ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Alcohol free since January 1 2024.Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi. Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Wakifika mbiguni watapewa figo mpya new modelyKuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi. Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Hata chakula kina madhara ila watu wanaendelea kufakamia. Kila kitu kwa kiasi mbona hakuna shakaKuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi. Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Sigara kuacha inawezekanaKuna baadhi ya vitu kuingia ni ngumu sana, na ukisha ingia kutoka huwa ni ngumu sana.
1. Sigara
2. Pombe
3. Nyeto
4. Ushoga
5. Usagaji
Ni asili ya binadam kusema "kuwa potelea poti"
Unakuta mtu hanywi halafu anakufa kwa ajali.Acha watu wanywe
Wasiokunywa nao wasibezwe
EVEN IF MONEY?Everything is poisonous depends on amount of dosage taken...!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA