Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

Mimi huwa nawashangaa tu wanaopost wakiwa wanakula vitu vinono kama pizza etc.
 
Kuna tatizo lolote mtu mweusi akiamua kuonesha pesa zake?

Kitu kikifanywa na watu weupe ndio kizuri
Mfano wangekua watu weupe ndio ingekuwa poa?
 
Sababu kubwa mtu mweusi kufanya hivyo ni kupata validation.

Hivyo ili kusudi umchukulie serious anahitaji ufahamu status yake..

Mzungu anaweza kuingia mahala akazungumza na yeyote na akiwa amevaa kawaida sana..

Kuna treatment tofauti tunazopewa tokana na rangi zetu..
Mzungu hata akiingia mahala flani amevaa crocs..kuna namna flani anazingatiwa si Asia, Us wala Africa...

Ndio maana mtu mweusi ili na yeye azingatiwe inabidi aonyeshe mali zake.. au status yake... Na hii ndio imepelekea hii tabia..

Lakini inabidi ifikie muda mtu mweusi akubalike hata pasipo kuonyesha status yake.. Kama wazungu walivyo..
 
Back
Top Bottom