Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

Ukweli mchungu ni kuwa wewe unaona wivu kwa hao wanaonyesha maburungutu yao, lakini pia fahamu hili kuwa mtu mweusi ni alama umetoka kwenye inferior race, so to prove kwamba regardless of your background unakitu umefanya, so wafrika tunafanya ili kuinyesha uimara tulionao
 
Watu weusi wengi wanatafuta mafanikio lengo mama kuukumbia umasikini ili kuionyesha jamii na kujitofautisha na jamii zao sababu ya inferiority complexity tulionayo hivyo kutaka kuiaminisha jamii kuhusu uwezo wako...Na hii inaletwa na utafauti mkubwa madaraja ya kimaisha kati ya walio nacho na wasiokua nacho..hivyo asiekua nacho akipata atataka jamii ifahamu na impe heshima anafikiri anastahili.

ila wazungu wengi utajiri unawakuta katikakati ya harakati za kufanya Yale wanayoyapenda na sio Kwa ajili ya kujitofautisha na wengine au kujipa DARAJA fulani..
Ndiyo umkute mchaga amepata kidogo hizo sifa, hizo dharau, hizo show off yaani unaona kabisa nia yake ya kutafuta pesa na ndiyo maana wanatumia ushirikina sana!
 
hata hawa Blacks waliofanikiwa kw michezo football au basketballs wengi wanaoa wazungu coz wanaamini iyo ndo high status na weusi km wao wanawakumbusha umaskini
Sio kuwa wanaoa wazungu ili wazae watoto chotara na kuondoa hii race ya kiafrika, wapate watoto wenye fikra tofauti za zao (weusi)?
 
Dangote, Motsepe, Oprah, Robert Smith, Tyler Perry, hao wote ni black billionaire ni lini umeona wakiflash pesa zao hadharani?

Pesa ni zao wakiamua kuonyesha ubaya upo wapi? Ni nani kasema mizungu ndo standard ya maisha kwamba wanachofanya wao lazima kila mtu aige?
 
Ndiyo umkute mchaga amepata kidogo hizo sifa, hizo dharau, hizo show off yaani unaona kabisa nia yake ya kutafuta pesa na ndiyo maana wanatumia ushirikina sana!
Hiyo ni sifa ya muhaya, pesa ya mchagga inaonekana kwenye matokeo yake, siyo kupanga mabulungutu na kupiga picha, hivi Chief Godlove ni mchagga wa wapi yule?
 
Humu kuna watu wanapost wako maeneo flani ya kula bata,, nao si ulimbukeni? au watu wanapostiana humu mambo ya birthday nao ni ushamba?

😂😂😂
 
Dangote, Motsepe, Oprah, Robert Smith, Tyler Perry, hao wote ni black billionaire ni lini umeona wakiflash pesa zao hadharani?
Ikesemwa South Africa kuna ubakaji sana haimaanishi kila mwanaume wa huko anabaka.

Ikisemwa Tanzania watu ni slow haina maana kwamba hakuna ambao wako faster.
 
Nani kasema mizungu ndo standard ya maisha? Wewe watu wakitumia na kuflash hela zao walizopata kihalali inakuuma nini?
 
Pesa ni zao wakiamua kuonyesha ubaya upo wapi? Ni nani kasema mizungu ndo standard ya maisha kwamba wanachofanya wao lazima kila mtu aige?
Kama watu wanasema wanawake wakivaa vichupi barabarani wanawatamanisha na wanaume labda pia watu wakiona pesa nyingi zitawahamasisha kuiba, kuuza dawa za kulevya, magendo, rushwa au kufanya ufisadi.

Hata hivyo pia hakuna ubaya wa mtu kuuliza jambo lolote hapa Jukwaani.
 
Nani kasema mizungu ndo standard ya maisha? Wewe watu wakitumia na kuflash hela zao walizopata kihalali inakuuma nini?
Nimewataja Wachina, Waarabu, Wakorea na Wahindi pia, sijui kwa nini wewe umeamua kujikita na Wazungu tu.
 
Humu kuna watu wanapost wako maeneo flani ya kula bata,, nao si ulimbukeni? au watu wanapostiana humu mambo ya birthday nao ni ushamba?

😂😂😂
Birthday, kula bata, harusi na misiba ni matukio.
 
Kama watu wanasema wanawake wakivaa vichupi barabarani wanawatamanisha na wanaume labda pia watu wakiona pesa nyingi zitawahamasisha kuiba, kuuza dawa za kulevya, magendo, rushwa au kufanya ufisadi.

Hata hivyo pia hakuna ubaya wa mtu kuuliza jambo lolote hapa Jukwaani.

Hata ukiwa na gari unaweza mtamanisha mtu mwingine akafanye uhalifu nae awe na gari kama lako. Watu waache kununua magari wasitamanishe wengine.
 
Ukiwa na gari naweza kufikiria ni la mkopo unarudisha pesa taratibu.
 
Kwa wajinga walio wengi hiyo ni njia ya kuogopwa au kuheshimika haraka mbele ya jamii.
 
Back
Top Bottom