Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?


Labda Kwa vile wewe ni Mwanamke, Ila Kwa Sisi wanaume salamu sio hiyari ni lazima. Popote pale.
Iwe mnajuana au hamjuani.

Ni Tabia za kike kutokusalimiana, Kwa Sisi wanaume salamu ni kitu chakawaida na NI lazima.
Ingawaje Kwa mjini inategemea,
 
Mpaka hapo we unonekana ni mporipori kuliko hao waporipori wenyewe.

Inaelekea huna exposure ya kutosha.

Mtu mwenye exposure akienda jamii furani hujitahidi ku cope na desturi za jamii hiyo ili kupata wepesi kwenye mishe zao then mishe zako zikiisha unawaachia hizo mila zao.

Angalia wazungu wakija huku vijijini hujitahidi kusoma na kuelewa utamaduni wa wenyeji wao na kiishi sawa na wenyeji wao.
Uzungu hubakia kwenye ngozi tu ila mambo yote hufuata ya waporipori wenueji wao.

Mtu kama wewe ambae sio flexible ni ngumu sana kupata mafanikio na maendeleo makubwa
 
mkoani ni wapi huko?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwanza sitaki mchumba anaesalimia salimia Sana Nina wivu!

Halafu leo umeniudhi Sana kutetea hili suala

Mimi nimuungwana lazima nisalamie,
Ila inategemeana na mazingira,
Huwezi msalamia MTU ambaye haja-focus na wewe.

Najua wivu unakusumbua, na Mimi ni MTU mwenye mizaha, Sisi Watu wenye mizaha na wacheshi kila MTU tunamuona ni ndugu yetu na NI muhimu kwetu na anastahili kuwa na furaha, ikiwa salamu itampa furaha hatuoni shida kumpa salamu.

Ukishaingia kwenye serikali yangu, nitakuwa nasalimia mara mbili, yakwako na yakwangu, ili usichoke, Sawasawa
 
Mpori-pori wa mchongo, wazungu wana ku-mock wewe boya
 
Kwani mzungu ndio Nani sasa Sasa Hadi awe Kama special case?kwanza ushawahi ona huyo mzungu anasalimia kila mtu,anasalimia mtu mwenye kazi nae.
 
Salam huleta amani ya nafsi,salam huleta upendo,
Binadamu waliagizwa na Mungu kupendana,

"Pendaneni,na hamtapendana mpaka pale mtakapokua mkisalimiana" hii ipo kwenye Uislamu na hutumia salam ya "Γ„salamu alaikum-Amani iwe na wewe"
Una uhakika unaosalimiana nao wanakupenda?
 
Niko katikati Narung'ombe na Aggrey street unasikia, dada habari?....πŸ™„

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo salamu, huo ni mtongozo,
Sasa Kariakoo utasalimiana na watu wangapi?

Hata Mimi ninawivu, sitaki My Archangel asalimiwe salimiwe na kila MTU.
Kwa mtoto wa kike kusalimia salimia haipendezi,
Mtoto wa kike maringo, kujishaua ni muhimu.

Ila Kwa Sisi wanaume salamu ni lazima, alafu hatutakiwi kuringa wala kujishaua.

Mwanaume kuibania salamu inakuwa haikai vizuri,
Ila Kwa Mwanamke sio ajabu na sio vibaya kwani tunajua vichwa vya kinadada havijakaa sawasawa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Dah!utanichosha Sana kusalimia mara mbili nitawaunganisha na mama mkwe wako muendelee na salamu zenu Mimi natangulia zangu mbele mdogomdogo
 
Aah mtongozo wapi ndio salamu zenyewe hizo zinazochosha ubongo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Dah!utanichosha Sana kusalimia mara mbili nitawaunganisha na mama mkwe wako muendelee na salamu zenu Mimi natangulia zangu mbele mdogomdogo

Utafanya jamii na wanaJF wanione nimeoa Mwanamke asiye na tabia njema, hivyo ni Bora ubakie palepale ili nieleze kuwa MKE wangu ni mgeni Kutoka Nchi za Ulaya Huko hajui Kiswahili vizuri, ndio maana anashindwa kusalimia, alafu utapewa nafasi ya kupunga angalau kamkono na kutabasamu tuu.
Hilo halitokushinda Darling 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…