umewakazania wachaga. walikubaka? kama alikukorofisha mmoja ungedili naye kama mwanaume. miafrika lini mtaacha kuchukiana na kua watu wamoja? weupe watudharau bado sisi kwa sisi tuchukiane. akikukera mtu mmoja usihitimishe jamii husika nzima wewe nyani mtu.Kuna makatili wanaozidi kenya. Kwa nini usiseme wachaga wizi wao ni wa asili kwa sababu wakenya ni wezi naturally. Kama waliweza kuiba mlima kilimanjaro na kiutangaza kuwa ni wa kwao unategemea nini
Mkuu nyinyi mlikimbia vita tukawahifazi atimae mkalowea na wenyeji pale Nyarugusu,Wengine mkazaliwa pale mkatoroka makambini.Issue siyo kambo issue ni je kigoms ndo pekee ipo mpakani nchi nzima?
Kigoma kuna makamu wa raisSasa huo weledi gani kama wameshindwa kujinasua? Usikuze mambo?
Umeshafika kusini? Tena wametoa rais, pm na mawaziri waandamizi kbs.
Kweli !People from that area are very intelligent and thats why toka Mwalimu mpaka Serikali hii waliinyima Kigoma kila kitu kuanzia infrastructures,education and social services.Waliifunga Kigoma kwelikweli..unahitaji jicho la tatu kujua suala hilo
Umeandika niniMkuu nyinyi mlikimbia vita tukawahifazi atimae mkalowea na wenyeji pale Nyarugusu,Wengine mkazaliwa pale mkatoroka makambini.
Huko Mbeya na uchagani imekua ngumu kuwaita hivyo
Acha Fix bana...Very IntelligentPeople from that area are very intelligent and thats why toka Mwalimu mpaka Serikali hii waliinyima Kigoma kila kitu kuanzia infrastructures,education and social services.Waliifunga Kigoma kwelikweli..unahitaji jicho la tatu kujua suala hilo
Ndo ukweli huo. Angalia mifano ya akina Ndalichako tanzania one both form four na form six PCMAcha Fix bana...Very Intelligent
Sasa makelele ya niniKigoma kuna makamu wa rais
Risk kubwa ya kuingia raia wa nchi jirani kimagendo ipo Kigoma, huwezi linganisha na Kilimanjaro au Arusha. Warundi wanapambana usiku na mchana kuzamia Tanzania. Umewahi tembelea kambi za wakimbizi Kigoma? Hao jamaa hawana mpango wa kurudi kwao, yaani wanaona ni bora wabaki kuwa wakimbizi kuliko kurudi kwao. Hata hivyo, wenyeji wa Kigoma, wengi huwaficha hawa wahamiaji haramu, na hivyo kufanya wote wajumuishwe kwenye makosa. Case ya Wachaga ni tofauti, maana hakuna muingiliano wa lugha za Wachaga na makibila ya KenyaWachaga je kwa nini usiseme wengi wa kenya
Acha uongoRisk kubwa ya kuingia raia wa nchi jirani kimagendo ipo Kigoma, huwezi linganisha na Kilimanjaro au Arusha. Warundi wanapambana usiku na mchana kuzamia Tanzania. Umewahi tembelea kambi za wakimbizi Kigoma? Hao jamaa hawana mpango wa kurudi kwao, yaani wanaona ni bora wabaki kuwa wakimbizi kuliko kurudi kwao. Hata hivyo, wenyeji wa Kigoma, wengi huwaficha hawa wahamiaji haramu, na hivyo kufanya wote wajumuishwe kwenye makosa. Case ya Wachaga ni tofauti, maana hakuna muingiliano wa lugha za Wachaga na makibila ya Kenya
Kama hajaelewa atakua ni mkaidi.Risk kubwa ya kuingia raia wa nchi jirani kimagendo ipo Kigoma, huwezi linganisha na Kilimanjaro au Arusha. Warundi wanapambana usiku na mchana kuzamia Tanzania. Umewahi tembelea kambi za wakimbizi Kigoma? Hao jamaa hawana mpango wa kurudi kwao, yaani wanaona ni bora wabaki kuwa wakimbizi kuliko kurudi kwao. Hata hivyo, wenyeji wa Kigoma, wengi huwaficha hawa wahamiaji haramu, na hivyo kufanya wote wajumuishwe kwenye makosa. Case ya Wachaga ni tofauti, maana hakuna muingiliano wa lugha za Wachaga na makibila ya Kenya
We una uwezo wa kujua hiyu ni raia au la? Kama wakimbizi au wageni wengi wanapitia moshi kutokea kenya we utawajuaje na umefanya comparison hiyo lini. Au nyie ndo mnasomaga vichwa vya habari vya magazeti na ku come up with conclusionKama hajaelewa atakua ni mkaidi.
Mipaka mingine yote hukuti raia wa nchi za jirani wanavuka sana kuingia kwetu,ila mpaka wa Kigoma umekua na shida hiyo na ndio maana Serikali ipo makini sana na hilo lakini bado sometimes inazidiwa kwa raia wa Tanzania kuwahifadhi wageni kutoka nchi jirani
Tembea uone tofauti ya mpaka wa huko na kwingine nduguWe
We una uwezo wa kujua hiyu ni raia au la? Kama wakimbizi au wageni wengi wanapitia moshi kutokea kenya we utawajuaje na umefanya comparison hiyo lini. Au nyie ndo mnasomaga vichwa vya habari vya magazeti na ku come up with conclusion
Mnafanana na Wahutu/Watutsi kiasi cha kushindwa kutofautishwa.Huwezi kusikia watu wanaokuja dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala hiwwezi kusikia watu wa mbeya, ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala la watu wa kutoka kigoma ndo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya. Stop this plz!!
Nilichogundua unachuki binafsi a Wachagga jambo ambalo litazidi kukuumiza. Mtanzania ambaye sio mwizi ni aliyekosa kitu cha kuiba ila wote hata Waha ni wezii tu. Tena Waha wengi Wanatutunzia nguruwe sana huku kaskazini na wao ni wadokozi tu.Siwezi kuelewa upuuzi huo. Sema wanawaonea wivu watu w kigoma mana wana akili nyingi. Huwezi walinganisha na wacha. Wachaga nguvu ya ni wizi tu