Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

Tafuta ndugu/jamaa/rafiki yako au yeyote unayefahamu anafanya kwenye chombo chochote cha ulinzi mkoani humo atakuwa na cha kukwambia mkuu. Utagunduaa issue sio tu kuwa mpakani.
 
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.

Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.

Stop this plz!!
Nyie ni Wakimbizi kweli kweli, hata sura zinasadifu hilo yaani ni basi tu
 
Acheni ujinga. Tukianza kuwaandamana wachaga itakuwaje. Kwanza wachaga wote ni wezi haijalishi ni nani ndo mana kuna influx kubwa ya wachaga kuwa mapadre kwa sababu wanapenda maisha kitonga na kuiba kirahisi
Kuna makatili wanaozidi kenya. Kwa nini usiseme wachaga wizi wao ni wa asili kwa sababu wakenya ni wezi naturally. Kama waliweza kuiba mlima kilimanjaro na kiutangaza kuwa ni wa kwao unategemea nini
Hutaki watu wa Kigoma wahojiwe uraia. Alafu hapohapo unaumia kwanini watu wa Kilimanjaro wahojiwe kuhusu Kenya. Na unatamani sana Wachaga waitwe Wakenya.

Wewe ni mchawi? Au ukoo wenu una waganga wa kienyeji? Maana tabia ya kichawi kulalamika kwanini unafanyiwa hivi, hapohapo kuumia kwanini mwenzako hafanyiwi hilo baya
 
People from that area are very intelligent and thats why toka Mwalimu mpaka Serikali hii waliinyima Kigoma kila kitu kuanzia infrastructures,education and social services. Waliifunga Kigoma kwelikweli..unahitaji jicho la tatu kujua suala hilo
Huyo TICHA mwenyewe ni wa hukohuko
 
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.

Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.

Stop this plz!!
Wengi si Raia halali,mfano Zitto ni mkongomani.
 
Kwanza mkoa wa Kigoma ndio wenye wahamiaji haramu wengi zaidi ya mikoa yote. Sababu mkoa unapakana na nchi zenye machafuko na usalama mdogo, na zote ni masikini zaidi yetu. Wakati kwa mikoa kama Tanga, Kili na Arusha inayopakana Kenya hao hawana njaa na hawana vita hivyo hawalazimiki kujaa Tanzania.

Pili, wenyeji wa Kigoma wanafanana sura na lugha na wenyeji wa Burundi na Rwanda. Hakuna Mchaga anafanana Mkenya, wala lugha hazifanani. Hivyo scrutiny kwa Kigoma ni kubwa.

Tatu, wahamiaji wenye shida ni wanaotokea Kigoma. Ndio majambazi na ndio wengine Rwandese wanajiona ni state within a state. Hutokutana na Mganda anajitapa uraia wake hapa Tanzania. Rwandese hata kama baba Msukuma mama Mnyarwanda unakuta anajitapa Mnyarwanda na kwao Rwanda hajawahi fika. Hao ni virusi.

Nne, Kigoma kuna wakimbizi wengi kuliko mikoa yote. Na hao wengine walitoroka.

Tano, unawajua Banyamurenge. Walianzaje, lengo lao ni nini na wanaleta athari gani. Sasa Kigoma bila uangalizi utapata miaka kadhaa ina Banyamurenge
 
Mmejitahidi sana kumuelewesha mtoa mada though naona ameleta andiko akiwa na chuki ya waziwazi na hasa na wachaga
 
Sasa huo weledi gani kama wameshindwa kujinasua? Usikuze mambo?

Umeshafika kusini? Tena wametoa rais, pm na mawaziri waandamizi kbs.
Kujinasua lazima Serikali iweke mazingira.Unajinasua vipi hauna barabara?Hauna huduma za kijamii kama maji,elimu nk?Unasema kusini unasahau kusini wanabarabara ya lami mpaka Dsm mpaka Njombe huko kote lami!Kusini wanakorosho na Serikali imetafuta soko nje,Kigoma kuna michikichi Lakini Serikali haitafuta soko nje wala kuweka nguvu yyt na soko ni la uhakika,vivyohivyo kwenye suala la uvuvi(samaki wa Kigoma na Dagaa wake wa ziwa Tanganyika kwenye soko nje ni dhahabu kabisa lakini Serikali inafanya makusudi kutoweka nguvu huko).
Kutoa Rais,PM na mawaziri waandamizi haina maana wako smart kichwani!Au wew kwa akili yako unamuona Majaliwa ni mtu smart sana kichwani!???
 
People from that area are very intelligent and thats why toka Mwalimu mpaka Serikali hii waliinyima Kigoma kila kitu kuanzia infrastructures,education and social services. Waliifunga Kigoma kwelikweli..unahitaji jicho la tatu kujua suala hilo
Hawa hawa kina Baba Levo,Mwijaku? Watu wengi ambao hawaaminiki ni kutoka kigoma
 
Risk kubwa ya kuingia raia wa nchi jirani kimagendo ipo Kigoma, huwezi linganisha na Kilimanjaro au Arusha. Warundi wanapambana usiku na mchana kuzamia Tanzania. Umewahi tembelea kambi za wakimbizi Kigoma? Hao jamaa hawana mpango wa kurudi kwao, yaani wanaona ni bora wabaki kuwa wakimbizi kuliko kurudi kwao. Hata hivyo, wenyeji wa Kigoma, wengi huwaficha hawa wahamiaji haramu, na hivyo kufanya wote wajumuishwe kwenye makosa. Case ya Wachaga ni tofauti, maana hakuna muingiliano wa lugha za Wachaga na makibila ya Kenya
kwahyo dawa ya kupambana na wimbi la raia wa kigeni kuingia Kigoma ni kuinyima Kigoma maendeleo kwa makusudi!?Kuiwekea vizuizi kana kwamba unapoingia Kigoma ni kama unaingia military base!?What nonsense is this?Kigoma inapakana na nchi ngapi kwann isitumike kama fursa kufanya biashara na nchi hizo?..mmeifunga isifurukute,ujinga mtupu!
 
Kujinasua lazima Serikali iweke mazingira.Unajinasua vipi hauna barabara?Hauna huduma za kijamii kama maji,elimu nk?Unasema kusini unasahau kusini wanabarabara ya lami mpaka Dsm mpaka Njombe huko kote lami!Kusini wanakorosho na Serikali imetafuta soko nje,Kigoma kuna michikichi Lakini Serikali haitafuta soko nje wala kuweka nguvu yyt na soko ni la uhakika,vivyohivyo kwenye suala la uvuvi(samaki wa Kigoma na Dagaa wake wa ziwa Tanganyika kwenye soko nje ni dhahabu kabisa lakini Serikali inafanya makusudi kutoweka nguvu huko).
Kutoa Rais,PM na mawaziri waandamizi haina maana wako smart kichwani!Au wew kwa akili yako unamuona Majaliwa ni mtu smart sana kichwani!???
Kwa hiyo umemuona Majaliwa ndo wa kupigia mfano 😀😀
 
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.

Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.

Stop this plz!!
Unaionaje sura ya ZITO KABWE?!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wa Kigoma ni wabishi in nature na wana akili nyingi na confidence, ni shida sana kuwaweka chini na kuwaongoza , sera za chama haziwaingii kabisa, hata ukihubiri maji na umeme unampigia mbuzi gitaa tu, sasa walichoamua wao jinsi tunaona dawa ni kuwasumbua tu, hakuna kuwapa NIDA bila kashkash na wengine hawapewi kabisa bila sababu.

But it is true kuna raia wana muungiliano mkubwa na nchi jirani na ni wa kihistoria huwezi kufuta milele, koo nyingi za Kigoma zina ndugu wa damu raia wa Burundi na wengine raia wa DR Congo, na wanatembeleana, it is very complicated.

Hapa utaona consequences za Berlin Conference 1884/85 kuweka mipaka.
 
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.

Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.

Stop this plz!!
Tundu Lissu alizunguka wilaya zote za Mkoa wa kigoma akikemea hili swala.

Huko Singwe, namtumbo na Kiyela watu hawambiwi ni wamalawi wala Wamsumbiji.

Alitoa historia ndefu inayoambatana na unyanyasaji huu.

Kidogo umepungua
 
Watu wa Kigoma ni wabishi in nature na wana akili na confidence, ni shida sana kuwaweka chini na kuwaongoza , walichoamua wao jinsi tunaona dawa ni kuwasumbua tu, hakuna kuwapa NIDA bila kashkash na wengine hawapewi kabisa.

But it is true kuna raia wana muungiliano mkubwa na nchi jirani na ni wa kihistoria huwezi kufuta milele, koo nyingi za Kigoma zina ndugu wa damu raia wa Burundi na wengine raia wa DR Congo, na wanatembeleana, it is very complicated.

Hapa utaona consequences za Berlin Conference 1884/85 kuweka mipaka.
Hii haina tofauti kabisa na Mara, Arusha, Mtwara kwa makonde
 
Ni kweli Kigoma kuna usumbufu wa uraia kuliko mikoa yote ya mipakani. Nadhani sababu ni: 1. Umasikini uliokithiri wa nchi jirani ya Burundi. Warundi wengi ndo cheap labor Kigoma. Na wengi wanatafuta kila njia ili waingie mingine.2. Muingiliano wa lugha kati ya Waha na Warundi. 3. Vita ya Congo DR kufanga Wakongo wengi kukimbilia nchini kupitia Kigoma e.t.c. Hata hivyo Kigoma kuna raia wa Burundi na Congo weng walio zamia nchini.
Ukiwa mkimbizi we jiunge na Ccm tu hawatakusumbua milele.

Kuna Diwani alifukuzwa pale jimbo la Zitto taarifa tulizipata humu. Alikuwa Diwani wa ccm Mrundi
 
Back
Top Bottom