Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

Acha kutukana wewe..au hujafunga mfungo...ndio manafundishagwa hivyo kutukana hovyo kipindi cha mfungo.?

#MaendeleoHayanaChama
Angalia comment nilizochangia nyuma nishawahi mtukana mtu ifike mahali mtu aheshimu imani za watu.
 
Sisi na nyie nani anazungumza kingereza kibovu eti markiti wtf,mpo mpo tu na shobo zenu kiarabu hamjui,kiswahili sasa mnavyoongea weird ass accent[emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki zitakupandisha pressure bure kijana!
 
Kwa hiyo Angel ni shetani!?...imekuaje Kama huyo ni shetani akijifanya malaika!?
Watu bwana, msiwe mnapenda kukariri tu vitu bila kujuwa ukweli. Shetani alimshukia Mohammed akijifanya kuwa ni malaika Jibril. Ushaelewa sasa? Akamshushia Mohammed baadhi ya verses za Qur'an.
 
Watu bwana, msiwe mnapenda kukariri tu vitu bila kujuwa ukweli. Shetani alimshukia Mohammed akijifanya kuwa ni malaika Jibril. Ushaelewa sasa? Akamshushia Mohammed baadhi ya verses za Qur'an.
Thibitisha,unataka nielewe matamanio yako!!?..thibitisha yule alikua shetani aliyejifanya malaika,ukitumia vifungu vya biblia na Qur'an na siyo nyyegge zako
 
Kwa hiyo ndugu zetu ni nyinyi wabongo mbona hatuna na makabila kama yenu wala lugha kama zenu kaa na ufikirie vizuri.

Tatizo lenu hamusomi historia zaidi ya kukaririshwa tu, nani hasa walikuwa watumwa nchi hii.
Sisi Wazanzibar sio warabu wala sio wabongo sisi ni WAZANZIBAR yaani ni watu kutoka sehemu tofauti duniani wapo waliotoka bara, asia, amerika na kwengineko hao ndio wazanzbar wa leo.

Unaposema wakioa wanafunga majambia hizo ni tamaduni zilizorithiwa kutoka kwa waarabu ambao walikuwepo Zanzibar kwa zaidi ya miaka 100 ni vichekesho kwamba watu waishi miaka zaidi ya 100 kama utawala then wasiache athari yoyote kwa vizazi vijavyo haiwezi kuwa hivyo.

Mtu kutoka bara aliyekuja Zanzibar baada ya Mapinduzi bila ya shaka atajuana na ndugu zake waliopo bara, si nyinyi munasema wazanzibar wametoka bara, njoo Zanzibar na ufanye reseach kwa familia tano tu kama wanajuana na ndugu zao wa bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…