa akili yako unadhani kuna taifa linaendeshwa bila tozo au Kodi?
Unaweza ukaona members katika mitandao ni wachache lakini wanaopita na kusoma hizi comments na threads ni mamilioni!! Kwahiyo mitandao ya kijamii sio ya kubezwa !!Kwa hiyo kumbe na yeye ana affectiwa na maneno ya mitandaoni?
Inner strength yake iko strong kweli?
She needs to get her priorities straight if that's her concern.... Mambo ya wingi na uchache wa Umati awaachie kina Diamond na Harmonize....Sasa mbona Kuna umati ila kwenye picha za mitandaoni haonyeshi,hiyo ndio concern ya Rais..
Nimefuatilia ziara yote toka Mbeya,Kote huko Rais amepokelewa kwa shangwe na umati mkubwa sana..
Ila pale Makambako ilikuwa noma zaidi.
Rais ni mwanasiasa na watu Ndio shughuli yenyewe..She needs to get her priorities straight if that's has concern.... Mambo ya wingi na uchache wa Umati awaachie kina Diamond na Harmonize....
Upo sahihi kabisa, inabidi wajifunze CGTN kwenye mitandao yao ya kijamii hasa hasa YouTube waangalie ziara za Xi Jinping mfano poverty alleviation in China.Waandishi wa habari na taasisi ya urais wanajichulia wenyewe, maana ziara ya rais clip video urefu masaa mawili, matatu mpaka manne sasa nani ataangalia video ndefu kiasi hicho.
Nashauri waandishi wa habari Ikulu, media binafsi na za serikali wafanyie review na kurusha vipande vifupi vyenye mambo ya msingi badala ya kugeuza ziara ya rais video zake kuwa ndefu kama za movie za kihindi au series za televisheni.
Wananchi hawana muda wala hela ya kununua bando la kutazama video za urefu huo.
Watu wa kipato cha chini waliokimbia kufanya Kazi Vijijini wamejazana huko mjini wanauza maji Hawa wanatakiwa wapate moto Ili wapate akili..Mkuu Kwa bei za debe la Mahindi kuwa 18,000 manake ukihitaji guni Moja la debe 10 manake hapo unalipia 180,000/- so it's already there.
Mimi na wewe tunaweza kumudu kununua but imagine watu wa kipato Cha Chini?
Kama hali itaendelea kuwa hivi ni hatari Kwa maisha ya watu.
Magufuli kafanayo. Alisikika akisema mlamba asali moja huko BumbuluHivi drone imeenda wapi?