Tatizo linakuja kwenye kuelimisha ng'ombe...kazi sana kuelimisha ng'ombe...kwani wewe ujui kuwa kuona ni mlango mmoja tu wa fahamu ....musa alisikia sauti ya mungu ni mlango mwingine wa fahamu wa kusikia ...mungu anaweza kuonekana kama kitu chochote atakavyo yeye ...labda Allah ndiyo dhaifu awezi kuonekana atakavyo
Mungu hana sura wewe zuzu ...kumuona mungu maana yake ni kuiona nafsi yake ...mbona hata sisi wanadamu atujawai kuziona nafsi zetuSisi unayetwita ng'ombe ndiyo hivyo tumesoma kwenye Biblia na kukuta hii Aya
And God said, Thou shalt not be able to see my face; FOR NO MAN SHALL SEE MY FACE, and live. Exodus 33:7-20
Sasa utuambie huyo ni Mungu yupi ?
Mungu hana sura wewe zuzu ...kumuona mungu maana yake ni kuiona nafsi yake ...mbona hata sisi wanadamu atujawai kuziona nafsi zetu
Kwa hiyo nikisema Yesu ni kiwiliwili cha mungu nitakuwa sahihi maana sikusema suraKwani hapo Aya inazungumzia nafsi ya Mungu ?
Mbona mwanadamu unashindwa na ng'ombe inakuwa kipofu?
Kwa hiyo nikisema Yesu ni kiwiliwili cha mungu nitakuwa sahihi maana sikusema sura
Yesu ana sifa za Mungu ila yupo Mungu ambaye ni baba yake.1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
2. Sifa za Kimungu alizo nazo Yesu
Uwepo wake wa milele – Mika 5:2
Uwezo wa kusamehe dhambi – Marko 2:5-7
Uwezo wa kutoa uzima wa milele – Yohana 10:28
Uwezo wa kuhukumu ulimwengu – 2 Wakorintho 5:10
3. Miujiza inayodhihirisha Uungu wa Yesu
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11) –
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)
4. Unabii wa Agano la Kale ulitimia kuhusu Uungu wa Yesu
Katika Isaya 9:6 – Yesu anaitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele."
Katika Mathayo 1:22-23, tunasoma jinsi unabii huo ulivyotimia:
"Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, Naye watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi."
5. Watu Walimwabudu Yesu na kukiri kuwa ni Mungu
Mathayo 28:9,17 – Wanafunzi wake walimsujudia.
Yohana 20:28 – Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu! Yesu alipoambiwa na Tomaso kuwa ni Mungu, hakukanusha.
Kama unadai Yesu sio Mungu, toa sababu zako hapa
Kulingana na Yohana 5:37 ,Kwa hiyo nikisema Yesu ni kiwiliwili cha mungu nitakuwa sahihi maana sikusema sura
Exodus 3:2Kwa hiyo nikisema Yesu ni kiwiliwili cha mungu nitakuwa sahihi maana sikusema sura
Swali lako nimeishalijibu katika maelezo ya uzi wangu, ila naona hujaelewa.Unaweza kutuletea Aya Yesu anasema Mimi ni Mungu ninayeongea Kama mwanadamu ?
Hapo Kiswahili tu ndiyo kinakuchanganya. Ni kweli kabla Yesu hajaja duniani, hakuna mtu aliyewahi kumuona Mungu. Lakini baada ya Yesu kuja, watu waliweza kumuona Mungu aliyekuja na kukaa kwetu. Yohana 1:14, "Neno(Mungu) alifanyika mwili, akakaa kwetu."Kulingana na Yohana 5:37 ,
Yesu alisema kwamba hakuna mtu ambaye amewahi kumwona Mungu wakati wowote au kusikia sauti yake.
Na bado watu walimwona Yesu, Hii inathibitisha kwamba Yesu hawezi kuwa Mungu kwani alionekana na kila mtu hapo Jerusalemu
Yesu ana sifa za Mungu ila yupo Mungu ambaye ni baba yake.
Yohana 14: 28 Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake, "Ninaenda kwa baba kwa maana baba ni mkuu kuliko mimi"
Yohana 20:17 "Ninapanda kwenda kwa baba yangu na baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu."
Hivi kuna sehemu nimeandika Yesu ni Mungu? Kama naamini Yesu ndiye Mungu hayo maandiko mawili ningeyaweka ili yawe ushahidi juu ya nini?Yesu hana sifa za Mungu
YESU SI MUNGU:
KWA SABABU HANA SIFA ZA MUNGU
Mwenyezi Mungu Anazo sifa zifuatazo ambazo Yesu hanazo hata sifa moja wapo. Mwenyezi Mungu ndiye muumba wetu ni mmoja. Anajulikana na anatambulikana kwa sifa zake.
Biblia inatuelezea sifa Mungu zinazotajwa katika Biblia. Vilevile nitaeleza kwamba Bwana Yesu Kristo hana hata sifa moja sawa na Biblia.
1. MUNGU HAJARIBIWI
Biblia inasema kwamba: “Mtu ajaribiwapo, asiseme, ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala mwenyewe hamjaribu mtu,” (Yakobo 1:13).
Sasa tuone hali ya Bwana Yesu Kristo kwamba yeye anayo sifa hii au ni kinyume chake. Biblia inasema kwamba: “ Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi,” (Mathayo 4:1).
Mungu hajaribiwi lakini Yesu alijaribiwa na Iblisi, kwahiyo hawezi kuwa mungu, kwa sababu ya kukosa sifa hii
ya Mungu.
2 MUNGU ANAJUA KILA KITU
Ni sifa ya Mwenyezi Mungu kujua kila kitu cha dhahiri na cha siri. Kitu chochote hakiwezi kufichika kwake. Kama Biblia inavyosema kwamba: “Basi usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukampe kila mtu kwa kadri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote.” (1Wafalme 8:39).
Sasa tuone kiwango cha Bwana Yesu cha kujua mambo. Biblia inasema kwamba: “Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara.”
(Mathayo 21:18-19).
Mtu ambaye hajui kwamba msimu huu mti fulani haupatikani matunda ilhali hata watoto wadogo wanajua misimu ya matunda mbalimbali, hawezi kuwa Mungu.
Tena aya hii inaonesha tabia ya Bwana Yesu kwamba mwenyewe alikosea kujua msimu wa matunda ya mtini
na kisha akaulaani mti bure.
Pia Bw. Yesu anakiri mwenyewe kwamba hajui chochote kuhusu habari za saa ile (Mathayo 24:36).
4. MUNGU HACHOKI
Mwenyezi Mungu hana kasoro ya udhaifu wowote. Sifa zote njema zinamhusu yeye. Biblia inasema kwamba: Je, wewe hukujua? hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana muumba miisho ya dunia, hasinzii wala hachoki, akili zake hazichunguziki.” (Isaya 40:28).
Sasa tuone hali ya Yesu. Je, yeye anayo sifa hii ya Mungu? Kama hana, basi hawezi kuwa Mungu. Biblia inasema: “Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo, Basi Yesu kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Nayo yapata saa sita.” (Yohana 4:6). Basi mwenye kuchoka hawezi kuwa Mungu.
1
Swali lako nimeishalijibu katika maelezo ya uzi wangu, ila naona hujaelewa.
Sikiliza ndugu. Katika Mathayo 1:23 tunaona unabii wa Isaya 7:14 ukitimizwa kuwa Yesu ataitwa Emanueli, yaani "Mungu pamoja nasi"
Jina Emanueli linaonyesha kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida bali ni Mungu aliyekuja kuishi kati ya wanadamu. Andiko hilo linaendana na Yohana 1:14, inayoeleza kuwa "Neno(Mungu) alifanyika mwili, akakaa kwetu."
Hiyo ndiyo sababu nimekuambia Yesu alipokuwa duniani alivaa ubinadamu.
Nakutajia hapa aya nyingine zinazothibitisha kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili:
1. Yesu alisema katika Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
2. Yesu alijitambulisha kwa jina la Mungu: ‘Mimi Niko’ (Ego Eimi)
Yohana 8:58 – "Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Kabla ya Ibrahimu kuwako, Mimi niko."
Mimi Niko ni jina ambalo Mungu alilitumia alipomwambia Musa: "Mimi Niko ambaye Niko" (Kutoka 3:14).
3. Yesu alisamehe dhambi – jambo linalofanywa na Mungu pekee
Marko 2:5-7 – Yesu alipomsamehe mtu aliyepooza dhambi zake, waandishi wa sheria walishangaa na kusema: "Kwa nini huyu anasema hivi? Anatukana! Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?"
4. Tomaso alimwita Yesu Mungu
Yohana 20:28 – "Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!"
Yesu hakukataa kuitwa Mungu, badala yake akasema "heri aaminiye pasipo kuona"
5. Yesu alisema Yeye ni Alfa na Omega
Ufunuo 22:13 – "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho..."
Hiyo ni sifa ya Mungu pekee (Isaya 44:6).
Uungu wa Yesu ndio uliomuwezesha kutenda miujiza mikubwa ambayo mwanadamu wa kawaida hawezi kuitenda.
Hicho ndicho wanachofundishwa Makadinali, Maaskofu, Mapadre n.k. kuwa huyo mwanamke hakuwa bikira (not a virgin) na tayari alikuwa na mtoto (was with child) na wala sio Maria bali mke wa Nabii Isaya au mfalme Ahazi. Na wanasisitiziwa kuwa hakuna utabiri wa uzazi wa mwanamke bikira hapo " there is no Prophecy here of a virgin birth"."(b) Immanu-el. It was Isaiah’s Unwavering Conviction that Yahweh was with His people – Immanu-el (God with us) – If they would but put their whole trust in Him. The Prophet offered a sign of this to the weak and wavering Ahaz (see above). A ‘Young woman’ – not ‘ a virgin’ – was with child, and would bear a son to be called Immanu-el. Before he was old enough to know good from evil, Israel and Syria will have been destroyed. This ‘sign’ is given in a concrete historical situation (7:14, 8:8,10 cf. Rom 8.31); it is not visionary future possibility. The ‘young woman’ may well have been Isaiah’s own wife (ef. 8:3) or even the wife Ahaz. From the point of view of Isaiah, there is no Prophecy here of a virgin birth".
Hivi kuna sehemu nimeandika Yesu ni Mungu? Kama naamini Yesu ndiye Mungu hayo maandiko mawili ningeyaweka ili yawe ushahidi juu ya nini?
Kuwa na sifa za Mungu sio lazima uwe nazo zote. Hapo wewe una sifa ambazo Mungu anazo ingawa huwezi kuzidumisha. Kabla ya kujibu elewa
Swali lako nimeishalijibu katika maelezo ya uzi wangu, ila naona hujaelewa.
Sikiliza ndugu. Katika Mathayo 1:23 tunaona unabii wa Isaya 7:14 ukitimizwa kuwa Yesu ataitwa Emanueli, yaani "Mungu pamoja nasi"
Jina Emanueli linaonyesha kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida bali ni Mungu aliyekuja kuishi kati ya wanadamu. Andiko hilo linaendana na Yohana 1:14, inayoeleza kuwa "Neno(Mungu) alifanyika mwili, akakaa kwetu."
Hiyo ndiyo sababu nimekuambia Yesu alipokuwa duniani alivaa ubinadamu.
Nakutajia hapa aya nyingine zinazothibitisha kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili:
1. Yesu alisema katika Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
2. Yesu alijitambulisha kwa jina la Mungu: ‘Mimi Niko’ (Ego Eimi)
Yohana 8:58 – "Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Kabla ya Ibrahimu kuwako, Mimi niko."
Mimi Niko ni jina ambalo Mungu alilitumia alipomwambia Musa: "Mimi Niko ambaye Niko" (Kutoka 3:14).
3. Yesu alisamehe dhambi – jambo linalofanywa na Mungu pekee
Marko 2:5-7 – Yesu alipomsamehe mtu aliyepooza dhambi zake, waandishi wa sheria walishangaa na kusema: "Kwa nini huyu anasema hivi? Anatukana! Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?"
4. Tomaso alimwita Yesu Mungu
Yohana 20:28 – "Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!"
Yesu hakukataa kuitwa Mungu, badala yake akasema "heri aaminiye pasipo kuona"
5. Yesu alisema Yeye ni Alfa na Omega
Ufunuo 22:13 – "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho..."
Hiyo ni sifa ya Mungu pekee (Isaya 44:6).
Uungu wa Yesu ndio uliomuwezesha kutenda miujiza mikubwa ambayo mwanadamu wa kawaida hawezi kuitenda.
Wewe tatizo lako ni IQ yako ndogo kiasi unashindwa hata kuelewa lugha ...pia unasubiri mtu ameshatoka jf ndiyo unajidai kujibu ...kuhusu mti na moto sijui umesoma kitabu gani ...tokea kale inajulikana mungu anaweza kuonekana kwa taswira yoyote siyo kumwona nafsi yake ...tatizo ujui kumwona mungu maana yake ni nini ? Mungu ni nafsi hivyo katika yesu tulimwona mungu kwa kupitia mwili wa binadamu na siyo kumwona mungu jinsi alivyo wewe ukijivisha mask tunakuona ila siyo jinsi ulivyo wewe ukijifunika shuka mwili mzima tunakuona ila siyo jinsi ulivyo ...ndiyo maana huyo yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura tofauti wasiweze kumjua umbo lolote mungu anaweza kulitumia .Yesu hana sifa za Mungu
YESU SI MUNGU:
KWA SABABU HANA SIFA ZA MUNGU
Mwenyezi Mungu Anazo sifa zifuatazo ambazo Yesu hanazo hata sifa moja wapo. Mwenyezi Mungu ndiye muumba wetu ni mmoja. Anajulikana na anatambulikana kwa sifa zake.
Biblia inatuelezea sifa Mungu zinazotajwa katika Biblia. Vilevile nitaeleza kwamba Bwana Yesu Kristo hana hata sifa moja sawa na Biblia.
1. MUNGU HAJARIBIWI
Biblia inasema kwamba: “Mtu ajaribiwapo, asiseme, ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala mwenyewe hamjaribu mtu,” (Yakobo 1:13).
Sasa tuone hali ya Bwana Yesu Kristo kwamba yeye anayo sifa hii au ni kinyume chake. Biblia inasema kwamba: “ Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi,” (Mathayo 4:1).
Mungu hajaribiwi lakini Yesu alijaribiwa na Iblisi, kwahiyo hawezi kuwa mungu, kwa sababu ya kukosa sifa hii
ya Mungu.
2 MUNGU ANAJUA KILA KITU
Ni sifa ya Mwenyezi Mungu kujua kila kitu cha dhahiri na cha siri. Kitu chochote hakiwezi kufichika kwake. Kama Biblia inavyosema kwamba: “Basi usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukampe kila mtu kwa kadri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu wote.” (1Wafalme 8:39).
Sasa tuone kiwango cha Bwana Yesu cha kujua mambo. Biblia inasema kwamba: “Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara.”
(Mathayo 21:18-19).
Mtu ambaye hajui kwamba msimu huu mti fulani haupatikani matunda ilhali hata watoto wadogo wanajua misimu ya matunda mbalimbali, hawezi kuwa Mungu.
Tena aya hii inaonesha tabia ya Bwana Yesu kwamba mwenyewe alikosea kujua msimu wa matunda ya mtini
na kisha akaulaani mti bure.
Pia Bw. Yesu anakiri mwenyewe kwamba hajui chochote kuhusu habari za saa ile (Mathayo 24:36).
4. MUNGU HACHOKI
Mwenyezi Mungu hana kasoro ya udhaifu wowote. Sifa zote njema zinamhusu yeye. Biblia inasema kwamba: Je, wewe hukujua? hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana muumba miisho ya dunia, hasinzii wala hachoki, akili zake hazichunguziki.” (Isaya 40:28).
Sasa tuone hali ya Yesu. Je, yeye anayo sifa hii ya Mungu? Kama hana, basi hawezi kuwa Mungu. Biblia inasema: “Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo, Basi Yesu kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Nayo yapata saa sita.” (Yohana 4:6). Basi mwenye kuchoka hawezi kuwa Mungu.
1
Maana yake sasa wamemwona kwa jinsi ya mwili wa mwanadamu...Kulingana na Yohana 5:37 ,
Yesu alisema kwamba hakuna mtu ambaye amewahi kumwona Mungu wakati wowote au kusikia sauti yake.
Na bado watu walimwona Yesu, Hii inathibitisha kwamba Yesu hawezi kuwa Mungu kwani alionekana na kila mtu hapo Jerusalemu
Wewe tatizo lako ni IQ yako ndogo kiasi unashindwa hata kuelewa lugha ...pia unasubiri mtu ameshatoka jf ndiyo unajidai kujibu ...kuhusu mti na moto sijui umesoma kitabu gani ...tokea kale inajulikana mungu anaweza kuonekana kwa taswira yoyote siyo kumwona nafsi yake ...tatizo ujui kumwona mungu maana yake ni nini ? Mungu ni nafsi hivyo katika yesu tulimwona mungu kwa kupitia mwili wa binadamu na siyo kumwona mungu jinsi alivyo wewe ukijivisha mask tunakuona ila siyo jinsi ulivyo wewe ukijifunika shuka mwili mzima tunakuona ila siyo jinsi ulivyo ...ndiyo maana huyo yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura tofauti wasiweze kumjua umbo lolote mungu anaweza kulitumia .
maelezo hayo tunayapata kitabu kipi ??Maana yake sasa wamemwona kwa jinsi ya mwili wa mwanadamu...