fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 809
- 2,204
Wewe sema tu kuwa ni Tundu Lisu na Fatma Karume unawaogopa kwani?Tasnia ya sheria iliharibiwa na watu wawili.
Wameiharibu mno.
Wanapogombea wao walikua wanajaa mawakili toka Kila eneo Leo wao wamestaafu wanataka kukwamisha zoezi na haya ndiyo madhara ya kuchanganya siasa na Sheria.