Risk kubwa ya kuingia raia wa nchi jirani kimagendo ipo Kigoma, huwezi linganisha na Kilimanjaro au Arusha. Warundi wanapambana usiku na mchana kuzamia Tanzania. Umewahi tembelea kambi za wakimbizi Kigoma? Hao jamaa hawana mpango wa kurudi kwao, yaani wanaona ni bora wabaki kuwa wakimbizi kuliko kurudi kwao. Hata hivyo, wenyeji wa Kigoma, wengi huwaficha hawa wahamiaji haramu, na hivyo kufanya wote wajumuishwe kwenye makosa. Case ya Wachaga ni tofauti, maana hakuna muingiliano wa lugha za Wachaga na makibila ya Kenya