SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 881
- 1,720
Wanaziita KOMBUCHA NAMBA F
Mimi hela ikinitembelea sitaki ushauri wa aina yoyote kabisaUnakuta mtu hanywi halafu anakufa kwa ajali.
Unalinda ini na figo, Gari linakuua.
Mambo ya kutunza afya na yenyewe ni uoga tu wa maisha.
Hata utunze afya vipi, Kifo hakiepukiki.
Kwa hiyo, Kujibana bana sana eti unatunza afya ni Uoga wa tu.
😂Mimi hela ikinitembelea sitaki ushauri wa aina yoyote kabisa
Saivi naweza kusikiliza ushauri
Yaani sitaki
Kila kiumbe hai kina msukumo wa ndani kabisa wa kupambana kuishi(survival instincts).Unywe usinywe. Kufa kupo palepale.
Hakuna faida ya kufa ukiwa na figo nzima, ini zima, mapafu mazima na viungo vizima.
Hakuna faida ya kufa na afya njema.
Kula bata, Mwagilia moyo.
Ponda mali kufa kwaja.
😂
Buku 4 mbali sana zile zinapimwa mpaka jero ukiwa na buku 2 unapepesuka🤣🤣Kuna zile za kwenye makopo ya plastiki zile ndo mbaya zaidi ukiwa na buku nne unalewa chakari
Unasahau kwamba asilimia kubwa ya High blood pressure husababishwa na pombe....umeona hiyo chain?Pia asilimia 80% ya wanaoumwa Figo chanzo ni High blood pressure
Vitu vikubwa sanaa hivyo mkuu.Kuna baadhi ya vitu kuingia ni ngumu sana, na ukisha ingia kutoka huwa ni ngumu sana.
1. Sigara
2. Pombe
3. Nyeto
4. Ushoga
5. Usagaji
Ni asili ya binadam kusema "kuwa potelea poti"
bangi haiingii hapo ?Kuna baadhi ya vitu kuingia ni ngumu sana, na ukisha ingia kutoka huwa ni ngumu sana.
1. Sigara
2. Pombe
3. Nyeto
4. Ushoga
5. Usagaji
Ni asili ya binadam kusema "kuwa potelea poti"
how much money can drive you crazy ?Mimi hela ikinitembelea sitaki ushauri wa aina yoyote kabisa
Saivi naweza kusikiliza ushauri
Naam mkuu, na SIRI-KALI IMEKAA KIMYAVitu vikubwa sanaa hivyo mkuu.
Bangi haina shida kabisa mkuubangi haiingii hapo ?
nataka kuanza kuvutaBangi haina shida kabisa mkuu