Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Nilikuwa na mitikasi mpk saa nne ndo nimechomoka na nikaoga huku huku,For years nilikuwa huku . Ila mwaka huu nimebadili.
Alaf zaman nilikuwa napiga nying coz ya muda na zile zinahitaj muda na unywe nying ili ujisikie. Ila now nimebanana. So kili lager ndogo nikipiga nne tano weekdays naridhika .
Ndio natulia muda huu. Dah.
Hahahahaha kaka angu hata ladha pombe c ijuiEndelea kunywa mwanetu ila ile michezo yako ya kukabidhi funguo zaa gari na simu kaunta ili ukilewa usivipoteze uache maana unasumbua sana watu akili zikisharudi
Hakuna jambo zuri au baya kwa ujumla wake, bali namna ya matumizi ndio hupelekea kuwa zuri au baya! Pombe imekuwepo toka enzi. Gari linaweza kuwa zuri sana kwa kukuwahisha kazini ila pia, linaweza kukuwahisha paradiso endapo litatumika vibaya! kikubwa, tujifunze kufanya jambo sahihi, kwa wakati sahihi na kwa njia sahihi. WasalaamKuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.
Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.
Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Galoni nikaona sinkMhh! Ushuhuda wa kujikojolea mtu huu!
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.