Ukiwa na Hela hutoulizwa hayo maswali ya kipuuzi,Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.
Mbona wamakonde wa Mtwara mpakani mwa Msumbiji hawasumbuliwi?Wa nyasa wa kwenye mpaka wa Malawi hawasumbuliwi?Maana hata watu wa Msumbiji na Malawi pia wapo wengi TanzaniaNi kweli Kigoma kuna usumbufu wa uraia kuliko mikoa yote ya mipakani. Nadhani sababu ni: 1. Umasikini uliokithiri wa nchi jirani ya Burundi. Warundi wengi ndo cheap labor Kigoma. Na wengi wanatafuta kila njia ili waingie mingine.2. Muingiliano wa lugha kati ya Waha na Warundi. 3. Vita ya Congo DR kufanga Wakongo wengi kukimbilia nchini kupitia Kigoma e.t.c. Hata hivyo Kigoma kuna raia wa Burundi na Congo weng walio zamia nchini.
ndio hao hao akina Diamond,Ali kiba,Lunyamila,Matola,Kidau,Alphonce Modest,Nteze John,Said Maulid to name a few kwenye sanaa na michezo.Kwenye sekta nyingine ni wengi mnooo.Hawa hawa kina Baba Levo,Mwijaku? Watu wengi ambao hawaaminiki ni kutoka kigoma
Ukiwa na akili ndogo huwez kumuelewa mwenye akili nyingi!Yaan wew ni wa kumjaji Zitto,I mean unamuweka Zitto kwenye kundi la akina Dr Slaa au Mbowe wenye kadi za CCM mpaka kesho!Are you kiddin me!Be serious broWatu wa Kigoma siyo waaminifu hawana msimamo ni watu wepesi kununuliwa.
Amani,Kafulila,Machali,Zitto n.k wote walifika bei kirahisi sana,kwa hiyo hata kwenye uraia hawawezi kuaminika kirahisi na serekali ya CCM kwa kuwa ndio watoa dau wenyewe.
umewahi kufika Kigoma mkuu?Utasikitika jinsi ambavyo huduma za afya zilivyoduni!Hivi unajua Serikali inawajibu wa kuhakikisha keki ya Taifa inagawanywa sawa?Wakati mikoa hyo unayoisema inapewa shule kiupendeleo na fursa zingine Kigoma imeachwa.Hivi unajua ni mkoa wa Kigoma pekee nchi hii ambao bado haujaunganishwa kwa lami na mikoa mingine????Au unataka nan aifanye kazi ya kujenga barabara huko?Sasa kama unahisi watu flan si raia na wanapaswa wanyimwe maendeleo na fursa kuliko mikoa mingine wape autonomy economy and freedom wajiendeshe wenyewe uone!!!!Watu wakiwaambia hivi mnasema wanataka kujitenga ilhali mmewatenga.Ziwa Tanganyika hakuna meli mpaka kesho(meli ya mv Lyemba toka mjerumani 1918 huko mpaka leo na ni mbovu) lakini hamuwez kuwapa hata meli tu!Ukerewe kuna meli!!!!!!!!!!Hutaki watu wa Kigoma wahojiwe uraia. Alafu hapohapo unaumia kwanini watu wa Kilimanjaro wahojiwe kuhusu Kenya. Na unatamani sana Wachaga waitwe Wakenya.
Wewe ni mchawi? Au ukoo wenu una waganga wa kienyeji? Maana tabia ya kichawi kulalamika kwanini unafanyiwa hivi, hapohapo kuumia kwanini mwenzako hafanyiwi hilo baya
Mada inahusu ukaguzi wa vitambulisho vya taifa, wewe unajadili meli na barabara.umewahi kufika Kigoma mkuu?Utasikitika jinsi ambavyo huduma za afya zilivyoduni!Hivi unajua Serikali inawajibu wa kuhakikisha keki ya Taifa inagawanywa sawa?Wakati mikoa hyo unayoisema inapewa shule kiupendeleo na fursa zingine Kigoma imeachwa.Hivi unajua ni mkoa wa Kigoma pekee nchi hii ambao bado haujaunganishwa kwa lami na mikoa mingine????Au unataka nan aifanye kazi ya kujenga barabara huko?Sasa kama unahisi watu flan si raia na wanapaswa wanyimwe maendeleo na fursa kuliko mikoa mingine wape autonomy economy and freedom wajiendeshe wenyewe uone!!!!Watu wakiwaambia hivi mnasema wanataka kujitenga ilhali mmewatenga.Ziwa Tanganyika hakuna meli mpaka kesho(meli ya mv Lyemba toka mjerumani 1918 huko mpaka leo na ni mbovu) lakini hamuwez kuwapa hata meli tu!Ukerewe kuna meli!!!!!!!!!!
Kwahyo mnahisi kuidhibiti Kigoma ni kuinyima maendeleo na kuifanya iwe military ground kila sehemu kuna kizuizi!!!!
Halaf ulivyomjinga unasema eti ukifanyiwa baya na mwenzako hafanyiwi usilalamike!Haujui ni haki kulia kwa yule anayepigwa na ni haki ya mpigaji kuambiwa maumivu na upendeleo anaouonyesha!
ulivyomuuliza yeye ni mchawi au ukoo wao ni waganga wa kienyeji ilikuwa ni mada tajwa hapo juu?Au uliishiwa hoja?Ndo nimekujazia nyama sasa kichwa chako kifungukeMada inahusu ukaguzi wa vitambulisho vya taifa, wewe unajadili meli na barabara.
Tuko kwenye somo la Kiswahili tunajadili kiima na kiarifu wewe unaleta hesabu za kukokotoa eneo la mzingo wa mstatiri.
Anzisha mada ya maendeleo tuijadili mikoa yote inayonyimwa fursa
Kagera piaHuwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara utaambiwa we ni mtusi mara mhutu lakini huwezi kusiki mchaga anaambiwa we mkenya.
Stop this plz!!
Anadai hataki ubaguzi, ila hapohapo anaumia kwanini watu wa Kilimanjaro hawabaguliwi. Nimemuuliza kama ana tabia za kichawi, ambalo hataki kufanyiwa bado roho inamuuma kwanini wengine hawafanyiwi hilo jambo baya.ulivyomuuliza yeye ni mchawi au ukoo wao ni waganga wa kienyeji ilikuwa ni mada tajwa hapo juu?Au uliishiwa hoja?Ndo nimekujazia nyama sasa kichwa chako kifunguke
Zitto kajiweka mwenyewe pamoja na akili zake kubwa.Ukiwa na akili ndogo huwez kumuelewa mwenye akili nyingi!Yaan wew ni wa kumjaji Zitto,I mean unamuweka Zitto kwenye kundi la akina Dr Slaa au Mbowe wenye kadi za CCM mpaka kesho!Are you kiddin me!Be serious bro