Kwanza mkoa wa Kigoma ndio wenye wahamiaji haramu wengi zaidi ya mikoa yote. Sababu mkoa unapakana na nchi zenye machafuko na usalama mdogo, na zote ni masikini zaidi yetu. Wakati kwa mikoa kama Tanga, Kili na Arusha inayopakana Kenya hao hawana njaa na hawana vita hivyo hawalazimiki kujaa Tanzania.
Pili, wenyeji wa Kigoma wanafanana sura na lugha na wenyeji wa Burundi na Rwanda. Hakuna Mchaga anafanana Mkenya, wala lugha hazifanani. Hivyo scrutiny kwa Kigoma ni kubwa.
Tatu, wahamiaji wenye shida ni wanaotokea Kigoma. Ndio majambazi na ndio wengine Rwandese wanajiona ni state within a state. Hutokutana na Mganda anajitapa uraia wake hapa Tanzania. Rwandese hata kama baba Msukuma mama Mnyarwanda unakuta anajitapa Mnyarwanda na kwao Rwanda hajawahi fika. Hao ni virusi.
Nne, Kigoma kuna wakimbizi wengi kuliko mikoa yote. Na hao wengine walitoroka.
Tano, unawajua Banyamurenge. Walianzaje, lengo lao ni nini na wanaleta athari gani. Sasa Kigoma bila uangalizi utapata miaka kadhaa ina Banyamurenge