Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

For years nilikuwa huku . Ila mwaka huu nimebadili.
Alaf zaman nilikuwa napiga nying coz ya muda na zile zinahitaj muda na unywe nying ili ujisikie. Ila now nimebanana. So kili lager ndogo nikipiga nne tano weekdays naridhika .
Ndio natulia muda huu. Dah.
Nilikuwa na mitikasi mpk saa nne ndo nimechomoka na nikaoga huku huku,

Nikachek msosi nikapita sehemu kupata safari mbili ndo nipo home saa hz kakangu
 
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.

Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.

Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Hakuna jambo zuri au baya kwa ujumla wake, bali namna ya matumizi ndio hupelekea kuwa zuri au baya! Pombe imekuwepo toka enzi. Gari linaweza kuwa zuri sana kwa kukuwahisha kazini ila pia, linaweza kukuwahisha paradiso endapo litatumika vibaya! kikubwa, tujifunze kufanya jambo sahihi, kwa wakati sahihi na kwa njia sahihi. Wasalaam
 
Kwahyo wewe utaogopa kusafiri kwa sababu umeona wengine wamepata ajali!!!?

Kula tungi weweee acha woogaa!!!!
 

Attachments

  • 1780987504282.jpg
    1780987504282.jpg
    85.6 KB · Views: 8
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.

Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.

Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?

SAsa nini ambaco sio kibaya katika maisha haya ya binadamu chini ya jua? Nimemuona mtyu kavimba mashavu na tumbo kubwa, gumu, sababu ya kula pilau.
Jamaa hanywi pombe....kweli kila kitu ni haramu
 
Back
Top Bottom