Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.

Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.

Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Watu wanakunywa pombe miaka na miaka na bado wanadunda tu .

Huna babu huko kijijini ambaye anakunywa pombe?
 
Tuache kila mtu apambane kuishi kwa namna yake. Tusihukumu sana. Binafsi sinywi kwa ajili ya kutunza utimamu wa akili tu. Nataka kila ninalopitia maishani nipitie nikiwa timamu. Nataka "full experience" yaani.
Vipi ikitokea unasumbuliwa na jino na linatakiwa kung'olewa???

Upo tayari kupitia maumivu ukiwa timamu bila ganzi?
 
Vipi ikitokea unasumbuliwa na jino na linatakiwa kung'olewa???

Upo tayari kupitia maumivu ukiwa timamu bila ganzi?
Dah, hongera sana mkuu umeuliza swali zuri sana ambalo sikuwahi kabisa kufikiria.

Nimeegemea zaidi kwenye mapito ya kihisia na kiakili mfano huzuni, shauku, woga nk.

Haya ya kimwili hayana mbabe aisee😅
Kuna viwango huwezi kujikaza.
 
Unasahau kwamba asilimia kubwa ya High blood pressure husababishwa na pombe....umeona hiyo chain?

Pombe itakuletea High blood pressure,Then High BP inakuletea magonjwa ya figo.

Kama ni mnywaji wa pombe,nakupa zoezi ...kacheki BP yako saivi...halafu pumzika kunywa hata miezi 3...kacheki tena BP uone tofauti zake..

Tusipende kuitetea pombe,,

Mm iko normal.

sitetei pombe. Ila pombe sio kisababishi kikubwa cha Figo kama watu wanavyodhani.

BP unaweza pata pia hata kama haunywi bia.

Figo inaweza kudhurika pia na sumu au kemikali. (Madawa bila mpangilio au kuzidsha dose).
 
Pombe si Tatizo, Tatizo ni Wanywaji.

Pombe nzuri ni ile Fermented, Sio hizo sanitizers (Spirits).

Alaf hapa unachanganya na Mo energy au Azam energy. Ukitoka hapo unaenda sarandia Mwanamke.

moyo unakimbia Hamilton anasubiri 😂😂😂😂😂
 
Alaf hapa unachanganya na Mo energy au Azam energy. Ukitoka hapo unaenda sarandia Mwanamke.

moyo unakimbia Hamilton anasubiri 😂😂😂😂😂
Noma mzee.

Alafu lawama anarushiwa Pombe badala ya Sanitizers.
 
Unasahau kwamba asilimia kubwa ya High blood pressure husababishwa na pombe....umeona hiyo chain?

Pombe itakuletea High blood pressure,Then High BP inakuletea magonjwa ya figo.

Kama ni mnywaji wa pombe,nakupa zoezi ...kacheki BP yako saivi...halafu pumzika kunywa hata miezi 3...kacheki tena BP uone tofauti zake..

Tusipende kuitetea pombe,,
Wanaoongoza BP sio wanywaji pombe zingatia ilo.
 
Addiction mkuu. It is all we think is making us free at moments of frustration.
 
Back
Top Bottom