Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

Hizo zako ni tabia za nchi nyingi ulaya huko, watu hawana habar Kila mtu Yuko busy na yake mnapishana kama mangombe
 
Wamefundishwa ukimuona mkubwa wako salimia.Kwahiyo wamekuwa na hiyo.
 
Ndo raha ya kijijini. No stress.
 
Usiposalimiwa utasema hawasalimii
 
Umeenda kununua bangi afu wenyewe wanakusalimiasalimia [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uko ka mimi.....yaan mi usiponisalimia kwanza ndo natokea kukupenda!

Sipendi salamu asee...yaan unakuwa kama mtumwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
"Habari yako? umeshindaje? za mihangaiko? wanao hawajambo? vipi huko kwenu umewaachaje? unaelekea wapi? vipi huko mjini hawajambo? Naona unazidi kupendeza tu,Sisi tupo bhana,maisha magumu tu"
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji38] yote hayo nianze kuyasikiliza kweli[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Safiii jirani Na mimi NAKUSALIMIA..
 
Watu wa kijijini ni wachawi sana.. hivyo vitu vyao ukivila utakoma

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…