Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

Tasnia ya sheria iliharibiwa na watu wawili.

Wameiharibu mno.
Wewe sema tu kuwa ni Tundu Lisu na Fatma Karume unawaogopa kwani?
Wanapogombea wao walikua wanajaa mawakili toka Kila eneo Leo wao wamestaafu wanataka kukwamisha zoezi na haya ndiyo madhara ya kuchanganya siasa na Sheria.
 
Rais wako rais wetu we bwege nini.
Ndio aanze kujiona rais wa JMT.
sijawai kuona mnyaturu mshamba kama yule.
Mbona wenzie wanashika hicho cheo muda ukifika wanaachia bila mikwaruzo yoyote.
Acha hasira za mimba changa, Lissu aligoma kuachia cheo!
 
TLS usimfananishe na chama Cha walimu mzee. Uliza uambiwe.
Chama kisichokuwa na mchango kwa jamii na kuishia kuwa genge la mapuppets ya ccm ni heri tu mmesusia uchaguzi wao.

Endeleeni kuwa kama condom, ccm wakiisha watumia vya kutosha watawatupia kt shimo la choo na kuwaflashu
 
Uchumi ni shida labda chama kiwalipie ghalma za malazi na chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…