Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Na wabara wanaoweka nywele dawa au kuweka mawigi ya kizungu unawasemaje? Ukimnyooshea mwenzako kidole ujue vinne vimekuelekea wewe.
Zanzibar nywele wala siyo issue, kama ni nywele laini hata wapemba wa asili kabisa ambao hawana udugu na waarabu wanazo. Nyinyi wabara ndiyo munapapatikia nywele muwe kama wazungu.
[emoji23][emoji23][emoji23]ingekua wana nywele hizo wale waimbaji taarabu wasingekua wanavaa mawigi basi au wale wabara nao nyie shobo zimezid sana