Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

Hayo yako na wengi wanaocomment humu ni mawazo ya watu wenye roho mbaya na chuki + ujinga, hivyo vitu vyote unavyovisema hapo unaongea kwa hisia za chuki, but sikulaumu sana coz ndivyo mnavyofundishwa huko badala ya kuelimika
Kumbe we naye shombe shombe? Ndo maana humpendi USA
 
Ilikuwaje Allah anamwambia asome , na mpaka anakufa mnatuambia hakujua kusoma
Kusoma ni kusoma irabu na silabi tu!!?...ukipelekwa shamba kulima hapo hufundishwi kilimo!?..yaani husomi kilimo hapo!?...inaposemwa nitampa SoMo unajuaga kumpa daftari asome!?
 
Usemi wako wa kiswahili husipeleke kwenye lugha zingine,

Yani muujiza mdogo tu wa muhammad kujua kusoma umemshinda Allah,

Yesu alikuwa anasema tu kwa mtu mfu hamka hapo hapo anaamka, kipofu ona anaona
Apa tunamuona Allah anahangaika kumnyonga Muhammad anamwambia asome na hakujua kusoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Alafu Gabriel halisi hanaga Salam za kunyonga shingo watu , akitokea lazima asema amani iwe nawe usiogope
 
Kama shobo zenu za kujifanya wazungu na kuzungumza kiingereza kibovu alimradi tu.

Sisi na nyie nani anazungumza kingereza kibovu eti markiti wtf,mpo mpo tu na shobo zenu kiarabu hamjui,kiswahili sasa mnavyoongea weird ass accent[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usemi wako wa kiswahili husipeleke kwenye lugha zingine,

Yani muujiza mdogo tu wa muhammad kujua kusoma umemshinda Allah,

Yesu alikuwa anasema tu kwa mtu mfu hamka hapo hapo anaamka, kipofu ona anaona
Apa tunamuona Allah anahangaika kumnyonga Muhammad anamwambia asome na hakujua kusoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unajichekesha Kama kahaba kwa nini!!?..Muhammad halikua kusoma Wala kuandika,lakini kaacha kitabu ambacho kina elimu ambazo wewe unayejua kusoma na kuandika hunazo,kaacha kitabu ambacho hakijichanganyi Kama vile vitabu vya Paulo,wewe una elimu,ebu andika sura moja tu ambayo hakijichanganyi tuone!?
 
cha kunishangaza zaidi wanawaona waarabu ndugu zao wa damu kuliko hata wabara ilhali wanasahau walisombwa kwa makundi kupelekwa visiwani wakitokea huku bara na maeneo mengine ya jirani kwa mijeledi, fedheha na manyanyaso makubwa, ila leo hii mtanzania bara ukienda kule utaangaliwa kwa jicho la husda, lakini mwarabu atapokelewa kwa bashasha zote
Swala la utumwa ni Jamii yote ilishiriki sio warabu tu kuuza watumwa kuanzia Machifu weusi ,wayahudi na watu weupe na asilimia kubwa watu Weupe aka WAZUNGU ndio ndio walikuwa makatili kuliko jamii yote iliyo shiriki kuufanya biashara hiyo nenda GHANA ndio utapa History ya kweli wachana na SOMA LA HISTORY LA TANZANIA limeweka hivyo makusudi kutengeneza chuki kwa jamii moja tu.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Unajichekesha Kama kahaba kwa nini!!?..Muhammad halikua kusoma Wala kuandika,lakini kaacha kitabu ambacho kina elimu ambazo wewe unayejua kusoma na kuandika hunazo,kaacha kitabu ambacho hakijichanganyi Kama vile vitabu vya Paulo,wewe una elimu,ebu andika sura moja tu ambayo hakijichanganyi tuone!?
Kama majini yameandikwa sura nzima ni Yao wanaongea , hiyo challenge kwangu ni ndogo Sana
 
Kuna sura ya Maryam,sura ya Wana wa Israel mule,na sura ya Roma...ukiona sura imepewa jina Fulani maana yake inazungumzia hicho kitu,Kuna sura ya wanawake pia
 
Sawa kwa nini Gabriel fake jibril hakusalimia alianza na Fujo za kunyonga
Unajua tofauti ya kuminya na kunyonga!?...unaweza kuthibitisha hapakua na salaam!?...hoja ya kusoma imeisha Sasa siyo!!
 
Usemi wako wa kiswahili husipeleke kwenye lugha zingine,

Yani muujiza mdogo tu wa muhammad kujua kusoma umemshinda Allah,

Yesu alikuwa anasema tu kwa mtu mfu hamka hapo hapo anaamka, kipofu ona anaona
Apa tunamuona Allah anahangaika kumnyonga Muhammad anamwambia asome na hakujua kusoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wewe acha uwongo hakuna .Yesu Yupi?

Yesu kila kona jina linabadilika Mara Yesu mara Bebeto Mara Jesus .
 
Kuna sura ya Maryam,sura ya Wana wa Israel mule,na sura ya Roma...ukiona sura imepewa jina Fulani maana yake inazungumzia hicho kitu,Kuna sura ya wanawake pia
Anae ongea ndio alietengeza hiyo sura haiwezekani Mimi niongee wewe uchukua maneno yangu udai ni Yako

Mpaka siafu wameweka verse zao tuwasifu pia kwa kutokuchanganya
 
Unajua tofauti ya kuminya na kunyonga!?...unaweza kuthibitisha hapakua na salaam!?...hoja ya kusoma imeisha Sasa siyo!!
Kwa nini hakusalimia na kujitambulisha friendly, yeye ameanza na Fujo , na anaanza na makosa ya kisayansi , anasema binadamu ameanzia damu iliyoganda (dead blood) damu mfu
 
Damu iliyoganda ni tafsiri ya dead body!!?...we ni msukule wa wachungaji!!!?...mbona una vurugu nyingi Sana kichwani!!?
 
UTOPOLO TU HAMNA KINGINE.

HAWAJUI KAMA HAWAJUI.
 
Back
Top Bottom