Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.
Stop this plz!!