View attachment 2193296
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba babu zao walitolewa huku bara na maeneo ya jirani wakiwa kama wakimbizi waliodakwa, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k hawa ndio waliuzwa kwa wafanya biashara wa utumwa kama Tipu tipu na kisafirishwa kwenda Zanzibar kwajili ya kuuzwa kuwa watumwa nje ya nchi ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu,
Leo hii utashuhudia hivi vituko 😂😂
1-watakwambia waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu mweusi hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu.
2-wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
3. wengi wamebadili majina yote yawe ya kiarabu, yale ya ukoo wameyafukia, utawakuta kina Abdul Mohamed, Ally Saleh, Abubakar Sharriff, n.k
4-Nilisoma habari
>> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe vichwa flat kama waarabu na barakashia zitumbukie kirahisi.
5-Kwa wazanzibari wengi jiji la Muscat lililopo nchi ya Oman ni kama pepo, humwaambii kitu aisee, hilo jiji kwao ni zaidi ya London, New York, Paris, n.k
6. yani akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka tatu na anatafta mwanaume mpya, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama mchele ukimwagia kuku.
7-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.
8.huwaona waarabu kama wakamilifu, wengi wanadhani kila mwarabu ni mstaarabu na hatendi makosa. hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watabisha ni video ya uongo.
Cha kushangaza mwarabu ni kama hata huo undugu hautaki, labda uwakute wapo na viongozi wa juu ili dili zao ziende, huwa hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi na wale waarabu pori