Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

Ukweli mchungu ni kuwa wewe unaona wivu kwa hao wanaonyesha maburungutu yao, lakini pia fahamu hili kuwa mtu mweusi ni alama umetoka kwenye inferior race, so to prove kwamba regardless of your background unakitu umefanya, so wafrika tunafanya ili kuinyesha uimara tulionao
 
Ndiyo umkute mchaga amepata kidogo hizo sifa, hizo dharau, hizo show off yaani unaona kabisa nia yake ya kutafuta pesa na ndiyo maana wanatumia ushirikina sana!
 
hata hawa Blacks waliofanikiwa kw michezo football au basketballs wengi wanaoa wazungu coz wanaamini iyo ndo high status na weusi km wao wanawakumbusha umaskini
Sio kuwa wanaoa wazungu ili wazae watoto chotara na kuondoa hii race ya kiafrika, wapate watoto wenye fikra tofauti za zao (weusi)?
 
Dangote, Motsepe, Oprah, Robert Smith, Tyler Perry, hao wote ni black billionaire ni lini umeona wakiflash pesa zao hadharani?

Pesa ni zao wakiamua kuonyesha ubaya upo wapi? Ni nani kasema mizungu ndo standard ya maisha kwamba wanachofanya wao lazima kila mtu aige?
 
Ndiyo umkute mchaga amepata kidogo hizo sifa, hizo dharau, hizo show off yaani unaona kabisa nia yake ya kutafuta pesa na ndiyo maana wanatumia ushirikina sana!
Hiyo ni sifa ya muhaya, pesa ya mchagga inaonekana kwenye matokeo yake, siyo kupanga mabulungutu na kupiga picha, hivi Chief Godlove ni mchagga wa wapi yule?
 
Humu kuna watu wanapost wako maeneo flani ya kula bata,, nao si ulimbukeni? au watu wanapostiana humu mambo ya birthday nao ni ushamba?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dangote, Motsepe, Oprah, Robert Smith, Tyler Perry, hao wote ni black billionaire ni lini umeona wakiflash pesa zao hadharani?
Ikesemwa South Africa kuna ubakaji sana haimaanishi kila mwanaume wa huko anabaka.

Ikisemwa Tanzania watu ni slow haina maana kwamba hakuna ambao wako faster.
 
Nani kasema mizungu ndo standard ya maisha? Wewe watu wakitumia na kuflash hela zao walizopata kihalali inakuuma nini?
 
Pesa ni zao wakiamua kuonyesha ubaya upo wapi? Ni nani kasema mizungu ndo standard ya maisha kwamba wanachofanya wao lazima kila mtu aige?
Kama watu wanasema wanawake wakivaa vichupi barabarani wanawatamanisha na wanaume labda pia watu wakiona pesa nyingi zitawahamasisha kuiba, kuuza dawa za kulevya, magendo, rushwa au kufanya ufisadi.

Hata hivyo pia hakuna ubaya wa mtu kuuliza jambo lolote hapa Jukwaani.
 
Nani kasema mizungu ndo standard ya maisha? Wewe watu wakitumia na kuflash hela zao walizopata kihalali inakuuma nini?
Nimewataja Wachina, Waarabu, Wakorea na Wahindi pia, sijui kwa nini wewe umeamua kujikita na Wazungu tu.
 
Humu kuna watu wanapost wako maeneo flani ya kula bata,, nao si ulimbukeni? au watu wanapostiana humu mambo ya birthday nao ni ushamba?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Birthday, kula bata, harusi na misiba ni matukio.
 
Hata ukiwa na gari unaweza mtamanisha mtu mwingine akafanye uhalifu nae awe na gari kama lako. Watu waache kununua magari wasitamanishe wengine.
 
Ukiwa na gari naweza kufikiria ni la mkopo unarudisha pesa taratibu.
 
Ndiyo umkute mchaga amepata kidogo hizo sifa, hizo dharau, hizo show off yaani unaona kabisa nia yake ya kutafuta pesa na ndiyo maana wanatumia ushirikina sana!
Wapi wachaga wanaonyesha pesa?
 
Kwa wajinga walio wengi hiyo ni njia ya kuogopwa au kuheshimika haraka mbele ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…