Kwanini watu wanachukia sana Ugali. Kwani ugali una kosa gani jamani?, Wanasayansi njoeni basi mtupe Elimu

Inategemea mboga. Ugali dagaa zilizopikwa vizuri ninaweza mwezi mzima mchana na jioni. Ila kwa maoni ya jumla UGALI sio kabisa. Ni chakula cha kudumaza akili. Wakati wazungu wasiokula ugali wanafikiria kwenda Mars sisi wala ugali karibu kila mwaka tuna kambi za kipindupindu.
 
Ugali inategemea unakula na mboga gani, ugali na kabichi lazima uukasirikie. Ila ugali maini rosti, ugali nyama choma, ugali maziwa mgando hii napenda na naweza kula muda wowote.
 
Ugali inategemea unakula na mboga gani, ugali na kabichi lazima uukasirikie. Ila ugali maini rosti, ugali nyama choma, ugali maziwa mgando hii napenda na naweza kula muda wowote.
We yaelekea ni wa kudeka deka sana,huo ugali kabichi una shida gani chief?
 
Ugali inategemea unakula na mboga gani, ugali na kabichi lazima uukasirikie. Ila ugali maini rosti, ugali nyama choma, ugali maziwa mgando hii napenda na naweza kula muda wowote.
Ukisha ona chakula ambacho kinategemea mboga gani ndio kivutie ujue hakuna kitu hapo,coz hapo kinakua kitamu kwa msaada wa mboga gani,

Yani mpaka ugali upigwe tafu na hayo mazagazaga ndio uwe mzuri?

Wali hata mkavu unalika tu.
 
Nakumbuka kuna kipindi tulikua na beki tatu mvivu kupika akawa anapika ugali mpaka night coz mother alimpa mandate ya kuamua apike nini baba akiwa kasafiri, ilifika stage mzee karudi tukakiamsha beki tatu akafukuzwa na mother akapewa onyo kali na mzee tukatengeza ratiba yetu ya msosi no ugali
 
We yaelekea ni wa kudeka deka sana,huo ugali kabichi una shida gani chief?
Kabichi nakula rafiki na ni mboga yangu pendwa ila kama nakula na ugali lazima niweke na mboga nyingine. Mfano samaki, dagaa, nyama nk.
 
Kuna wengine wanaupasha asubuhi wanaunywea chai😃😃
 
Unajisikiaje kuandika kuwa mama yako alipewa onyo mbele yako? Umeandika ushuzi mtupu.
 
Kwani ugali unaandaliwa kwa kutumia nafaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…