Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

UYO MTU ALIKUWA NA MATATIZO KABLA NDIO KAINGIA KWENYE POMBE

KWAHIYO POMBE SIO TATIZO HAPO
 
Unywe usinywe. Kufa kupo palepale.

Hakuna faida ya kufa ukiwa na figo nzima, ini zima, mapafu mazima na viungo vizima.

Hakuna faida ya kufa na afya njema.

Kula bata, Mwagilia moyo.

Ponda mali kufa kwaja.

😂
"Tatizo ni usipokufa halafu figo, ini, mapafu mabovu". Mzee mmoja alitupaga hili jibu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mm hata Lunch sijapata leo.
Busy busy sana. Inabid baadae jion sana nikakae nipate kili lager na mdudu nusu roho yangu itulie.😊😊😊😊

Tunateseka sana na makaz ya watu haya. Aaagh. Muhim sana kurudishia mwili shukran.
Hahahaha umetisha kinoma, nkajua ni castle lite km jina lako 🤣
 
How did u manage it?Be open so that u can help others from this turmoil life!
Mimi miaka mingi tu huwa naacha kunywa pombe hata kwa miaka miwili, kuangalia tu kama naweza, halafu narudia.

Kwa sasa nimeamua kuacha kimoja. Ni maamuzi tu. Mengine haya ni willpower ya mtu tu kusimamia maamuzi yake.

Lakini pia nafikiri suala la mazingira na company yako ni muhimu sana. Mimi nimejiondoa katika mazingira shawishi.

Ingawa nimehakikisha sikosi pombe za kila aina nyumbani kama nitapata wageni wanaokunywa, lakini pia kwa kujitest mimi mwenyewe.

Naamini kuwa kuacha pombe maana yake uwe nazo ndani halafu hunywi, maana unaweza kuwa hunywi kwa sababu umeishiwa pombe, si kwa sababu umeacha.
 
Bongo kulewa sahv imekuwa jambo jepesi,2000 au 4000 mtu chali mmeletewa visungura,Double kick
Mmeletewa Hennessey feki
Grants feki wanawararua tu

Ova
 
Bongo kulewa sahv imekuwa jambo jepesi,2000 au 4000 mtu chali mmeletewa visungura,Double kick
Mmeletewa Hennessey feki
Grants feki wanawararua tu

Ova
God forbid.

Nisikose uwezo wa kumudu bia safi..
Na ikifikia huku. Naacha bia .

Hela ya bia ni excess unayotumia baada ya kulipa gharama nyingne nying za kuendeaha maisha yako.
Kwahiyo sio kipaumbele.
Ni starehe na starehe sio lazima kama huimudu gharama.
 
Hahahaha umetisha kinoma, nkajua ni castle lite km jina lako 🤣
For years nilikuwa huku . Ila mwaka huu nimebadili.
Alaf zaman nilikuwa napiga nying coz ya muda na zile zinahitaj muda na unywe nying ili ujisikie. Ila now nimebanana. So kili lager ndogo nikipiga nne tano weekdays naridhika .
Ndio natulia muda huu. Dah.
 
"Tatizo ni usipokufa halafu figo, ini, mapafu mabovu". Mzee mmoja alitupaga hili jibu.
Kama mtu amewahi kuuguza mgonjwa wa figo, ini, nk ataelewa wanachopitia. Kuishi na magonjwa ya hivyo viungo ni mateso. Tufanye yote yanawezekana kuvitunza.
 
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.

Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.

Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Tangu ufananishe akili za binadmmu na ndege..
Sikuamini tena
 
Kama mtu amewahi kuuguza mgonjwa wa figo, ini, nk ataelewa wanachopitia. Kuishi na magonjwa ya hivyo viungo ni mateso. Tufanye yote yanawezekana kuvitunza.
Kweli mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
UYO MTU ALIKUWA NA MATATIZO KABLA NDIO KAINGIA KWENYE POMBE

KWAHIYO POMBE SIO TATIZO HAPO
Endelea kunywa mwanetu ila ile michezo yako ya kukabidhi funguo zaa gari na simu kaunta ili ukilewa usivipoteze uache maana unasumbua sana watu akili zikisharudi
 
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.

Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.

Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au
Tunaokunywa haturuhusu pombe itutawale. Pombe kwa afya.
 
Back
Top Bottom