Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio.
Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au jamii nyingine nyingi. Waarabu na Wazungu matajiri wao mara nyingi hupenda kuonyesha mali zao.
Wazungu wakitoa mchango wao kama ni pesa watakuja na cheque, Africa mchango ukitolewa watu wanakuja na mabegi au mifuko ya pesa cash!. Huu mtindo ni hata viongozi wa serikali wanapochangia jambo!