Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Ukiwa na Hela hutoulizwa hayo maswali ya kipuuzi,Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.
a] ongeza Hela mpaka bank ikuite kwenye kikao cha dharula kukuomba uikopeshe hawatokuuliza wewe Mhutu au Mtutsi as long as una vibunda vya kutosha,
b] km UPO chini ya Mstari wa umasikini km upo kwenye Ile ¾ ya watu Masikini Tanzania walio CHINI ya Mstari wa umasikini lazima uulizwe wewe wa Kigoma umetoka wapi Burundi au Rwanda?