MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Inategemea mboga. Ugali dagaa zilizopikwa vizuri ninaweza mwezi mzima mchana na jioni. Ila kwa maoni ya jumla UGALI sio kabisa. Ni chakula cha kudumaza akili. Wakati wazungu wasiokula ugali wanafikiria kwenda Mars sisi wala ugali karibu kila mwaka tuna kambi za kipindupindu.