Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

Huu ukweli unauma sana!! Sisi tunakula kujaza matumbo, hatuli kwa kuzingatia ubora wa chakula kiafya!
 
Wanakula chakula kidogo kilicho na manufaa hawali kujaza tumbo na kunya mavi mengi. We mswahili ukikutana na bufee unapita kila sufuria alafu vyote wanga kwanini usinye mavi mengi mara kwa mara mpaka unatoka kinyama cha matako (bawasili)
 
Quality over Quantity
 
Sisi Bongo bila ugali mkubwa au Wali bado hajala [emoji23][emoji23][emoji23]

Unakulaa usiku mpk unataka kupasuka
 
Hivi ukimwona mzungu kutokea australia europe au marekani unaweza kujua anapotoka?
Nimeshakwambia wazungu wenyewe hawa mind kuitwa ivo
Haijalishi unajua au haujui, mzungu yoyote unaweza kumuita mmarekani kama sio mmarekani basi atakwambia.
Hizi sio nyakati za kumuita binadamu kama wewe "Mzungu".

Wewe ulifanya utafiti na watu wangapi wasio na asili ya afrika ukagundua hawamind kuitwa Mzungu?
Hawamind hiyo umesema wewe na wewe kuniambia kwamba hawamind sio fact bali ni opinion so it doesn't matter.
Ni lazima wamind sababu anaona kama unambagua, ni kama wao kuwaita wamarekani weusi "Nigga".

Hakuna mmarekani mweusi anapenda kuitwa "nigga" na mmarekani mweupe, na hilo neno halina tofauti na neno "Mzungu".
 
Diet ili wasiharibu mwili na kupata kisukari, matatizo ya blood pressure, matatizo ya moyo, strokes etc. Japo kwa USA chakula ni kibovu sana na pamoja na kupunguza huko, wengi wao ni obese..
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Mind set...

Raised that way...

Discipline....

Ustaarabu....

Binadamu aliyefikia hatua ya kufanya kila kitu kwa kiasi ikiwemo chakula pia, ..... nashindwa kuelezea ila ni hatua flani ambayo wengine hawaiwezi.

Na inapendeza ikiwa self discipline.
Kwenye “ustaarabu” umeniacha njia panda.
Kuna wakati fulani nilienda pahala fulani “francophone” nikaletewa chakula chenye folk na kisu lakini kwangu hicho chakula naona kinahitajika kijiko na si folk. Niliomba wakanishangaa na hata wengine mezani kuniona nipo nyuma ya muda “uncivilized” kwa sababu mezani wote walikua wenyeji. Kwa muktadha huo nachelea kusema nikiagiza makande na mwingine akaagiza sandwich pahala tutaonekana madaraja tofauti ma mmoja ataonekana ndio kastaarabika?!
 
Sio wazungu. Ni wamarekani. Mzungu ni mtu yoyote mwenye uraia wa nchi za ulaya kwa kuzaliwa. Ndio, hata tiery henry mchezaji nguli wa aseno zamani ni mzungu kutoka ufaransa.
Asante kwa ilimu, ngoja nitafute rejea nijielimishe zaidi
 
Wazungu wanakula mara kwa mara ndio maana wanakula chakula kwa kiasi. Sisi tunakula asubuhi (hii kuna watu hupiga desh. Tunakula mchana (hapa wengi hufidia gape la asubuhi. Tunakula usiku (hapa napo kuna watu hupitisha bila kitu.

Nyongeza: Sio kila anachofanya mzungu lazima na sisi tufanye the same. Wao nao ni binadamu kuna mambo wanakosea. Walitabiri korona itatukula na tutaokota miili barabarani lakini ikwa tofauti. Wanapalilia ushoga ilhali kila jinsia imeumbwa na uwezo binafsi
 
[emoji119][emoji119]

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Hujakutana na wazungu wewe, hao watu wanakula ni balaa, inaonyesha hako kamradi kenu hakakuwa physical demanding, ila sio mbaya endelea kujifunza kubana matumizi kutoka kwao[emoji847][emoji847][emoji847]

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Naona hujafanya research ya kutosha na umefikia conclusion kwa watu wawili tuu.. Lakini iko hivi kati ya watu wanoaheshimu na kupenda kula ni hao wenzetu.. Natamani ungeona breakfast yao ikoje na hiyo sandwich ungeiangalia imebeba nini
 
"Swalatu alan'nabii" waislam tunamuongozo sahihi katika hilo;
Mtukufu mtume Muhammad (S.A.W)Alipata kujisifia mbele ya Maswahaba zake akisema"hakika umati wangu ndio umati uliobora kabisa kuliko umati mwengine wowote ule uliopita; maswahaba wake wakamuuliza kwanini iwe hivyo ewe mtume wa mwenye-ez-Mungu!? Nae akajibu; watu wangu hawali hadi wahisi njaa na wakila hawali wakashiba(kuvimbiwa)
 
IKO HIVI:-

Wazungu wanakula sana lakini chakula portion ndogondogo na maji ya kutosha.

Wazungu wa mataifa tofauti wanatofautiana katika Milo.

Kwa mfano:-

British, Americans, Dutch na Germans wanafanana katika Milo na wamecopy kwa British.

Italians wanakula sana, hasa pork, Pizza, grapes and wine.

Research inaonesha wazi kuwa Ordinary Italian (Muitaliano wa kawaida tu) anaishi miaka mingi kuliko muingereza na muamerika kwasababu ya Diet na anamzidi kwa miaka 2 - 4.

Kama umeishi na EXPATRIATES hasa mkoa wa Kilimanjaro na jijini Arusha utagundua preparations ya chakula wanachokula

Wazungu wanakula Mara 5 mpaka 7 kwa siku, lakini in small portion.

Kwa mfano ratiba ya Muingereza na Mmarekani mara nyingi ni hii :-

PRE BREAKFAST - Juice with honey au Water only.

BREAKFAST - 2 slices toasted bread au Biscuits, two eggs, fresh milk na tunda kama tikiti au chungwa.....baada ya hapo ni maji muda wote hadi muda wa lunch.

LUNCH - Hapa mbogamboga ndio nyingi na matunda, spinach ikiwepo, mayonnaise hasa ya American Garden, na starch kidogo sana.

PRE DINNER - Hapa Muingereza lazima anywe CHAI aidha na Karanga, Popcorn, burger au biscuits...lakini TEA au COFEE ni muhimu sana kwao na ni Tradition yao. Hata wasomi wa nchi zilizotawaliwa na Waingereza (Commonwealth countries) walicopy hii.

DINNER - ni saa 12 mpaka saa 1 na hapo anaweza kunywa juice na andazi au Keki , akawatch movie au kwenda club kucheza na kisha kulala mpaka kesho asubuhi.

Muitaliano, anaweza kutengeneza PIZZA ya Pork iliyoshiba Mayonnaise, nyanya, matango, kitunguu na wine glass moja.


NB : Wazungu wanaamini WINE inaongeza miaka ya kuishi (Lifespan)...ndio maana mezani huwa hawakosi table wine kama CASPACE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…